mkurugenzi wa programu ya kitaifa kuondoa matende nchini dr. mwele malecela (kati) akiongea na waandishi sasa hivi katika ukumbi wa maelezo kuhusiana na mkutano wa kimataifa wa juhudi za kutokomeza matende na mabusha duniani uliopangwa kufanyika ngurdoto, a-taun, kuanzia tarehe 1 hadi 3 Aprili . dk. malecela aliongelea na kutoa ufafanuzi kuhusu tatizo la mabusha ambapo amesema kwenye mkutano huo pia yataongelewa
Home
Unlabelled
mkutano wa kimataifa kutokomeza matende na mabusha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Sisi watu wa pwani busha ni dalili ya umwinyi, Pia kuna madai kuwa akina mama wanayapenda wakati wa mechi na wanayaita kitenisi. Any way mimi sijui ila ninachofahamu ni kwamba busha ni ugonjwa unaotibika.Nafikiri wenye mabusha wanafahamu adha ya ugonjwa huo hivyo shime changamkieni dili ya kuyatibu.
ReplyDeleteMdau Kisiju
Michu,
ReplyDeleteKuuliza si ujinga, je juisi asilia ya madafu husababisha busha au ni maneno ya kijiweni?
Maana kampeni hii pia iende na kuelewesha wana jamii busha husababishwa na nini, au na sie tuombe vyandarua vilivyotiwa dawa kutokana na msaada wa Mh.G. Bush?
Mdau
Kiguruwe
Kongowe