Jk akutana na mjane wa aliyekuwa waziri mkuu wa India marehemu Rajiv Gandhi kwa mazungumzo kwenye hoteli ya Ashokjijini New Delhi.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 26 mpaka sasa

  1. MMHHHHHHHHHHH!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. Kwa Taarifa Tanzania tunaongoza kwa kuwa na most Handsome president...maraisi wengine wanatisha jamani!!! kama raisi wa

    ReplyDelete
  3. watu wengine bwana....! sasa raisi handsome atakusaidia nini? kwani tupo katika 'showbiz'!

    katika nchi tuliyojaliwa ujinga, basi bongo tumo kama inavyoonyeshwa na huyo mchangiaji 10/04/2008, saa 7.53 AM.

    you sound like a single old woman!..aren't you?

    ReplyDelete
  4. Rudi nyumbani ukainue shilingi yetu. Pesa yetu sasa haina thamani na na hata ongezeko la mshahara halina maana tena kwani uwezo wa kununua umeshuka sana.Bora enzi za BM

    ReplyDelete
  5. WEWE ANONY HAPO JUU!!!! UZURI WA RAIS SISI UNATUSADIA NINI???!! TUNATAKA MCHAPA KAZI, SIO KUUZA SURA EBO!AU WEWE NDIO WALE WATOTO WA MBEZI WENYE LESENI YA NDEGE?!

    ReplyDelete
  6. MKONOZZZZZZZ!!!!

    ReplyDelete
  7. ?X*=Graca Machel Mandela.Just jocking mama wa watu amezeeka.

    ReplyDelete
  8. HAHAHAA!NAMASITEEEEEEEE!

    ReplyDelete
  9. She make me cry too

    ReplyDelete
  10. raisi wetu kwa kutembea kiboko...nchi inabajeti tegemezi kwa asilimia 80...matumizi ya safari yanalipwa na nani hao AU? haya mkutano wenyewe hauna manufaa kwa nchi yetu...hali inazidi kuwa ngumu..shilingi chalii..nauli zapanda daily...nafaka bei juu....huyaoni haya mzee tena ni mwanauchumi wewe toka pale mlimani..washauri wako wakoje hao...

    ReplyDelete
  11. Mzee mkono huo!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  12. Jamani tuangalie mbele hawa jamaa wanania nzuri nasisi kweli africa?.Maana kesho utasikia japani nae na mkutano na nchi za africa .kwanni serikali zetu zinapelekwa kama kichwa cha mwendawazimu .Utajiri tulio nao tusiwaoachie waje wawekeze wao tu kwanini serikali isiwawezeshe watanzania kwa njia ya wao wenyewe kujiwezesha kwa njia ya kununua hisa za mradi husika na kuwa msimamizi mkuu, badala hawa jamaa wenye nyuklia kila siku kutupangia bei za rasilmali zetu kila siku . tuamke jamani tuache kulala. MAANA WASHAONA HUO UTAJIRI INA MAANA WATATUGOMBANISHA TU KWA KILA MMOJA KUVUTIA KWAKE .NATUSISHANGAE KUONA MIKATA KAMA WALIO ANDIKIWA AKINA KIMWERI.MAANA AKINA KIMWERI TUNAO WENGI.NAOMBA KUULIZA WAO WALIWEZAJE NASISI TUNASHINDWA NINI? AU NI UBINAFSI WETU WA KUTAKA KUJILIMBIKIZIA MALI KWA WACHACHE WANAOPEWA MADARAKA.TUNAJIRISHA WAO KWA KUIFAZI HIZO FEDHA ZA WIZI KWAO .TUAMKE UJINGA WA KUTOJUA KUSOMA ULISHAONDOLEWA KWA MUDA MREFU NINI KINACHOTUFANYA TUWE MASIKI JAMAANI

    ReplyDelete
  13. NAMUONA VASCO DAGAMA AKA JK, SIJUI THIS TIME ANAENDA KUVUMBUA WAPI, KWA HALI HII TUTAFIKA KWELI JAMANI??

    ReplyDelete
  14. kama alikuwa anamvuta vile ! Mkono jamani...
    ila mjane haina shobo!

