Home
Unlabelled
wamkumbuka isaac mabushi?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
DUU KWELI BONDIA AMESHACHUKUA USHINDI HUYU KWELI? BASI NAONA ATA SHEMEJI TRINDAD AND TOBBEGO ANGEKUWA MWANA MASUMBI USHAURI WA BURE KWA NKEYEKU
ReplyDeleteMawifu
Duu hawa jamaa wako choka mbaya!!viatu vinavumbi na sidhani kama walikuwa wamepata lunch kweli!!maana wanaonekana wana njaa sana
ReplyDeleteNa bila kumsahau mwanaMbeya mwenzangu yaani Lucas Msomba!
ReplyDeletemngepangusa viatu hivyo basi kabla hamjapiga picha mbona mnatisha na hilo vumbi kwenye viatu,kweli bongo mnakula vumbi.
ReplyDeleteUstaadh Michuzi umenikumbusha mbali sana, huyo Issac Mabushi ni mtu muhimu sana! Walipeperusha bendera ya Tanzania nje ya mipaka kwa moyo mmoja bila kujali pesa wala umaarufu. Nilibahatika kuonana naye mwaka 1978 Musoma-Biafra wakati tunaishi na mzee wake Elias Mabushi na wadogoze Sweet, David, Azimio na Fany.
ReplyDeleteUstaadh watafute mabingwa wengine kama Lucas Msomba, Habib Kinyogoli nk kwani wanastahili pongezi nyingi. Natoa maoni kwamba, vyombo vyetu vya habari nchini viwe na taratibu za matamasha ya kuwaenzi mashujaa hawa, kwani ni mapema mno kusahaulika kutokana na mchango wao madhubuti kwa taifa letu.