Home
Unlabelled
mama shadya berlin
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi naomba list ya waliohudhuria kwenye hayo maonyesho na Professions zao.
ReplyDeleteKuna jamaa kafanywa mkurugenzi wa bodi ya Ngorongoro CA, lakini sijui kama anajua hata jina la mti mmoja ulioko ngorongoro. Mi naona ni mojawapo ya vitu vinavyoturudisha nyuma na weznetu kupata nafasi ya kutuzidi mpaka kutangaza nchi yetu kwa faida yao.
Kama hatutacha kubebana na kupeana vyeo bila kuangalia madhara yake tutabaki tunatambaa huku wenzetu wanakimbia. labda tuna kilema fulani ndio maana tunatambaa kwa miaka 46 wenzetu wanasimama na kukimbia for less than that
Yule nyuma sio Msekwa ..EX..RADIO.. Samahani SPIKA WA ZAMANI WA BUNGE ..anafanya nini huko wakati yeye ni makamu mwenyekiti wa chama cha mapinduzi ..au kaenda kufungua shina la CCM -Berlin
ReplyDelete