Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Hii kali!Kama hujacheka hapa fanya haraka kamuone Daktari haikosi una ka problem kidogo kwenye system!Isije ikawa hizi kandambili ni za Afande,tena kavaa White Tshirt nyeupe!Hullo Hullo!

    ReplyDelete
  2. Usemi huu ni aplikabo tu wakati kinga inayotumika ni sahihi. Kwani kufuli hilo lina uzito gani?
    Hii ni sawa na kwenda kupambana na tembo eti kwa kujiamini uleshika ngao mkononi.

    ReplyDelete
  3. Msikiti wa wapi huo kaka michuzi? Hapo watu walivyokuwa wabishi wanakutia hasara ya kufuli na kandambili.mikandambili ya hivyo michuzi ukibonye kwa chini mikanda inafyatuka yenyewe hio sasa inategemea na mwizi mwenyewe mwingine anakuachia kufuli yako hapo hapo

    ReplyDelete
  4. Ama kweli TZ kandambili,manaake wenzetu wote raizoni...yaani kiuchumi,kimichezo,utamaduni n.k...

    ReplyDelete
  5. hapo ni msikitini bila shaka maana vibaka hawana haya wao huwa wanabeba kandambili na viatu vya watu wenyewe wakiwa wameingia kuswali.

    ReplyDelete
  6. Najiuliza hili swali nakosa jibu,
    Huyo mtu alikuwa anataka ku-achive nini? Anatumia kufuli kulinda Kandambili zake au anatumia kandambili kulinda kufuli yake?

    Maana nahisi Kufuli inaweza ikawa na gharama kubwa kushinda hizo kandambili!

    ReplyDelete
  7. mwenye ndala lazima mbishi na yeye,ukijipinda hapo udhu unamtoka achelewi kukukong'ota na mkongojo,kumchafulia ndala zake zishatiwa udhu hapo.

    ReplyDelete
  8. bei ya kufuli ni pair mbili za ndala sasa hii ni kesi ya kuuza ngombe na kwenda kugomboa kuku

    ReplyDelete
  9. Unajua kucheka ni tiba.Kila unapocheka unarefusha maisha.Sasa siyo ucheke ovyo bila sababu,ebo!Watu watakustukia.Muulize Daktari yeyote atakupa the exact scientific explanation or was it medical reasoning?Aaa utajaza mwenyewe.Oya washikaji sio tena mkapige Ramli maana Bongo tunajua kazi yenu.Michuuuuuuuuuuz wiki hii umetufungashia, siyo haba.Hapa nilipo bado naganga mbavu zangu,maana nilicheka mpaka mbavu mbili zikapishana! acha bwana....

    ReplyDelete
  10. Hiki ni kichekesho, na nia mojawapo ni kukufanya wewe ucheke, na kuwapa `wachemsha vinywa' waongee wanayotaka kuongea. Si umeona mwenyewe! Mara msikitini gani huo, mara gharama...
    Kuna jamaa mmoja alienda kwa mganga wa kienyeji, alikuwa haumwi, ila alitaka kuwapima ukweli wa hicho kiitwacho `ramli'
    Mganga yule baada ya kufanya vitu vyake akaanza kuropoka, mara wewe una matatizo makubwa, mara jamaa wanakuzunguka, mara unaumwa...maneno mengi.
    Sasa ndio kama hivyo!
    M3

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...