hii ndinga niliikuta doha, qatar, ikichezeshewa bahati nasibu. nami pia nimekata...huwezi jua...
,

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. hapo kila siku kuna bahati nasibu na sijui nani anashindaga maana nilikataa weee mh1 good lucky though
    Londoner

    ReplyDelete
  2. Sasa ukishinda utapitaje nayo kwenye matuta?

    ReplyDelete
  3. sema tu bahati nasibu kumbe ndio zile pesa zetu za EPA na za richmond bro misupu,sio mimi ila ndio waswahili watakavyosema

    ReplyDelete
  4. kaka kila la kheri ila uki win wauzie mafisadi maana njia hakuna ni tutazz na handakizz so uza kamata mpunga

    ReplyDelete
  5. Tazito wese lenyewe diesel fyuchaling kerosene,miezi sita tu mimoshi kibao

    ReplyDelete
  6. DUH,INAFANANA NA YANGU,SEMA MINE NI JET BLACK......
    UNABISHA????????????

    ReplyDelete
  7. Michuzi usituyayushe wewe kama umenunua sisi atuna noma bana ,matunda ya BOT

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...