MICHUZI,

NIMEFURAHISHWA SANA NA CONTRIBUTION YA RAS NAS TOKA WASHINGTON DC KUHUSU "THE LIVING LEGEND" MR. GREGORY ISAACS.MIMI NILIPATA BAHATI YA KUM"INTERVIEW" MR.ISAACS MIAKA MIWILI ILIYOPITA (2006) KAMA PART-TIME CORRESPONDENT WA GAZETI LA KIJERUMANI "REGGAE NEWS MAGAZINE".


MR. ISAACS ALIKUWA KATIKA EUROPEAN TOUR YAKE AMBAYO ILIMLETA HAPA VIENNA KATIKA UKUMBI WA "WUK".NAFIKIRI WASOMAJI WAKO WENGI AMBAO WAKO FAMILIAR NA VIENNA WANAUJUA HUU UKUMBI MAARUFU. KATIKA CONCERT HIYO MZEE GREGORY ALITUCHAKAZA NA "ZILIPENDWA" ZAKE.


FROM NIGHT NURSE,OBJECTION OVERRULED,FRONT DOOR,GI ME,CONFIRM RESERVATION,PERMANENT LOVER,SUBSTITUTE,STRANGER IN TOWN,SAD TO KNOW MPAKA KWENYE ILE ANTHEM YAKE "BORDER" AMBAYO IKIPIGWA KILA MTU ANAIMBA MANENO KWA MNENO.


PICHANI NI BACKSTAGE BAADA YA INTERVIEW.NA NI KWELI YEYE SIYO KIJANA TENA LAKINI ANAANGUSHA VYOMBO KWENYE STAGE MPAKA UNASHANGAA ! .
PETER TUHERI
MTUI,
AUSTRIA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. GREGORY NI BABA LAO KTK REGGAE KIPINDI HICHO.NAKUAMINIA NDUGU YANGU PETER. BONGO LINI TENA? TUPE NA ILE PHOTO YAKO NA ZIGGY MARLEY

    ReplyDelete
  2. Wee Huyu jamaa alikuwa kiboko wa Reggae nakumbuka enzi zile 'waya mkali' wimbo wake unao sema "I dont have money but what I've got is love" ilikuwa kama changamoto that success is always near!

    ReplyDelete
  3. Gregory Issack! Zee la Sweet Lover
    Reggae! yaani mzee mzima yeye na mapenzi!Nyimbo zake raha tupu

    ReplyDelete
  4. Cool Ruler alifunika bovu Toronto wiki iliyopita, pamoja na umri bado anatisha. Mdau Peter Mtui shukrani kwa taarifa.
    Mdau, Canada.

    ReplyDelete
  5. Peter Tuheri Mtui, je huwa pia uakatisha mitaa ya Paddington na Edgware Road, London?. Maana huwa nasalimiana na jamaa copy right na wewe kwa ishara za Londoners. Unakumbuka stori ya Mohammed Boudia na Carlos The Jackal.
    Next time nitajaribu kubonga kiswahili maana isije labda tunapitana hivi hivi wabogo. Pia nilisoma na kina A-F Mtui O'Bay Dsm.
    Mdau
    London
    NW1 6RL

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...