MISA YA KUMUAGA KAKA THOMAS KADUMA ITAFANYIKA JUMAMOSI SAA 8.30 MCHANA MPAKA SAA 10 JIONI KATIKA KANISA LA
ST. MATHEW PARISH
5901 36 AVENUE
HYATTSVILLE MD 20782
TUJUMUIKE NA KUMWAGA MAREHEMU.
ASANTENI SANA KWA MISADA YA HALI NA MALI NA MUNGU AWABARIKI.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. plse inform us how to contribute in bongo, reason for death, what was he doing there in USA.My condolences to his family

    ReplyDelete
  2. You are not serious at all, just want to waste peoples time with you non necessary question, Ukishajua alichokuwa anafanya usa itakuwaje. Watu wengine sijui kama huwa mtatumia maji kwenye vichwa vyenu or is just to write ili na wewe uonekane umeandika comment

    ReplyDelete
  3. wewe anony wa hapo juu mbona unakili za makamasi wewe...hee!
    kifo ni kifo ndugu yangu ,kumbuka LIFE IS A CIRCLE ,MTU KAMA WEWE NADHANI HATA MAREHEMU HATAKI MCHANGO WAKO MAANA MPAKA WAKATI HUU HUJUI WAPI PA KUPELEKA MCHANGO..???
    USIJESHANGAA UKAJA KUFA MDOMO WAZI HATA WAKUKUFUNGA MDOMO WAKO HATAKUWEPO KARIBU NAWE.
    MIND YOUR OWN BEFORE YOUR OWN REMAINDS YOU.

    ReplyDelete
  4. huyo anon hapo juu ni mchawi!anataka kujua alichokuwa anafanya na ni nini kimemuuwa!!jamani!!unata kuloga ndugu zake au?acha roho ya ajabu ajabu bwana...tumuombee marehemu alale mahala pema peponi amen

    ReplyDelete
  5. On behalf of CLASS OF( MZUMBE) 1997 (O-LEVEL) I wish to send our sincere condolences to MSUKA'S FAMILY
    SAIDI-TEXAS

    ReplyDelete
  6. Jamani kosa la huyo anony wa juu kabisa bado sijaliona mbona mnamshambulia hivyo? jamaa ameonyesha interest na kutaka kujua kuhusu marehemu,kuhusu uhai wake na mpaka ni namna gani mauti ilivyomkuta na kwa kumalizia akaulizia jinsi ya kuchangia akiwa Bongo. Kwa maoni yangu ni mtu mwema.

    Sasa wengine kujifanya machinoo sana yaani mnajua mpaka marehemu anavyofikiria eti marehemu hataki mchango wake, mna nia gani nyie?mmeongea nae ndotoni? jamani mambo gani tena hayo?

    Mbona kwenye mazishi mpaka historia za marehemu huwa zinasimuliwa?

    ReplyDelete
  7. Jamani mbona tunawka kama mbogo na kuuliza siyo ujinga, mbona wenzetu ni desturi mtu akifariki husema alichokua anafanya na kilicho muuwa! badala ya kushushuana ni bora tu kusema kwamba hatujui au kunyamaza lakini mimi sioni kosa lolote la huyo mtu hapo juu. lakini tukumbuke hasira ni hasara maswali mengine ni kwa faida yetu sote.

    Mwenyezi mungu amlaze marehemu mahala pema peponi - Amina

    ReplyDelete
  8. Bro,sisi wabongo tuishio hapa columbus Ohio,we would like to say sorry for the family of msuka for loosing their loved one.may Allah comfort them during this hard period.
    RIP bro,

    ReplyDelete
  9. Dah wa Bongo yani ni Kosa kujua kpi kilimsibu marehemu na alikuwa ana shughulika na nini USA?.
    Ina maana huko USA hakuna anaye fariki kwa ugonjwa mwingine zaidi ya UKimwi na kwamba kila aliye kuwa huko ni yuko Illigally?.
    Nauliza hivyo kwa sababu kila mtu ana kuwa offended kwa swali la kwamba Marehemu alifariki kwa ugonjwa upi na alikuwa ana fanya nini USA.
    Kwamtizamo wangu swali hilo kujibiwa hua lina leta chuki sana hwasa kifo cha marehemu kama kina husishwa na Ukimwi au kama Marehemualikwua amezamia huko USA.

    Binafsi sijui wala sija sikia marehemu amefariki na nini, ila sio dhambi kutaka kujua kama Kifo kilisababishwaje ukizingatia kuw akijana ni ana umri mdogo na pia Hata kujua pia je mchango wake hapa duniani ulikuwaje ndio maana tunataka kujua kama je ni University graduate au ni Mbeba box , yote yan mchango mkubwa kwa uchumi wake binafsi na kwa wengine.

    Jamani tusiwe tuna husishwa kila kitu na UKIMWi, kijana ana weza kwua ni ana takiwa kuw amfano mzuri, labda amefanya kitu kikubwa labda ni msomi na ni ana mchangomkubwa, ndio maan wengi walitaka kujua ni alikuwa ana fanay nin huko America.

