mnyalukolo na mai bebi wake malaika
napigwa konozzz na mdau wa frankfurt usiku huu baada ya kuniandalia machopochopozzz (au mapochopochozzzzz???) huku nikiongea na ras makunja. myalukolo huyu anapatikana trance140@hotmail.com halahala wadau huyu ni mke wa mtu na mumewe ana bastola... ohoooo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 49 mpaka sasa

  1. HAYA MICHU....
    SASA VIPI TENA HUKU UNAKULA HUKU WAONGEA NA SIMU...VIPI ILIKUA EMERGENCY????? UNATUAIBISHA WABONGO HUKU NYUMBANI KAMA VILE NI TABIA YETU HIYO.

    ReplyDelete
  2. Acha kutuzibia, ingekuwa mwa mkali ungepgwa kabali namna hiyo?!

    ReplyDelete
  3. Mdau wa ujerumani choka mbaya,,,hilo lijeans mpauko lanini?

    ReplyDelete
  4. CHOKA MBAYA, mdau wa Hitler

    ReplyDelete
  5. Mwambie Mnaylukolo,

    Usekono tulongane.
    Mdau Dar

    ReplyDelete
  6. umesema mke wa mtu mumewe ana bastola sasa mbona yeye kakukumbatia au mumewe ndio anawapiga picha kweli hana wivu na wewe. Swali au yeye ndio kakupa mwaliko wa kufika huko?
    A.H.W (From B)

    ReplyDelete
  7. Tuambie ukweli au wewe ndio mwenye bastola? mbona ww huiogopi? unasubutu kukumbatiwa?

    (From B)

    ReplyDelete
  8. Jamani ehe!mwacheni huyo mdau wa Ujerumani!wewe Anonymous wa 1:02 am na Anonymous wa 1:03am wacheni USHAMBA!!!!Hiyo siyo shida yenu! Ohoo kachoka!jens mpauko!ohoo mdau wa Hitle!yaani huu wote ni ujinga na umasikini wa roho.kama nyinyi hamjachoka wekeni basi picha zenu tuwaone!washenzi wakubwa nyie hamna adabu wala maana.nakuulizeni je kafanya kosa kumkaribisha Issamichuzi chakula?achani wivuuuuu!!!!!!!!

    ReplyDelete
  9. MDAU ULIYESEMA JEANS MPAUKO HILO HUJUI TU. WATU WA MAJUU HAWAMIND MAJEANS MAPYA YA DUKANI. KUNA MAMBO MAWILI HUKU NJE, HASA HUKU USA:

    1) FASHION NI KUVAA MAJEANS YALIYOPAUKA HASA VINAJA 'WANAOKWENDA NA WAKATI.'

    2) JEANS LAZIMA IWE IMETOBOKA MAGOTINI NA YACHOMOZE KIDOGO WAKATI MTU ANATEMBEA. HIYO BONGO HAIJAFIKA? USIBISHE, MAANA SISI NI WATU WA KUIGA TU WALIYOFANYA AKINA UK, USA, UJERUMANI NK.

    3) HUKU NGUO INAFULIWA KWA MASHINE MIAKA YOTE. KAMA ULISHATUMIA MASHINE, UNAJUA NGUO ITAKUWAJE BAADA YA MWEZI MMOJA KAMA UKITUMBUKIZA MWEZI 1 KWENYE MASHINE.


    DADANGU, HILO JEANS MWAKE KABISA. ACHANA NA WANYALUGUSU WASIOELEWA KAMA UKO MAJUU. WENGINE WANAFIKIRI UKO KWA MKWE HUKO.

    ReplyDelete
  10. Duh...na bia pia kiwaziwazi!!!ajbu, Sheikh Simba uko???

    ReplyDelete
  11. ISSA EEE VIPI MAALIM..NAONA MAMAA "..TEMBO.." IMEMKUBALI...."..HABA NA HABA HUJAZA KIBABA.."

    ReplyDelete
  12. Wivu tu unawasumbua hiyo ndoo rangi ya JEANS original

    ReplyDelete
  13. ANGUSAGE BABA, SAMBI SAKO MWENYEWE!

