Home
Unlabelled
: Bei za mazao ya chakula gunia la kilo 100 tarehe 9/4/2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huu ni mfumo mbovu kabisa wa kutafuta inflation rate ya kila mwezi. Tanzania still wanatumia njia mwehu hii ambayo imetumika miaka ya 1950. ndio maana tunasikia mara inflation imeshuka kwa kiasi hiki, mara tulikosea. Sababu huwezi pima inflation kwa kutumia gunia
ReplyDeleteNashauri tuwe na vipimo viwili, CPI yaani consumer prince Index and PPI. Serikali na wananchi wawe wana focus kwenye CPI ambapo serikali itaseti kapu ambalo litajazwa bidhaa muhimu zinazotumiwa na watanzania wote, then zitatafutwa avarage, then serikali itarudi hii procidure kwa kila mwezi, then one of the month have to asigned as base. Hoo njia ya zamani lakini inatoa atleast reality figure, japo kuwa ina matatizo yake.
Arusha mbona vitu ghali kuliko mahali popote?kweli A.City ni noma
ReplyDeletebongo tambarare lakini ...gunia la mchele kg 80 ni 100,000 tshs? Mbona ghali hivyo bora michele yetu inatoka china...
ReplyDeleteukinunua basmati rice unaotoka India unalipa dola 12.00 kwa 10 Ibs = 22kg... na kama ukinunua aunt Jemima ndio dola 6 tu kwa 10 ibs....
Kama bongo kilo moja ni 1250 ...wakati huku mchele unaotoka India ndio unanunua approx. kilo moja kwa cent 55 na aunt Jemima ndio sijui 30 cents.....Bongo tambarare...lakini huo mchele utaliwa kweli....Na tulivyo wengi kwa family ...lazima ufisadi utembee hapo ndio watu wale mpunga....
Ndio shilingi inaporomoka, hivi tutafika kweli?
ReplyDeleteheeeeeee! apo juu? pound kumi sawa na kilo 22! hoyeeeeeeeeeeeeee.
ReplyDelete