Home
Unlabelled
mwanamke hina...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hey Michu,
ReplyDeleteYou know what...!!. Too much of everything is harmfull...!!!!.This is much decolation,anatisha ukumwangalia hata "jogoo hawezi kuwika".....!!!
Hii inaonyesha ilikuwa 'HENNA PARTY". AUNTY umependeza! Lakini hiyo hina ya kihindi siimaindishi!
ReplyDeleteHina iwe ya kawaida kwa wanja au kisasa piko, mwanamke unatoka chicha!
Inaleta Cancer ya ngozi wanawake be carefully.....imemtokea shangazi yangu....
ReplyDeletehiyo hina inapakwa mpaka wapi? hadi....! au ni miguu na mikono tu?
ReplyDeleteInantia kinyaa, samahanini wapenzi wa hina! I am not into hinasss jamani! amechorwa mno.
ReplyDeleteMWANAMKE KUPAKA HINA SUNA
ReplyDeleteMAMBO YA MWAMBAO
Thats too much.....
ReplyDeleteMjumbe
UCHAFU MTUPU!!!
ReplyDeleteMhhh..kweli mwanamke hina lakini hii too much bidada!
ReplyDeleteHuyu anasababisha wale wasiojuwa uzuri wa hina wazidi kutokuujuwa! Hina hupakwa kwa kiasi ili ipendezeshe na kulete ashk mubaha! Sio kama huyu utafkiri kaambiwa hamna kupaka tena hina sasa ngoja amalizie!
Lakini pia ngoja ni mnukuu michuzi "Kizuri kwa bata mzinga ni kibaya kwa kuku.." (mwisho wa kunuu). Basi hata hina inaendana na rangi ya ngozi, kwa hiyo kuna ambao wakipaka hina ndo hutisha kutokana na asili ya rangi ya ngozi zao na kuna wale watoto minal-ghal, watoto asfilat ngozi rangi ya dhahabu hao wakipaka hina halafu akajifukiza udi (sio udi wa sukar) udi kutoka dubai (original) sio huo mnaovutia bangi! Utatamani umle mzima mzima maana anavutia we acha, kama huyajui nenda unguja, na pemba atii au zunguka Makorora, bara 5, bara 18, usiasahu ngamiani Tanga.
Lakini siku hizi hina mpaka wajaluo wanapaka itakuwa hina tena hiyooo...! Ha ha ha ngoja ni sign off nisije itwa mkabila
Lakini ngoja ni nukuu "ukitaka kucheza ngoma waulize wenyeji wanachezaji, usije ukaruka ruka kumbe wenyewe hucheza kwa kusota..." (Dr salmin Amour, 1992)
Tack
Bibi anapendeza...mashaalah, na kwa wale wanaoandika negative...labda kupakaa kinyesi kitawapendeza!!!kwa ngozi mkaa tangu lini hena hii itajionyesha???samahani...
ReplyDeletehina nzuri jamani lkn huyu maua yake yamechorwa vibaya sana yaani yapo karibu karibu mno yamefanya yanaonekana kama ana fungus vile, hii haijapendeza kabisa
ReplyDeletewe anon wa kwanza hapo juu nakunukuu "This is much decolation"
ReplyDeletehaiitwi decolation ni "decoration" siku nyingine andika kiswahili kingereza hukijui
too much, i guess because i am not crazy about hina.
ReplyDeleteWallahi utamu ndio huu, sio mambo ya nail polish sijui nini nini. Haya ndio mambo, angekuwa mke wangu mbona ningefaidi sana. Haileti cancer, this ain't tatoos
ReplyDeleteBablii we kungwi bwana nimekuamini.
ReplyDeleteMichuzi we msanii sana umeweka mpambano hapa hapa juu na chini huyo jamaa na matatoo yake na huyu bibie na hina yake VIVA MICHU.
jamanieee kwa wale wanosema huu uchafu naomba mutoke hapa muingie kule kwenye break newzzzz za centi tano mukaone huo usafi mnaoukubali na kufagilia, mimi naweza kusema ile ni "kenge style" mukisema jogoo hatawika kwenye hina sijui wanawake baadhi watatapika au watafanyaje?
Kuhusu cancer ya ngozi tusitishane wangepata bibi na mama zetu tangu kale, Inapotokea aunt yako kapata athari ni ngozi yake haikukubaliana na hiyo kitu na nina wasiwasi labda alipata athari ya picko watu wengine huwa inawadhuru.
Dada kapendeza kamechisha na gauni lake ndo maana hakuchanganya picko, mara nyingi hina ya wahindi huwa hawachanganyi.
WE ULOULIZA HINA INAPAKWA WAPI MGUUNI NA MIKONONI TU?
Jibu ni kuwa inapakwa mguuni mikononi kifuani ukipenda kuzunguka kiunoni kwa mstari wa nakshi na kadhalika kadhalika naamini unanielewa. Kifupi inatupiwa kidogo dogo sio kama ilivyoshehenezwa miguuni ni kwa wanawake tu, wanaopaka sehemu zile ambazo zinaweza kumfanya anaetazama aweze kuamsha hisia zake wakati upo nae kwenye sita kwa sita. Ina pendezesha sana. Na pia inaleta tofauti ya siku ambazo hujapaka, na unapopaka unabadilika sana unakua mrembo na maridadi sana.
Mungu wangu nimeshtuka!Iko kama ngozi ya mamba or any reptile...sijui imepakwa nyingi?Nina rafiki zangu waarabu wakipaka huwa naona it looks beautiful japo mi mwenyewe simaindishi,labda ya kwenye kucha ndo nawakubaliagawanipake...ila hii ya huyu dada sio siri binafsi naona anatisha...with due respect wapenda hina!
ReplyDeletehinna inavutia ukimpata mchoraji na mpakaji mzuri na sio kweli kwamba inaleta cancer hinna haihusiki kuleta maradhi ya cancer labda wanja (picko)wengi wao wenye matatizo ya ngozi huwa wanapata muasho wakishapaka hio picko lkn sio hinna.
ReplyDeleteuchafu tu lakini labda na mimi ningezaliwa kwenye culture ya kupaka hinna hivyo ningenjoy
ReplyDeletelakini kutopoteza muda wa kurdia kupaka kila siku masaa sijui mangapi mtu anakaa tu bila kufanya kazi kuisubiria ikauke...wangetumia tatoo...siku hizi zipo za kila rangi ...unajichagulia tu mwenyewe
this is beautiful
ReplyDelete