    ReplyDelete
  14. Duh!! chakula kiliwiva vizuri kweli ..naona mwenyeji wako ndio kwanza alikuwa anarudi kubeba BOKSI...Hata NGWANDA lake la kazi hajavua ..EISEE!!Naona mdau choka mbaya utafikiri anaishi ..UK..
    ..MICHU!!wewe na huyo mama mwenye COVER-ROLL..acheni ushamba, kutandaza sahani meza nzima ..kama SOLO la bwana harusi ndio nini? au umeshapata mke wa pili huko !!huwa uchekewi.. wewe

    ReplyDelete
  15. Mara jeans limepauka, mala COVER-ROLL, ooh chakula kimasambaa meza nzima. Ama kweli wabongo nuksi. Kutwa kusema ya wenzenu. Hizo jeans za kupauka ni fashion jamani, acheni ushamba. Njooni viwanja umfumbue macho. Hata David Beckham na mkewe Victoria (Posh Spice) wanazivaa na utajiri wao wote. Na sio wao tu, wengine wengi wanazivaa. Hata Roman Abramovich, yule billionear aliyeshika no 15 mwaka huu (mmiliki wa timu ya Chelsea) anavaa jeans mpauko as a casual wear.

    Mkikosa la kusema bora mkae kimya.

    ReplyDelete
  16. wewe POT sijui nani we ndo mshamba wa kutupa!kwanza COVER ROLL ndo nini?hivi kwani lazima mcriticize?tena bila hata sababu ya msingi,hou ndo USHAMBA na huo ndo USWAHILI typical,mimi sioni choka mbaya yoyote.Mtu hata hamumjui,,come-on!

    ReplyDelete
  17. SHeikh alhaj ustadh michuzi pole pole ndio mwendo, angalia maji machungu hayo yasije kuchuna koo ukawa mass-uul siku ya kiama.

    ReplyDelete
  18. Wee Pot, mwehu nini?? unamind UK inaonekana. wewe mwenyewe jitoe picha yako tukuone, kwanza unaoneka hata kidato hakujapanda pumbafuu weee!

    ReplyDelete
  19. Watoto Wa Mafisadi Kwa Kuchonga Noma Eti Jeans nnn? Sasa Yote Hayo Ya nini .Ina Mana Hata wewe Ukiwa Ndani Kwako Unavunja Kabati??? Mama Yuko Kwake Simple Mnataka Afunje Kabati Akienda Out Je? Acheni Kutoa Uchovu Wa Box au Wa maisha kwa blog yetu. Na wewe kaka Misupu Huli Mpaka Mrenda?? Hiko Kibakuli Si Mrenda Huo?? Hahahaha Kaziiiiiiiii

    ReplyDelete
  20. MICHUZI ACHA KUBANIA WATU ANGEKUA MKE WA MTU ANGEKUPIGA KONOZ..ACHA WENZIO WATUME APPLICATION ZAO KWA MNYALUKOLO

    ReplyDelete
  21. Wanaume wa kitanzania wanapenda kufanya vitu vya kuumiza roho za watu mmojawapo ni wewe Michu

    ReplyDelete
  22. Huyo mke wa mtu mimi ndiyo ninamtaka maana ameweka mpaka mawasiliano. Sasa wewe unaanza kututisha, Mkubwa hatishiwi nyau!

    ReplyDelete
  23. Huyo!Unayempigia simu!Ras Makunja
    atakutungia wimbo!kwa konozi na mke wa mtu!mama kichaa makunja ndio
    zake

    ReplyDelete
  24. WoW!!! Michu na the fulanazzz mupya!!!

    ReplyDelete
  25. Michuzi mbon unaanza bana?Unafikiri yeye mjinga kutoa e-mail yake?

    Tutawasiliana Sis, tena niko karibu sana na Ujerumani...

    Au ndo Manka mwenyewe? Maana Michuzi huchelewi....

    ReplyDelete
  26. Hapa Mzee mwenzangu ulikwama!Ehe mabao mangapi?Lile Kono begani bwana mmmmmmmmmmmmmmmmmh, chichemi,
    namung'unya wala chitemi,ulichika nchanga njomba!Jasho lilikutoka mwe!Na Camera ulimwachia nani?Sukari haina ufundi ndugu yangu.Usijali sana.Hee, Pongezi kwa kwenda ujerumani.Wenzio mwisho kabisa pale Bagamoyo!

