wengi wamezoa kumsikia sauti yake akitangaza vipindi mbalimbali redio wani, na baadhi wamepata kumuona laivu kwenye matangazo katika tv. ila sio wengi waliobahatika kumuona akifanya kazi ya mc ambayo anaimudu vilivyo, hasa ikiwa chikeni pati. anapatikana kupitia rmwalekwa@hotmail.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 27 mpaka sasa

  1. Bro michu vp mambo!
    naona dada mwalekwa anazidi kupendeza had anaipita sauti yake kwa urembo!hay dada kaza buti naona unacheki upande wa pili wa shilingi kunasemaje,hujachelewa dada na u mc unalipa!

    ReplyDelete
  2. michuzi,
    its true that your english is not reachable,you wrote chicken part instead of kitchen part, dont make a mistake next time.I wish u all the best in your life pass my greetings to wifi
    mdau U.S.A

    ReplyDelete
  3. asante kwa kumleta dada huyu kwenye blog huwa ananifurahisha sana utangazaji wake hasa kipindi cha kiswahili J1. Naomba kuuliza lile tangazo itv la uzazi wa mpango je ni familia halisi??? kama ndivyo hongera dada unafamilia nzuri sana

    ReplyDelete
  4. Pongezi kwa kuongoza vizuri kipindi cha Kiswahili, hapo Radio wani...

    ReplyDelete
  5. Mpiga boksi wa USA sio kam michuzi hajui english hiv nyie hamuwezi kufikiria kweli maboksi mazito yanawaathiri. Michuzi yuko daily news hilo gazeti angekuwa not richabo kweli ajira yake ingekuwa hai mpaka leo. Kama hujui basi na wenzio wanodhania kuwa wanajua kiingereza sana kule kwetu bongo kitchen party huwa tunaigeuza na kusema chicken party kwa ajili ya utani na kujifurahisha na kwa waliosoma lugha wanajua mchezo huo wa kugeuza maneno. Sasa mnaojichosha na kumkosoa michu tumieni za bure tulizopewa na mnyaanzi mungu kabla hamjatupotezea nguvu zetu za nani hino. otherwise Regina nammaindi anasauti nzito yenye mvuto halafu ni black beauty an umbo la kiafrika halisi

    ReplyDelete
  6. Huyu na mfananisha na Umul-keri mtangazaji wa sauti ya kiswahili ya ujeruman! Kweli utangazaji ni kipaji, anasauti ya kipekee, ananifurahisha sana kwenye kipindi chake cha "hizi nazo" na kile cha lugha (mambo ya kudadavua)!
    Ni hadhina chache sana kwenye utangazaji!

    ReplyDelete
  7. ameolewa??? please mmoja anifahamishe.

    ReplyDelete
  8. Haiiiiiiii, mtoto shavu, mtoto rangi adimu, mtoto macho mtego, mtoto weee, mtanzania halisi uzuri unao wewe, haiiiii, nilikuwa w3api mie nimekukosa hivihivi, jamani michuzi hana mdogo wake wa kike huyu maana hawatakuwa wamepishana sana.

    othewise hongera vipindi vyako vizuri, unanifurahisha unavyotangaza kwa kujiamini.

    ReplyDelete
  9. michuzi hizi picha unapiga mwenyewe au unaletewa, maana kama unapiga mwenyewe nakuwa na wasiwasi ati..

    ReplyDelete
  10. DADA ANA SAUTI NINGEPENDA KUSIKIA NIKITOKA MZIGONI..MWENYEWE UNATULIZA BOLI

    ReplyDelete
  11. Kweli huyu dada anapendeza. Ametoa somo kali kwa wapenda mkorogo.

    ReplyDelete
  12. hongera sana dada, najua umc unauwezea kama radio, hata ulipokuwa tv ilipendeza pia.
    There is no limit to what you can do with your attitude. YOU HAVE WHAT IT TAKES LADY.
    nimefurahi pia umeedit tangazo lako jipya, hongera sana, kwani lilikuwa linatukwaza sisi wenye mrengwa kama yako. (najua unaelewa nasema nini)

    ReplyDelete
  13. huyu dada ni MC mzuri sana nimeshawahi muona kwenye harusi moja ya mfanyakazi wa eatv alisherehesha vizuri sana.big up sista

    ReplyDelete
  14. AHA CHOMBO CHA NGUVU BWANA MLA MLA LEO ASANTE KWA PICHA IKIWA TUTAWEZA KUTOWA KINADADA WENYE MUELEKEO WA KIAFRICA KAMA HUYU BASI KIVUTIO KWA WASICHAN TANZANA KITAZIDI NA SIO WALE !!!!!TUFUNIKE KOMBE HAPA

    ReplyDelete
  15. REGINA TUOMBE MSAMAHA SISI WENYE MAJINA YANAYOFANANA NA YA WANYAMA AMBAO UMEKUWA UKITUKASHIFU KWENYE KIPINDI CHAKO CHA ( ACHENI HIZO ). HII KASHFA UMEIFANYA KWENYE VIPINDI VIWILI TOFAUTI KIMOJA MWAKA JANA CHA PILI MWAKA HUU, ILA NAOMBA NIKUFAHAMISHE KUWA NCHI ZOTE DUNIANI WAPO WATU WANAOTUMIA MAJINA HAYO TUKIACHA MAJINA MAZURI YA KINA REGINA!

