mwandishi na msanii chemi che mponda ama da chemi aliyeko huko ughaibuni pamoja na kazi zingine hushiriki katika kucheza filamu na mastaa wakubwa duniani. safari hii yeye na gari lake wamepewa shavu kwenye filamu moja mpya inayopigwa Lowell, Massachusetts na Andover, Massachusetts. hapo pichani walipokuwa Downtown Lowell. hayo na mengine mengi tu ya da'chemi hebu mtembelee hapa: http://swahilitime.blogspot.com/


'

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. intensity and longevity generates pressure and heat sufficient to eject semen at the speed of light 3 * ten power six.The lesser the friction and sensitivity the longer the duration. It depends on how you stroke her and how she is wet and tightened.

    ReplyDelete
  2. Anonymous wa April 24,2008 1:26PM nadhani umeflip channel. Otherwise hongera dada Chemi kwa kutuwakilisha wa bongo ughaibuni.


    Mdau shinyanga

    ReplyDelete
  3. Michuzi uwe makini unapo post comments. hebu soma mwenyewe alichoandika anony 1:26. Jamani hivi hiki ni nini? kwanini hatukomai akili zetu!

    ReplyDelete
  4. Ebwana bro Michuzi vipi tena?!!Hilo lijamaa la April 24,2008 1:26 sijui limedata? manake iyo comment aliyoitoa haijatulia hata kidogo halafu cha ajabu bro umeipost wakati ni upuuzi mtupu,au hujaielewa nini kaka?

    Petz.

    ReplyDelete
  5. Michuzi alishawaambia English is not reachable kwa hiyo msg za kudhungu zinapita bila break...nadhani pg13 yake inachuja maneno ya kiswahili tu...english yanatupofua macho humu

    ReplyDelete
  6. Huyo jamaa nahisi alikuwa anachangia POST moja ya Da'Chemi inahusu mambo ya NG*NO.By the way Michuchu hivi ili gari la sisteri lina nini??ni aina gani??nimejaribu kupitia POST zake zote nilione but HOLLA...Tafadhali Please tuwekee hilo gari ya Che Mponda.

    Mdau wa Mayfair

    ReplyDelete
  7. gari yake kama imetumika atakua anaendesha either Bugatti Veyron or hyundai

    ReplyDelete
  8. LOL! Michuzi hata sikujua kuwa umebandika plug hapa. Asante.

    Gari langu ni ya kawaida tu... FORD tena mwaka 2000 hivyo zee kwa hapa USA. Kwenye hiyo sinema walitaka magari enye rangi nyeupe na za zamani. Mara nyingi kwenye sinema wanataka magari enye rangi za blue, tan, brown, red, hawataki white. Langu ni white.

    Hii ni mara yangu ya kwanza kuombwa gari. Na walisema wataniita tena. Actors wenzangu wa hapa Boston wanaombwa magari kila mara. Kuna dada moja alikuwa pale alisema ilikuwa siku yake ya nne kwenye set. Walikuwa wanatumia gari lake lenye rangi ya kijivu. Ni kichekesho mpaka actors wanalamika "gari yangu inapata screen time kuliko mimi!" At least sasa wakitamba kuwa gari zao zinaonekana sinema fulani na mimi sasa nitaweza kusema, Hebu cheki langu kwenye This Side of the Truth. Kama sitakatwa kwenye scene hiyo mtaniona natembea nyuma ya stelingi wa sinema Ricky Gervais.

    Asanteni wote kwa support. Ninawashukuru.

    ReplyDelete
  9. Hivi nini kinachoendelea hapa? Naomba nielimishwe tafadhali nadhali kunakitu nimekikosa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...