    ReplyDelete
  27. We kaka Michu huwa unamueleza my waifu wako kuwa kila kona wewe una mke? Maana sikuwezi kaka... kwanza Sheikhe noma matembo waziwazi...Astafirullah...Sasa kaka Michu itabidi utuwekee pich ya fasti waifu wako...mimi ninahamu kwele tumuone maana ndio itanogesha blogu hii. Basi my waifu wako hana wivu...She must be a brave woman...punguza spidi kaka.



    Mdau kutoka USA

    ReplyDelete
  28. Huyo Dada simjui lakini ningependa sana kumjua sio siri anaonekana mtu mkarimu sana.Mimi ni mnyalukolo mwenzako nakupa hongera kwa kuwa majuu na pia kwa kuwa na upendo kwa wabongo wenzako wanapokutembelea. sio siri wabongo wanaoishi inje EUROPE,USA,UK n.k mara nyingi wanakuwa wamechoka na makazi hawana time ya kumumwandalia mtu chakula cha kinyumbani kama hivyo au kumpa mtu company!ni wachache sana wanafanya hiuvyo!Amini usiamini yalinikuta.Imagine hata e.mail yake katupatia! na ni mke wa mtu hichi kitu kimenifurahisha sana.nitakuandikia!tufamiane zaidi.

    ReplyDelete
  29. Michu umesahau kutuletea live draw ya CL.Au umeona umepangwa na GUNNERS basi unatetemeeeeeeekaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  30. Meza imetandikwa na kitambaa ndani ya nyumba, sio sehemu ya tafrija. Hao ni wachafu au washamba.
    Anyway face can tells.

    ReplyDelete
  31. Huo muundo wa hiyo jeans HAUWEZI kuipata madukani sasa hivi kwa kweli.
    Ni kwa vibibi(mitumbani) tu!
    Mambo ya Red Cross hayo.

    ReplyDelete
  32. Yote tisa; kumi ni hiyo email aliyotoa kwa mikwara... Kunya anye kuku akinya bata kaharisha. Lol! Au wewe una buleti prufu hadi kwenye *&% siyo?

    ReplyDelete
  33. kanunua wapi hiyo jeans jamani, michuzi inaelekea kuchoka, sasa michuzi wewe kila mtu wako inatosha. achia na wenzako.

    ReplyDelete
  34. Du Michuzi wewe mwisho, ughaibuni upo, nyumbani upo, sijui ngurdoto umo ndani, mara mechi uwanja wa taifa wewe ndani,sijui deutsche welle, Duh! yaani maisha hayo ni ma-celebrities tu ndio wanayoyamudu. Halafu kila unapofika watu wanakupokea kwa heshima na taadhima.

    Huyo mama amenifurahisha sana kuendeleza utamaduni wetu wa kitanzania wa kuwa mkarimu mpaka huko ughaibuni na kuwa na upendo kwa watu. Hii ni kitu ya kuigwa wajameni.

    Ukiona watu hawafurahi basi wewe chuna and enjoy, maana wengi wanafurahi tu wakiona mtu yuko chini, mtu akiwa juu wao hawafurahi. Endelea kuwa juu na Mungu akuongezee maana hii service unayotufanyia ya kutukutanisha hapa na njema sana.

    ReplyDelete
  35. Mimi nawashangaa saana mnaomponda dada wa watu, mara ooh, jeans mara ooh, sahani nyingi, mara vitambaa. Hivi wabongo tutaacha lini majungu? ni asili ya muafrika kula kwa sana...different dishes, tatizowenzangu namimi tukishajua kuiga ustaarabu wa wazungu basi tunataka kila mtu awe hivo, tunasahau hata kule kwetu vijijini mambo ni mabaya zaidi....mi nawaita hao washamba.

    ReplyDelete
  36. wat goes around comes around kaka michu mikono umekugeukia.