    ReplyDelete
  16. Jamani dada regina mwalekwa ana sauti nzuri utafikiri hakuzaliwa na binadamu wa kawaida halafu kumbe yuko natural namna hii!!nakumbuka kipindi chake kimoja kiliongozwa mwaka 2004 cha kurekebisha kiswahili nadhani alikuwa mzuri sana wa kuongea..asante dada nitakuandikia baadae email.kyekue

    ReplyDelete
  17. dada kapendeza sio utani dada regina hongera na kazi nzuri unayo ifanya we missyoou.

    ReplyDelete
  18. Dada regina hiyo sauti yako ulizaliwa nayo au huwa unaipiga brashi kwa mayai mabichi.Anyway,wewe dada unajiheshimu sana sana.Maoni ya wanablog yana-reflect wewe ulivyo,maoni ya wanablog ni kioo kizuri sana nadhani umeyasoma usitegemee kupata email za lugha chafu kutoka kwa wanablog.Usibadilike?Naku-contact muda c mrefu kwenye email yako kuna kitu nataka kukuuliza.

    ReplyDelete
  19. Regina nilikuwa nimetafuta sana nafasi hii ili nikusifu. Yaani tangu uanze kutangaza Redio One, walahi sauti yako huwa inaniacha hoi bin Taaban mtoto wa kimasai mie. Nilipokuone kwenye TV basi tena sina la kusema kwani bahati haikua yangu ni ya mwenzangu. Mtoto umeumbika bwana na sauti yako inalingana sambasamba na jinsi ulivyo. Bwana Michuzi samahani sana mimi Iam not Joking Pleaase Fikisha Salamu zangu hizi kwa Mwalekwa. Asante na Ubarikiwe.Mtoto wangu wa kwanza nitamweta Rejina kweli sio siri. Ohooooo!!!!!!!!

    ReplyDelete
  20. Regina ni miongoni mwa watangazaji wa redio wachache sana waliojitokeza kutumia vipaji vyao katika kuikuza lugha yetu adhimu ya Kiswahili.Sina uhakika iwapo kile kipindi chake maarufu sana cha Redio ONE kila Jumamosi asubuhi kuhusu Lugha ya Kiswahili kama bado kipo na kina endelea!Yeye aliendeleza pale Charles Hilary ambaye hivi sasa yuko BBC London alipo achia.Bila shaka bado yupo katika jitihada zilezile za kukiendeleza Kiswahili ili kiweze kutambulika na kuzungumzwa Ulimwenguni kote!Nakupongeza sana na bila shaka Baraza la Kiswahili la Taifa litakukumbuka kwa hilo.Nashukuru sana kwa kupata wasaa huu wa kutoa pongezi zangu.

    ReplyDelete
  21. SI CHICKEN PARTY BALI NI PATI YA JIKONI, KITCHEN PARTY MUHIMU KWA KUWATUNZA WAUME ZETU, MCHELE MMOJA MAPISHI MENGI

    ReplyDelete
  22. Dada Regina wengi tunakupongeza sana kwa kuwa makini uwapo kazini...vipindi vyako vyote ni bomba ....nakuomba utafikishie ombi kuwa....kipindi maridhawa cha lugha adhimu ya kiswahili jmosi kiwe kinarudiwa jioni ama jmosi hiyo ama j2 pale palipowekwa kipindi cha mambo mseto... kwani wengi wetu asubuhi jmosi tunakuwa kwenye majukumu na kukikosa...asenti U r Biutifuli.... Keep it up...

    ReplyDelete
  23. AnonymousMay 17, 2008

    Hey wadau nauliza swali!Je nani anaweza kusema Regina ana miaka mingapi?

    ReplyDelete
  24. AnonymousMay 20, 2008

    Hey Reggie!!!!I really appreciate that God has given you talents...Keep it up dear sissy!!!Nice to see your beautiful snap. Just missing your nice Swahili programme as am out of our beatiful Tanzania but I believe the programme still goes on air.
    Well keep on keeping up sissy!!!May God Bless you!!!

    ReplyDelete
  25. AnonymousMay 20, 2008

    Sister Regina keep going!!! You are doing good babby carry on...You have my full support. In this world only the sky is the limit. All the best in your MC and Radio responsibilities.
    Blessings!!!
    Cheers.

    ReplyDelete
  26. AnonymousMay 21, 2008

    Hi Reggie!!!!
    Hope you are terriffic, just want to congratulate you for good job that you re doing. I can assure you the Swahili programme that you host is of help to many people. I remember one day before I left Tanzania I went Ilala where the Maasai hair dressing saloons are located to plait my hair. Couldnt believe my eyes and ears after seeing the Maasai whom many of us believe that they are not good in Swahili, busy listening to your Swahili programme. Dear with your programme even the Maasai at Ilala are interested. I want to asure that Swahili is most important thing among the things that people here in abroad know about Tanzania because wherever I go when people know that am from Tanzania the first thing to ask is: You guys speak Swahili eeh? It is a nice language. One wouldnt understand and appreciate until he/she gets a chance of meeting people of different languages. I can assure you even our watani wa jadi are proud of Swahili when they are here though while back in... they dont like it much...Kiswahili ni utambulisho watu huku nje. Tunajivunia sana.
    Twende kazi dada Reggie, tuko pamoja. Nitakuemail personally tuchat kidogo nitakuambia niko wapi na mambo mengi ya Kiswahili huku nje ya bongo.
    Siku njema...

    ReplyDelete
  27. AnonymousMay 23, 2008

    HI . HICHO NI KI ENGLISH AU KIKISIRTO CHA BONGO. MFANO.

    ALL MY SCHOOL CHEATERS WENT TO A CHEATER TRAINING COLLEGE, THE BIGGEST NEING CHANGOMBE TTC. YOU GOT THAT?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...