dc wa tegeta ambaye bado kuapishwa akiwa na mdau mkubwa wa bwawa la maini kamarade mudi ambaye leo kutwa kashinda anachekelea kwa ushindi wa nguvu dhidi ya nani hii jana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Sio kombe ni ushindi tu wenyewe Barca wanakuja kuchukua kombe lao
    ni mtizamo tu
    Londoner

    ReplyDelete
  2. Mkuu wa wilaya naona umeanza kunyuka pamba sasa haya system tamu eh! safi sana you look great

    ReplyDelete
  3. mhhh mbona tutakoma mwaka huu na ngojea leo usiku tuwatunguwe Roma hahaha

    haya bwana

    william uk (man utd for life

    ReplyDelete
  4. moddy kama kawaida yake,mawani kwa sanaaaa..
    miss u boo

    ReplyDelete
  5. long time sijamwona huyu ba'mdogo moddy.big up,hongera kwa ushindi wadau wote wa bwawa la maini..

    Mdau UK

    ReplyDelete
  6. Nyie shangilieni lakini mjue tunawasubiri Moscow, sasa hivi tunawafuga mnenepe halafu tunakuja kuwachinja kilaini, sasa mchague kisu gani ronaldo,tevez,o'shea,rio,nani au rooney. Chagua lenu.

    ReplyDelete
  7. Naona mmevamia duka la hamis Kubwa mitaa ya Jojiz wadau wa looserpool.Hongereni sie tunwasubiria kama mkimtoa Chelsea. Senyandumi

    ReplyDelete
  8. bro naomba utusaidie watu wa india huyu the utamu anatuharibia sana tusaidia mambo ya haki za binadamu tumshtaki maana google wamesema hawawezi kumfungia.
    tafadhali tusaidie

    ReplyDelete
  9. mwana watu wa mysore tunahitaji msaada tummalize utamu

    samahani kutoka nje ya maada ila sasa mambo yanakuwa mabaya watoto wamekuwa wapuuzi hapa.

    ReplyDelete
  10. we misupu na we fala tu, sasa bendela ya hilo linamaanisha nini, mbona unapenda kukumbatia vitu vya watu! mara umetutolea mipicha kibao upo Ujerumani. we mrombo tu! bongo timu kibao beba bendera zao basi! Ohoo kipenda roho hula nyama ya lupikwa. Bahati yako ungekuwa Zimbabwe ungejua Mugabe ni nani. Hapo bongo uwe unajifunza kunun bendera za Mtibwa ili no wapate angalau baiskeli jamani mwe mjomba vipi!

    ReplyDelete
  11. poa Michu, all the best wewe na Vijana wa bwawan!! Ila Barca is coming, watch out!!!!!!!!1

    ReplyDelete
  12. Ebwana huyu Muddy ni nani na je ana duka na kama analo liko wapi? ,yani kama anao lazima nijipeleke hata nijinunulishe kitu ili nimangalia kwa uzuri ,jamani kijana mzuri sana , yani nime mpenda sana ,yani bonge la Handsome boy halafu ana body zuri yani sexy slim aah ...Michuzi hebu toa data za huyu kijana ikiwezekana picha zaidi nitashukuru!

    ReplyDelete
  13. DC Mteule siku 9 tu umeshaota kitambi?Punguza tumbo hilo siyo zuri.Unatumia ze laga na kiti fire nini shekhe?Fanya mazoezi bwana.

    By Lennin-Sinza.

    ReplyDelete
  14. RYAN BABEL

    THE TOWER OF BABEL

    RYAN BABEL


    THE TOWER OF BABEL

    ReplyDelete
  15. "this country bwana, is very poor"

    Sev

    ReplyDelete
  16. Mdau hapo juu uliyempenda Moddy, Moddy ni mtoto wa bwana Elmaamry, enhee, yule,yule mzee shabiki wa mpira. Pole mamii Moddy kesha oa. Kijana super lakini, tabia nzuri sana, kalelewa vizuri na mama yake.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...