    ReplyDelete
  37. Nawauliza "WADAU" kutokana na hiyo picha ya huyo Dada na Michuzi!mimi binafsi wala sioni kama ni picha ya (kushangaza au ya ajabu)jamani ehee tembeeni mjionee!nina maana ya kwamba je wangekuwa wamepiga picha ya NGONO sijui mngesemea wapi mbona ingekuwa hatari?Isitoshe sidhani kama huyo Dada alivaa hiyo jens kwa ajiri ya kujionyesha?!!je nawauliza kwani alikuwa kwenye maonyesho ya mavazi au urembo?!!Mtu yuko nyumbani kwake eti unamwita CHOKA MBAYA!JENS MPAUKO! MDAU WA HITLER.Excuse me!!!!
    Huko vijijini na mijini watu wengi wamechoka sana kutokana na matatizo ya magonjwa,njaa, na hawana pesa kabisa za kujisaidia na chochote.Ingekuwa vizuri sana kama kila MDAU angeleta hapa kwa Michuzi picha ya ndugu yake Mmoja aliye'CHOKA MBAYA'ili tujadiliane ni namna gani tunaweza kumsaidia!au mnasemje?Hili ni ombi sio lazima.Mimi nitakuwa wa kwanza kuleta hizo picha za jamaa na ndugu walio 'CHOKAMBAYA'Wenye jens za mitumba wagonjwa,wenye njaa,masikini na ombaomba n.k
    Yote tisa nasema Bro Michuzi he is the BEST kwa kutoa habari.na huyo Dada ni Babu kubwa!waswahili walisema tenda wema nenda zako usingoje shukurani!na ninauhakika ndicho hicho kitu alichokifanya huyo Dada!(MATOKEO YAKE ANAISHIA KUSIMANGWA NA KUKASHIFIWA DADA WA WATU)KUSEMA UKWELI SIYO UBINADAMU HATA KIDOGO.
    Kwani chakula alichomwandalia Bro ISSA wala siyo cha kushangaza ni cha kawaida!sahani za kawaida.Imagine kwani chakula ni nini???ni mavi tuu!mtu anakula kisha anaenda chooni basi! au vipi?
    Wabongo Mmezidi masimango!!!Dunia hii tuliikuta na tutaiacha hivyo hivyo."ENJOY UR LIFE BEFORE YOU DIE" na ndicho hicho kitu Bro Michuzi anacho kifanya!wengi wetu hawajui!Pia wengi wetu tungependa sana kuwa kama yeye!lakini haiwezekani manake Mungu hawezi kukupa kila kitu.Mimi mwenyewe namwonea wivu kwa jinsi anavyojulikana na watu wengi,Safari zisizo kuwa na mwanzo wala mwisho natamani ningekuwa mimi! Belive me!
    "I LOVE ISSAMICHUZI FROM THE BOTTOM OF MY HEART"

    ReplyDelete
  38. Michu ehee!! Mbona kakibania kidole ? hatuoni hata pete? Mume yupo kweli? dada ntakutafuta kwa wakati wangu Bro! Michu mchoyo..

    ReplyDelete
  39. Wadau mnaoponda jeans ya Trance hamna maana,midebwedo woteee..huyu dada yuko matawi ya juu na ni mtu poa hana maringo kifupi amesimama! Sasa nyie vaeni fubu feki za Vietnam Mpaka ziwatoe mbarango mtajiju.
    Big up Trance....msalimie Doris,Sam,Tina,Vero,Rebecca,Neema & Joe....

    ReplyDelete
  40. Dada yetu!Kamatia moyo huo huo!
    wa kuwakarisha wazalendo wenzi!
    wanaotoa maoni pumba !achana nao nao,kwani bongo jua kali na watu wachofu mno!
    Songa mbele Dada yetu!kamatia hapo hapo,majuu ni majuu tu

    ReplyDelete
  41. Haki ya mama leo nimeamini kuwa wa-tanzania wengi wana roho ya kwanini. Kwa nini mko bitter hivyo? Mlinyimwa visa nini? I thought mngemsifia dada yetu kwa ukarimu, lakini wapi. Kwanza tukianza kuchunguza hapa wote mliotoa kashfa si tu mna hali mbaya kiuchumi, bali kifikra pia. Ndio maana hampigi hatua kimaendeleo kwa sababu mko negative.

    Mdau--Seattle, WA, USA

    ReplyDelete
  42. Mdau hapo juu abromavich sio tajiri wa kumi na tano UK, Abromavich tajiri wa chelsea ni tajiri wa tatu uk , usidanganya watu hapa, si tunakuangalia tu !

