

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Just another Chibiriti!
ReplyDeleteTumia nafasi uliyonayo kufanya mambo muhimu kwa ajili yako mwenyewe, pia kama unaweza, kwa ajili ya watanzania wenzio. Anglia mifano ya watu ambao hawafanyi vitu vikubwa sana, hawapigi picha na watu maarufu duniani.
Lakini michango na ubunifu wao ni muhimu sana kwetu wote pamoja na wewe Bwana Ayoub unanufaika. Mfano kina Michuzi, Kipanya, Mjengwa, food for thought na wengine wengi.
Umewahi kuona picha ya Kipanya na mtu yoyote maarufu? lakini je ujumbe wake unawagusa wangapi? Siyo vibaya kutuonyesha picha zako, lakini ziwe zinaambatana na ujumbe muhumu.
Kumbuka hii siyo ile miaka ya arobaini na sita. Ukiwa nje ya nchi unaonekana uko peponi. Hata mimi ninayeandika ujumbe huu niko nje ya nchi miaka kibao. Lakini sidhani kama tunawasaidia kwa kupiga picha kama hizi.
Tufikiri njia zinazifaa kuwasaidia wenzetu, kujenga nchi "kama inawezekana".
Nakutakia kila la heri. Tutaonana kwenye Tanzania Diaspora (London)mwezi ujao.
Bwana Michuzi, choonde, naomba usibanie ujumbe huu. Ni vyema kuelekezana.