    R.I.P Kaduma

    ReplyDelete
  10. mwenyekiti wa kamati ya mazishi tunaomba sana tena sana utupatie idadi ya hela zilizopatikana na matumizi yake mara tu tutakapomsafirisha marehemu nyumbani,sababu kuna harufu ya ufisadi imesikika.tutaarifu kupitia blogu hii.

    ReplyDelete
  11. mwenyekiti wa kamati ya mazishi tunaomba sana tena sana utupatie idadi ya hela zilizopatikana na matumizi yake mara tu tutakapomsafirisha marehemu nyumbani,sababu kuna harufu ya ufisadi imesikika.tutaarifu kupitia blogu hii.

    ReplyDelete
  12. Nimesikitika sana na msiba wa KADUMA. Mimi naishi US lakni kwa muda huu niko nje ya nchi. Nilikuwa nataka kutuma mchango wangu wa rambi rambi nikirudi US Monday 3/17. Swali langu ni kuwa -hii account iliyotangazwa awali bado itakuwapo kwa matumizi ya mchango wa msiba? Nitashukuru kama mwanakamati atarudisha majibu. Asanteni na nafurahi kuona watanzania wakijumuika katika shida na raha...Mungu amlaze marehemu Kaduma mahali pema peponi.

    ReplyDelete
  13. Mbona wabongo mna maneno hivi...Jamani muda huu sio wa majungu
    Ukiambiwa marehemu alikua anafanya nini wewe itakusaidia nini?Au alikua illegal wewe itakusaidia nini?? Au alikua anaumwa nini wewe itakusaidia nini?

    Well, alikua anaumwa INI
    sasa are you happy?

    Acheni hizo bwana watu sasa hivi ni wakupeana pole

    Nyie midomo juu tu. Ukumbuke leo kwa mwenzio kesho kwako....Acheni hizo

    ReplyDelete
  14. Inaonyesha jinsi gani mlivyo na mawazo ya kijanja janja yani ya kitapeli tapeli, mkiulizwa marehemu amesibiwa na nini , kazi tuu ni kuhofu labda wana dhani watu wanataka kujua kafa kwa ukimwi au ni alikwua mzamiaji ulaya.
    Sio kila mtu ni ana mtizamo huo, huoni wewe umejua kuwa marehemu amekufa kwa kuugua INI, kwani una dhani wengine hawatataka kujua kwanini amefariki? au ina maana ulisoma kwa bahati mbaya kuwa kafa kwa kuugua ini? nina uwakika ulivyo sikia kafa kitu cha kwanza ni kuuliza alikufa kwa nini na alikwua UK ana fanya nini..damn u!
    Mtu aliye na uhakika na anachofanya hawezi ogopa swali la 'Ulaya una fanyanini', huo ni woga na kuashiria kiasi gani unaye andika ume jumuika na watu wapenda majungu na labda wenye magonjwa ya aibu na uko Illigally huko ulipo .

    ReplyDelete
  15. Wewe 1:41 am kwanza haujui hata ulimwengu uko wapi...huyu mtu kafariki USA na sio UK

    Na kama unataka kujua accomplishments za marehemu nenda kwenye msiba watasoma eulogy. Utafind out all the information over there.

    Mbona huo msiba wa huyo mama leo Michuzi kaweka na hajasema amefariki na nini? Au alikua anafanya nini? Au kuna exceptional kwenye haya matangazo?

    Mimi sifawahamu hawa wote lakini nimesoma hizi comments leo nasema wakati wa matangazo ya misiba tuweke uswahili wetu pembeni kidogo.

    Mjue kuwa wafiwa wanasoma humu kwenye blog pia

    ReplyDelete
  16. Natoa pongezi kwa watz wote waliofanikisha msiba na shughuli nzima ya kumuaga mpendwa wetu Kaduma. Nilikuwa kwenye misa ya kumuombea jana na ushirikiano niliouona kwa watz wa DC na Maryland hauna kifani, kweli I was amazed na Mungu awabariki na kuwazidishia katika kila jambo. Mimi ni mtz kutoka state nyingine na kweli nimefurahishwa sana na ushirikiano wenu hasa ktk suala hili na msiba.Muendelee na moyo huo huo, nyie ndio mnaoelewa nini maana ya upendo na zaidi mmejaliwa mshikamano ambao ni mfano wa kuigwa.Poleni wote na Mungu awafanikishe ktk yote.
    Upumzike kwa amani mpendwa Kaduma, we still love you deeply, U'll be missed a lot!

    ReplyDelete
  17. please msikasirike kujua historia ya marehemu ni sehemu muhimu ya msiba.Na si wote wanaweza kuhudhuria msiba kusikia eulogy, kwani wengine wanaumwa, wako mbali etc.Niliomba account number bongo,plse elewa sio wote tunaishi dar es salaam,wengine tuko mwanza..sio wote ambao wako bongo wapo dar!.Kufahamu mtu amekufa na nini ni muhimu tunaomba obituary, tumuenzi marehemu.Hata marehemu Sokoine alipokufa tulitangaziwa ni ajali, imagine wangesema amekufa tu??????Mze Mzuka needs our support he has been doing a noble job ya kutuelimisha.My condolences once again

    ReplyDelete
  18. Je ukijua Kaduma ni mbeba box ama gradute itakusaidia nini?kwenye maisha yako?
    RIP. Kaduma

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...