    ReplyDelete
  43. kwa kweli siamini kama waswahili mna roho mbaya sana kwanza ni wivu tu mnamuonea dada yangu pia ni watu ambao ni duni vibaya mno mi nafurahi sana kumuona dada yangu na mtoto wake malaika shangazi yangu.waswahili mna roho mbaya tena mkome kabisa kuzungumza kuhusu mavazi ya mtu haikuwa fashion show nawewe mtu ambaye unaponda hauna mpango wowote maskini mkubwa we au unahitaji msaada.mlwilo family we are so happy to see sister trace with malaika our first born sister.so please acheni midomo michafu.Dada yangu ana roho nzuri sana tena ya upendo binadamu wote ni sawa kwa hiyo wewe uliyeandika hizo commet wasiliana na mimi ili nikupe ukweli wako.ooooooooh dada malaika amekuwa we mis her.usikonde hao watu ni wivu tu wewe jua we are there for you.salam nyingi sana kutoka kwa REBECCA,WIJNAND,JEROMY,JOSEPH,our brother SAMY,and all my friends from here.

    ReplyDelete
  44. Alaah!!mie nilidhani .Hako ni kajukuu ketu ,...kumbe na wewe bado wamo ,,,umri bado unaruhusu ?

    ReplyDelete
  45. Hakeem kwani ukiambiwa kuwa uyaone unafikiri ni yepi? Humu duniani kadri unavyokua utajionea kadha wa kadha.Binaadamu wengine wapo kwa ajili ya kuharibu tuuuuu wao kila linopitikana wako kinyume kwalo, hawajui kutoa pongezi, hawajui kutia moyo, wala hawajui kufariji. Na utashangaa zaidi kukutana na mtu anatoa machozi au halali usiku na mchana akuharibie.

    Huyu dada amefanya jambo la kiungwana na la tabia zetu za kukaribisha wageni tena myumbani sio hotelini, imemgarimu muda na pesa kuandaa msosi huo ili kumkirimu mgeni na kumfanya bro, ajiskie yuko nyumbani tu hamna ziada, sasa kazi kwa waosha vinywa. eti hivi weeeee ati vile.Mimi nishakutana na wapinga maendeleo hao kibao na usipoangalia watakurudisha nyumbv a kimaendeleo kwa kukukatisha tamaa kwa kila nalojaruibu kulifayna ili waonyeshe kuwa wewe si lolote si chochote Isikutishe songa mbele, fanya lie unalojiskia kufanya mradi huvunji sheria utapata mafanikio, na marafiki wengi na thawabu pia kwa sadaka.

    ReplyDelete
  46. Kaka!Michu
    Chonde chonde!ndugu yetu huyo unayeteta nae kwa simu!hipo siku
    tu tusikia wimbo redioni juu ya
    visa vya!jamaa ras makunja hana adabu hata kidogo

    ReplyDelete
  47. kwanza we!dada hivyo mlivyo keti?huoni kuwa hapo tayari mshampa ulaji huyo ras makunja,hipo siku tutasikiliza wimbo wenu redioni,
    nani? asiyemfahamu ras makunja kwa
    tabia zake!za kuimba watu
    kama mnamawasiliano nae mwambie
    hapa A-town,Arusha mama kimwaga anamtafuta akimpata taijua dunia

    ReplyDelete
  48. Na wewe anon wa Sunday, March 16, 2008 12:37:00 PM EAT
    Mdau wa hapo juu aliposema Abramovich ni tajiri wa 15 HAKUSEMA kuwa ni tajiri wa UK, kwa jinsi nilivyoelewa mie. Isipokuwa kasema ni mmiliki wa timu ya Chelsea UK. Ukisoma gazeti la forbes au online version (world billionares) ya sasa ndio utaona kuwa Abramovich ni tajiri wa 15 yani kwa matajiri wa dunia mwaka huu.

    fungua hii link halafu tazama kushoto kwa page
    http://www.forbes.com/home/lists/2008/03/05/richest-people-billionaires-billionaires08-cx_lk_0305billie_land.html

    ReplyDelete
  49. wasichana wenye wivu utawajua tu, hawaridhiki na maisha kazi kufwata ya wenzao wakati ya kwao yaliwashinda, punguzeni majungu watanzania hamtafika kokote.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...