charles mtawali a.k.a 'mzee wa magari' na mai waifu wake wakiwa na mtangazaji mahiri wa EATV ben kinyaiya (juu) christian bela (chini) wa akudo sound jana msasani beach club. huyu bwana hana mshindani bongo kwa kuagiza na kuuza magari ya kila aina


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. Namiss nyumbani eh oh namiss nyumba eh... Damn! na hii baridi na stoms mara itakuwa pasaka yenye baridi kuliko zote mh! anyway...
    Londoner

    ReplyDelete
  2. hata mai waifu wake ana gida nyagi si mchezo hahaaaaaaaaaaaaa,

    ReplyDelete
  3. PICHA YA CHINI: Hapo namuona mzee wa magari anazama mfukoni...huo ni mzinga au ilikuwa anachulua leso?? mzee wa magari kama ukiiona hii comment naomba uwe muwazi na useme tu kama ulipigwa mzinga na mshikaji...msema kweli ni mpenzi wa Mungu!!

    ReplyDelete
  4. Hana mpinzani eehee subiri watu soon tuna shusha 40ft 5 halafu mliambie hana mpizani.halafu uniambie

    ReplyDelete
  5. huyu mwenye red tshirt ni nani?? mmmh kaka looking god in the eyes.

    ReplyDelete
  6. Hongera kaka Kipara!
    Nakutakia Mafanikio Mema.

    Ndema Mapunda

    ReplyDelete
  7. vipi africarers kule pugu road?
    acha kudanganya watu mr michuzi

    ReplyDelete
  8. UKIWA UMEOA HAIMANISHI UNAZUIWA KUPENDWA AU UNAJIZUIA KUPENDA, MIMI NI MWANAMKE YAANI NAMZIMIA SANA HUYU JAMAA! JAMANI NISAIDIENI!! YAANI CHARLES UKITEMBEA WEKA AKILINI KUNA MDADA ANAKUPENDA SANA SIWEZI TU KUKUTONGAZA!!

    SECRET ADMIRE

    ReplyDelete
  9. huyu charles mtawale ametoka mbali sana.Ni mtoto wa mjini original.Unakumbuka biashara ya robot shoes vya Harare,Charles???

    ReplyDelete
  10. hoo namkubumka huyu bwana na ndugu yake mmoja manywele.wapi manywele ?,alikuwa mkorofi kupita maelezo huyu manywele.

    ReplyDelete
  11. We mzee wa magari angalia hao wanaojidai kuwa karibu na wewe wanattaka uwadakishe wana njaa kama nini? halafu ukiyumba kidogo tu wanakukimbia

    Katochi)

    ReplyDelete
  12. DADA HAPO JUU USIJALI KAMA UMEMENDA WALA UNA HAJA YA KUOMBA MSAMAHA MTU CHUKUA TU HAKUNA MALI YA MTU SIKU HIZI SASA SISI NDIO MNATEGEMEA TUWE SINGLE MPAKA LINI CHUKUA HAKUNA CHA MTU HAPA TUNIANI DUNIA NI YA MUNGU WATU NI WAKE SO HAKUNA MUME WA MTU WALA MKE WATU MIMI NACHUKUA TU AS LONG NATUMIA VIGEZOO NABEBA TUUUUUU MKITUONA MJINI TUNAENDESHA MAPRADO NDIO MJUEE WAUME ZENU WANAFANYA KAZI OR ELSE NIPE KAKA YAKO AU SHEMEJI YAKO IF NOT I'LL KEEP MY NAME HUSBAND SNATCHER OKKKKKKKKKK

    SHIRIWA

    ReplyDelete
  13. DUH,HII PICHA IMENIKUMBUSHA MBALI MNOOO.. I MISS THIS GUY MNOO NA MSHKAJI WAKE MUDDI MASS.
    I CANT WAIT NIRUDI BONGO KWA BI'MKUBWA.

    ReplyDelete
  14. We anony wa Monday, March 17, 2008 2:15:00 PM EAT.
    tafadhari naomba nifate mimi pia nna hela kuliko huyo jamaa maana najua mabint wa kibongo mmeweka masrahi mbele!

    ReplyDelete
  15. kama ni mke umepata ndugu yangu hana maringo, hana makundi,katika maisha yako yote uliyo ishi zamani ulikuwa bado haujapata mwanamke anayekustahili, huyu ni hakiyako kaka. mnapendana mnaheshimiana tunaiga mfano wako kaka. katoka kwenye familia ya kitajiri hana njaa, hajafata hela zako, kakupenda kwa mapenzi ya dhati.

    ReplyDelete
  16. Chama ya Regent estate, linwis.
    Thats were iron men and fine ladies come from.

    ReplyDelete
  17. BiG uP Ben Kinyaiya!! Hiyo T-Shirt ya Dag maana yake ni DULLA AUTO GARAGE. Ipo Moshi! Karibuni.

    ReplyDelete
  18. Charle u r a good guy! the sky is the limit, jaza magari mjini,barabara zinapanuliwa, usiwe na wasiwasi..your tisi comrade at Coloseum gym..george

    ReplyDelete
  19. Jamani mambo ya "kati" mmeyapa kipaumbele kupita kawa! La msingi tujiulize alizidaka vipi? Ni fisadi? Ni mtumia bastola 9t? Ni 'mbagamoyo' au amekopa? Au ni mmoja wa wanaotuharibia vijana kwa unga? Nikitoka vipi nimfikie au nimpite; na kwa wale wenye nazo, je mkiwekeza .... Kutoka sio lelemama jamani. Fungua bongo yako
    SEV

    ReplyDelete
  20. bi up men!! mmependeza!!

    ReplyDelete
  21. chacha nakuona kweli mambo mswano au unatutisha tu kama kweli mambo ni mswano wewe kula kukuwako tu wakati ndiyo huuu,,,,dekka one (usa)

    ReplyDelete
  22. mama lady p vipi nakucheki na mzee wa magari mkurugenzi wa makampuni tanzu mimi dekka one (USA)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...