
MMOJA WA WAMAASAI WALIOKWENDA KUKIMBIA MARATHON HUKO LONDON AALIANGUKA NA KUZIMIA AKIWA ANAKATA MBUGA NA AMEKIMBIZWA HOSPITALI SASA HIVI, KWA MUJIBU WA HABARI AMBAZO ZIMEINGIA SASA HIVI. GLOBU YENU HII YA JAMII INAGUATILIA HABARI HIYO NA ITAWAJULISHA ZAIDI MUDA SI MREFU UJAO. INASEMEKANA NDUGU YETU HUYO ANAITWA ISAYA
JUU NI WAKIMBIAJI HAO WA KIMASAI KABLA YA HIYO AJALI. PICHA ZA MBIO HIZO KWA MUJIBU WA BBC BOFYA HAPA
Breaking news
From Ayoub Mzee in London
The 100th anniversary of the marathon was marked in the most fitting way this morning when Martin Lel from kenya won his third Flora London Marathon title and led three men under 2:06 for the greatest in-depth men’s marathon in history.
But it has been disappointing for Tanzania as Ngovu, Lengami, Nina and Kesika of the Maasai completed the London flora Marathon but
Isaya has been admitted to hospital as a precaution after feeling nauseous at the halfway point.
He is under observation and his condition is stable, and we understand he is likely to be released later. Fellow Maasai Taico accompanied Isaya to hospital. No further information will be given out at this stage.
Our hearts, prayers and thoughts are with him


Nadhani namna nzuri ya kumtaja ingekuwa "mmoja wa watanzania" badala ya mmoja wa wamasai.
ReplyDeleteHuyo mmasai wa watu kazoea kunywa lushoro na kisusio nyie mnampa mayai,sausages,and cornflakes, asubuhi na mikate unafikiri ataweza kukimbia kweli?kwanini hamkuuumpa loshoro na kisusio?
ReplyDeletekyekue
May GOD be with him. Apart from lengo la hawa jamaa kukimbia mbio hizo, watakuwa wameitangaza nchi kuliko hata yale mabango yaliyowekwa kwenye mabasi. nafikiri watu wengi watakaoona hayo mashindano, watapenda kujua what r they where r they from n why r 'em. sijui kama tulikuwa tumejiandaa kwa hivyo.
ReplyDeleteHawa jamaa walitakiwa waje huku mapema kidogo ili wazoee hali ya hewa ambayo ni tofauti sana na ile ya Tz,ndo maana jamaa kachemsha huyo ni hewa tu ...................
ReplyDeleteJamaa kakanyaga Shuka nini?? hawajaa wanatumiwa vabaya wamepelekwa huko kama maonyesho ya sarakasi - bwana kamakuchangisa pesa ndo hivi mimi basi,utamaduni wetu usiuzwe kwajiana la misaada, soon watepelekwa snowboarding
ReplyDeleteISAYA MUNGU AKUPE NGUVU KAKA YANGU MMEFANYA KAZI NZURI SANA WE VERY PROUD OF YOU YOU HAVE DONE A VERY GOOD JOB MPAKA LAST WEEK WALIKUWA WAMEKUSANYA MORE THAN £23,700 ROUGHLY MMETUTANGAZA YAANI KAMA OFISINI KWETU KILA MTU ANAWAONGELEA GO GO MMASAI,SASA NAONA WATANZANIA TUMEJUA KUNA NJIA NYINGI YA KUJITANGAZA KWA KUTUMIA VITU TULIVYOPEWA NA MWEZI MUNGU.HOPE MTAWAPOKEA KWA SHANGWE WAKIRUDI TANZANIA
ReplyDeletemaratoni hii ni ukimbiaji taratibu,maasai alidhani ni kunyenga tuu mpaka kazimia!sasa angalau atapata matibabu na manesi ya kizungu yatamgusagusa mpaka ajione vizuri!!!kama ndio hivyo mie na pia nije londoni...ahh lakini nauli sitaweza!
ReplyDeleteThis is good. I hope watawaleta NY city marathon.
ReplyDeleteWafanye mazoezi na waje mapema huku. hali ya hewa kama wametokea Arusha kuzimia si jambo la ajabu.
Get well soon lakini mtalitangaza jina la nchi yetu vizuri......