    ReplyDelete
  15. HAWA WALALAMISHI MMESHAAMKA? SASA HAPO MNALALAMIKA NINI HASA? EEH HIVI MLIFIKIRI URAISI NI KUJIFUNGIA MAGOGONI? AKIENDA ARUSHA MWALIA, AKIENDA MWANZA MWAPIKA KELELE, AKIENDA NJE YA NCHI KWENYE MIKUTANO MWALIA. HEBU KUENI ACHENI UTOTO WA KULALAMIKIA KILA KITU HATA HAO WAKURUGENZI WA MASHIRIKA WANASAFIRI MIKUTANONI SEMBUZE RAIS WA NCHI. SASA HEBU NIWAULIZE RAIS AKIKAA TU HAPO IKULU NA MAKARATASI YAKE,NA NYIE MWENDELEE NA TABIA ILE ILE YA KUTOFANYA KAZI KWA UFANISI, RUSHWA NA MAMBO MENGINE MAENEYO YENU YA KAZI UCHUMI UTAPANDA?

    ReplyDelete
  16. Nyie vipi, uchumi tumeshindwa! so president akiwa handsome angalau atakuawa anapata... si unaona hapo! halafu mama salma kusafiri peke yako usijemlaumi kaka yetu.... we si unaona anavyovutia! haya.....!

    ReplyDelete
  17. Ujinga wa kiakili umetufanya sisi tuwe maskini pamoja na udanganyifu wa kimoyo,nia chafu ya kupora mali ya umaa,ubaguzi wa rangi,ukabila,kutokuwa na mapenzi ya nchi n.k...niendeleee!!!

    ReplyDelete
  18. Kikwete amefanya makubaliano na kampuni ya INDIA inayozalisha matrekta kuiuzia Tanzania kwa bei nafuu.
    Mdau

    ReplyDelete
  19. Kushughulikia mafisadi ni kazi ngumu - Pinda

    2008-04-10 10:35:14
    Na Joseph Mwendapole na John Ngunge, Dodoma


    Waziri Mkuu, Bw. Mizengo Pinda, amesema kuwashughulikia mafisadi ni kazi ngumu inayohitaji umakini wa hali ya juu.

    Aliyasema hayo mjini Dodoma jana wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali.

    Bw. Pinda alikuwa akijibu swali aliloulizwa namna anavyowashughulikia waliohusika na wizi katika akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) ndani ya BoT.

    Alitetea uamuzi wa serikali wa kuendelea kupokea fedha zinazorejeshwa na mafisadi hao bila kuwataja majina kuwa unamanufaa makubwa.

    Aidha, alisema serikali inachotaka kwa sasa ni fedha na kwamba baada ya hapo ndipo itaangalia namna ya kuwashtaki waliohusika.

    Alisema hata majina yao yatatangazwa baada ya shughuli ya kurejesha fedha hizo na uchunguzi kukamilika.

    ``Usipojipanga vizuri unaweza kukurupuka kuwashtaki na wakakushinda, hivyo utapoteza vyote, kesi umeshindwa na fedha hujapata, sasa serikali kwanza inaona cha muhimu ni kupata fedha zake, mambo mengine baadae,`` alisisitiza Bw. Pinda.

    Alisisitiza kuwa kutaja majina ya waliochota fedha hizo ni kuvuruga uchunguzi unaoendelea.

    Alisema hata yeye binafsi ana shauku ya kujua majina ya watu waliohusika katika sakata hilo lakini aliomba wananchi kuendelea kuvuta subira.

    Bw. Pinda alisema atajitahidi kwenda na kasi aliyokuwa nayo Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Bw. Edward Lowassa.

    Alimsifu Bw. Lowassa kuwa alikuwa na kasi kubwa katika kusukuma mambo mbele na kwamba atajitahidi kufuata nyayo hizo.

    ``Na ndiyo maana nimemua kubaki na watu waliokuwa karibu na Bw. Lowassa ili wanisaidie kazi, wao wanajua mipango yote, watanisaidia kusonga mbele. Sitaki kuanza upya,`` alisema.

    Aliulizwa pia endapo serikali ina mpango wa kumfukuza kazi Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), lakini alisema mambo yote yatajulikana baadae.

    Wakati huo huo, Bw. Pinda leo atawekwa kitimoto na wabunge kwa kuulizwa maswali na kuyajibu moja kwa moja.

    Alipoulizwa na waandishi wa habari amejiandaaje kujibu maswali ya wabunge, Bw. Pinda alisema amejiandaa kisaikolojia na kwamba anaamini atamudu kujibu maswali yote.

