Hi, am from Kenya.
Have a friend looking for a job in Moshi on a farm, he is more on the technical farm so anything from logistics to workshop managerial.
Moshi is the ideal place for him. He is a Kenyan but of the Seychelloise ethnic group, very hard working, matured and experienced.
Many thanks
Susan Talma
EABS Bank Limited
Head Office
talma@eabsbank.com
Moshi is the ideal place for him. He is a Kenyan but of the Seychelloise ethnic group, very hard working, matured and experienced.
Many thanks
Susan Talma
EABS Bank Limited
Head Office
talma@eabsbank.com
Hapa katika kiwanda cha sukari moshi, Ipo kazi ya kupara miwa kabla haijaingizwa kwa ajili ya kusagwa kwenye mashine. Lakini unakimbia nini Kenya au mungiki?
ReplyDeletehaya haya... fujo zimepungua rudini kwenu sasa kumefikiwa makubaliano ya amani na Odingakaahidi baada ya miezi 6 hali ya uchumi itarudi kama mwanzo.
ReplyDeleteUDumu Ujirani mwema!
sasa wewe sisi tunapunguza wageni ili wenyeji wawe na ajira wewe unakuja na yako tena ngoja mpaka east africa community iundwe ntakutafutia kazi
ReplyDeleteRadar Limited
ReplyDeleteTell him to mail his CV to the email below here on this forum all you will get is jokers...
International House (3rd Floor)
Garden Avenue
Dar es Salaam, Tanzania
Tel: +255 22 2124594
Fax: +255 22 2124597
Email: jonathan@radarrecruitment.com
Tafadhali mwandikie Managing Director barua ya maombi na kama bahati itakuunga mkono basi kama wanavyosema 'bob is your uncle'...Mola akusaidie kujipatia riziki halali.
ReplyDeleteHivi jamani hawa wakenya bado wanafikiri ni bora kuliko sisi? Kama kuna kazi huko Moshi, kwanini iende kwa mkenya na sio kwa mtanzania? Mimi wananiudhi sana. Bakini huko huko kwenu, hapa Bongo hakuna nafasi.
ReplyDelete