Wafathili wawalete boston au Ny marathon...itakua poa tu
Saw Isaya being interviewed at I think ITV studios. He did very well and he is an impressive guy. Born Leader.Kweli wameitangaza Tanzania vizuri sana. Well done all and Get well Isaya. Wakaribishwe vizuri watakaporudi nyumbani - Mr President take note.
ReplyDeleteBwana Martin wa Greenpeace hongera sana pia kwa mchango wako.
MISUPU, YAANI HATA WEWE UNAKOSEA UNAANDIKA "GLOB" BADALA YA BLOG, HAYA BWANA, HII NI BLOG YAKO USIJE UKAZIMA MAONI YANGU.
ReplyDeleteMICHUZI, KAKA ISSAYA SI WA KWANZA KUANGUKA NA KUZIMIA. WAPO WENGI TU WAMEKUMBWA NA BALAA HILO TENA NI WAZAWA SEMBUSE NDUGU YETU.
ReplyDeleteNASHANGAAA SANA NA WEWE MWENYEWE MICHUZI KUONA ULIVYOSHINDWA KUWAPIGA TAFF HAWA JAMAA. INGEKUWA TWANGA PEPETA UNGETAFUTA HABARI ZAO KWA UDI NA UVUMBA HATA ILI MRADI TU UWATOE(KITU KIDOGO SIO).KWA TAARIFA YAKO JAMAA WALIKUWA WANAONYESHWA KWENYE SKY NEWS, BBC NEWS, BBC 24, ITV NA VYOMBO VYOTE VYA HABARI HAPO UK KUWA NI MIONGONI MWA WATAKAOSHIRIKI (SHIRIKI) LONDON MARATHON KWA AJILI KUACHANGISHA FEDHA ZA KUPATA HUDUMA YA MAJI SAFI KIJIJINI KWAO!
KAMA KWELI SISI NI WAPENDA MAENDELEO, HAWA JAMAA ZETU WALIOJITOLEA KUKIMBIA, TUNGEWACHANGIA ZAIDI YA HIZO FEDHA WALIZOPATA. (£23,000).
KWA NINI USIONYESHE MFANO KWA KUWAHIMIZA WANAOSOMA BLOG YAKO KUJITOA MHANGA NA KUCHANGIA ANGALAU KWA KUFUNGUA AKAUNTI MAALUM CRDB AMBAO WANA UBIA WA CHATI NA LOYDS BANK HAPO UK?
NINA IMANI KUBWA WABONGO WALIOPO HUKO UK NA WENGINE, WASINGESHINDWA ANGALAU KUCHANGIA £5 KILA MMOJA ILI KUHAMASISHA NA KUTUMIZA AZMA YAO YA KUJIPATIA MAJI SAFI HUKO KIJIJINI KWAO.WANGEPATA ZAIDI YA HIZO £23,000.
HUO NI MFANO WA KUIGWA AMBAO UNAPASWA UFUATWE NASI TULIOBAKIA. USHUJAA WALIONYESHA WENZETU NI MKUBWA NA UNASTAHILI PONGEZI KUBWA KULIKO HATA HAO WAENDAO SANYA KWENY MISS WORLD AU TWANGA PEPETA HUKO TCC CLUB. NAJUA UKWELI UNAUMA LAKINI MDOMO WAKE KUSEMA NA MACHO YAKE KUONA! NATUMAI HOJA HII NTAIONA KAMA NIONAVYO ZA WATU WENGINE. CIAO.
Hongera Kwa Isaya na wenzie kwa juhudi zao, wameitangaza nchi yetu in a big way, tunamuombea M'Mungu and get well soon.
ReplyDeleteI believe diet itakua imechangia kudhoofisha afya zao, kitu cha mwanzo walianza kupitishwa kwenye restaurant ili kupata 'menu' za kiingereza, ikiwa ni moja katika guidetour ya vipi waingereza wanaishi, kitu ambacho kimeniudhi sana, ni jinsi walivyo elezea kumuelimisha mmasai jinsi ya ku-behave UK. Waliotayarisha hiyo guidebook ambazo info nyingi zimesambazwa kwenye news,web na blog za watu naona kama ni kuwatusi wa Masai wetu, wange pata ushauri kabla hawajaandika kutoka GREENFORCE kwani hawa greenforce wamejitahidi sana kuwa publicise ndugu zetu hawa in a positive way, kwaku emphasize kusudio lao la kuja kwenye hii marathon.