dj seif wa disko la bakulutu la pink coconut anatuambia mambo yameanza upya kila jumamosi pale hunters club, kinondoni, nyuma ya soko la tx. wapenzi wa muziku wa watu wazima kazi kwenu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. KAKA SEIF KAMA KAWAIDA. AHADI YAKO KWAMBA UTARUDI NIMEIAMINIA. NAOMBA TAFADHALI WE NEED THE SAME STUFF'S ZA PINK ILEILE. WENGE ORIGINAL, KOFFI, VIVA LA MUSICA, STINO MUBI,ZAIKO LANGALANGA BILA KUSAHAU WIMBO MIZELLE.TUTAJITAHIDI KUWEPO JUMAMOSI MAANA HATUNA SEHEMU ZA KWENDA KUPATA MIZIKI YETU YA WAKATI ULE.

    ReplyDelete
  2. jamani dakika moja ya kuomboleza kifo cha Dj. Abel Siwale-Bube

    ReplyDelete
  3. pole brother sefu kwa kuondokewa na rafikiako Abel siwale.....Rest in Peace Abel-------Mkwawa rd

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...