    ``Nitatumia uzoefu wangu wa kukaa serikalini muda mrefu kujibu na vile vile ufahamu wangu, lakini pia nimejiandaa kisaikolojia,`` alisema.

    SOURCE: Nipashe

    ReplyDelete
  20. Jamani sio kulalamika, ninyi mmeona wapi marais wa nchi zilizoendelea wakisafiri kama rais wetu? ameshazunguka dunia nzima, wala anachokifanya hakieleweki. nchi imemshinda huyo.!!! mafisadi hadi leo amewaweka mfukoni, kwa nini hata ile ripoti ya richlowass hajaifanyia kazi? mbona mapendekezo hatujayasikia? nchi ina shida nyingi, rais hakai nchini, akikaa sana sana anaenda kwenye semina za mabusha na mambo elekezi ngurdoto, hizo garama analipa nani? halafu ahadi zake ni nyingi wala hazitekelezeki. watu wanaomfagilia huyu sijui vipi. mimi bado hajanigusa kabsaaaaa,
    MDAU, japan

    ReplyDelete
  21. Pinda! Unasema unakusanya kwanza hela halafu kesi baadae kwa kuogopa kwamba ukiwashtaki sasa hivi wanaweza kukushinda ukapoteza na hizo hela ambazo wangerudisha What is this??

    Je ukija washtaki wakakushinda na hela walishakupa UTAWARUDISHIA? au ni danganya toto serikali imefanya DEAL ya kurudishiwa fedha ila hakuna majina na kesi?

    Kama ndivyo si uwatangazie tu warudishe wengi kulikoni sasa wanaweza wakaanza kuogopa kwa kutokujua hatma yao?
    Kidumu chama cha mapinduzi
    Kada

    ReplyDelete
  22. Kikwete has to do the BEST of the little time left.Um afraid time is running out pretty fast.Promising and Delivering are two different sides.For how long should Tanzanians most of them trapped by Extreme Poverty wait to see the glimpse of HOPE/LIGHT at the end of the tunnel?What is it that Kikwete does not know is happening in the Developed World?For him to be making so many expeditions to the outside world at atime when this country demanded his utmost attention?If you SUBTRACTED AID FROM THE BILATERAL EQUATION what would Kikwete be discussing with fellow World Leaders at such Forums?What would he be selling from Tanzania to the rest of the World?Had he ever thought in his life Why Tanzania has FAILED TO INDUSTRIALISE all these years despite tons and tons of EMPTY POLITICAL RHETORIC?While acknowledging the immense gravity of Political Leadership in a fragile economy such as ours,gross abuse of Public Office can not be tolerated even if committed by surboninates who continue to masquerade as political Idols all out to save this unfortunate country from economic collapse!Its high time Kikwete zipped out of his Political Cocoon and demonstrated his Political Muscle by ROOTING OUT all the Political ROT in his Que!The BALLOT can HIT just like!

    ReplyDelete
  23. Mh! Our international president. Ila kuna safari nyingine zinalipa, hasa zile ambazo anafanya dili kubwa kubwa.

    Yote kwa yote, safari ni nyingi mno jamani. Cost Benefit principle iteki pati. Au ndio kujiglobalaizisha pengine? Let's think twice, tusipaniki.

    Mungu bariki taifa hili changa.

    Sev

    ReplyDelete
  24. Miaka ya nafikili'70 kulikuwa na kiwanda cha umma cha zana za kilimo (UFI) pale DAR. Je bado kipo au kilishabinafisishwa?

    ReplyDelete
  25. jk achana na hawa wazushi.umependeza na tunakukubali kwa asilimia 80 waache waumie.hawana mpya hawa.chapa mziko mwanangu JK. 2010 UNA KURA YANGU KAMA KAWA!!

    ReplyDelete
  26. Sisi tunachotaka ni maendelea, acha aende popote, huenda wakaja wawekezaji wazuri wakatusaidia, kinachotakiwa mwishowe tupime gharama za anakokwenda na matokeo yake. Tusikimbilie kulaumu kabla hatujaona matokeao yake, ingawaje kiuzoefu wawekezaji wote wapo kwa maslahi ya `kwao'
    Hapa bongo tunasifika kwa kuwa ma-cheap labour! Tunalipwa kiduchu, wakati tunasoteshwa masaa kibao kazini!
    m3

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...