WAZIRI WA UTALII WA ZENJ SAMIHA SULULU (KATI, BLAUZI NYEKUNDU) NA WAFANYABIASHARA WAKIWA KATIKA MAZUNGUMZO NA WAFANYABIASHARA WALIOHUDHURIA KATIKA MAONESHO YA KIMATAIFA NCHINI BERLIN WAKIWA KATIKA BANDA LA TANZANIA WAKIBADILISHANA MAWAZO LEO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kumbe michuzi umekwenda huko na ujumbe wa serikali ya Zanzibar!!!!!! nilitaka kushangaa vacation ya ujerumani kwa hela gani ulizonazo??? Duh wewe kiboko kwa Kamba...eti " Samahani wadau sijaaga...niko vacation kidogo ujerumani".....Misupu kiboko

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...