tabia mwanjelwa, mwanamama aliyetamba sana enzi za maquiz du zaire na wimbo wake wa 'safari' bado libeneke hapa ujiji (ujerumani) na hii ndio albamu yake ya karibuni. hivi sasa anaishi saabrucken sehemu za kusini mwa huku ujiji. nimeongea nae usiku huu na anasema mambo mswano.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Muhidin,

    Nimekoma na wewe! Umemsaka Mwalimu Tabia mpaka ukampata! Ama kweli wewe ni "KIKOLO"! Ndaga fijo.

    Msalimie Mwalimu Mwanjelwa! Pia muulize, tutaipata vipi hiyo CD? Jingine, tafadhali naomba umwasilishe Bongocelebrity wamsaili tupate uhondo zaidi.

    Naomba ukimuona Joana mwambie mwalimu wake hajambo na anamtakia maonyesho mema na yenye mafanikio.

    Mwamba, kumchimbua Tabia machimboni umeniacha hoi kinoma!

    ReplyDelete
  2. Nimekubali, una wito hakika wa kupasha habari. Nakumbuka vibao vya tabia kama mwisho wa maisha ni kifo, Jane maisha ni safari ndefu. Tusaidie jinsi ya kupata CD yake na vilevile nisaidie email au simu yake.

    ReplyDelete
  3. Duh...Mwanjelwa gani hiyo jamani...ya kwetu Mbeya???

    ReplyDelete
  4. Du.... umempata Tabia Mwanjelwa? Sasa tunaomba ufanye juu chini utapatie connection ya kupata CDs zake. Mwambie basi aje UK afanye maonyesho hata siku chache chache, kuna wapenzi wengi tu tena hata accomodation atapata tu bila nomaaaaa

    ReplyDelete
  5. hi kaka michuzi, mie mdau nipo scotland na nimefurahi saana kupata habari za dada tabia mwanjelwa...mie sikujua kama yupo wapi, ila namkumbuka saana alipokuja kutumbuiza katika ukumbi wa kiwanda cha sukari kilombero morogoro mie nikiwa darasa la kwanza! dada huyu sidhani kama anamshindani pale bongo labda saida karoli...sasa nimemtafuta kwa internet anapatikana kwa link ya:http://www.tabia.info/
    cha ajabu maelezo yaliyomo kwa website yake yana makosa mengi saana ya spelling...nashauri arekebishe kwani nguli huyu hafanani na makosa yaliyomo ya spelling...hongera dada Tabia...inabidi ufanye show pale dar watu watafurahi nina imani...

    ReplyDelete
  6. Roxann, Meier
    Comment: Our son died over there in Tanzania on August 26,2007 and we have not been told anything about it except he was with a woman. He was my only son and the reason I got up in the morning. He went over there to find his son Robbie who was born in the States but his mother would never let Tim see his son and had many boyfriends no matter where she went. Can you please let me know about his death and where the children are. There is another one, a girl I am told that was born after my son diedover there.Any information is welome. Please. His common law wife is Mwahija Mattola. We just want to know what is happening. We really would love to see our grorandkids from over there. Thank you for anything you can do.
    thank you, roxannmoyer@yahoo.com

    ReplyDelete
  7. Roxann, Meier

  8. Shukran nyingi Michuzi kwa kumpata mama wa Muziki Tanzania...
    Kifupi niliwahi soma habari toka site moja ya Arusha. Kumbe wamemzika mzima mzima.. Duh!waandishi wa Bongo jamanai.. someni hapa..
    http://www.arushatimes.co.tz/2005/49/sports_1.htm

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...