Home
Unlabelled
chinga vs mgambo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ohh No! I think mgambo of India, should come to Tanzania and learn a thing or two from our own, one of them they should start eating UGALI, it seems to me they are eating a lot of Chauro, Chilli and tambuu, and therefore it is affecting their physical strength when faced and mobbed by angry Mamas wa Kihindi. They just cannot much up with them.
ReplyDeleteLOL.
By Mchangiaji
safi sana, huo ushirikiano wanaouonyesha hao akina mama ni mzuri sana. mtu anapokosa ustaarabu kama hawa wagambo, hakuna namna isipokuwa nawe kumtemea cheche tu. nadhani chinga wa Bongo pia wangekuwa na ushirikiano kama huo wangefanikiwa na wangewaelekeza wagambo kutumia sheria tofauti na utaratibu wanaoutumia hivi sasa wa kukamata mali na kupeperuka nazo majumbani mwao. watu wanakama mama lishe, wnakula vyakula na masufuria wanachukua!!!! tabia mbaya sana hii. mimi ninahis wanagawana na wakuu wao katika manispaa zetu, siyo bure!!!!
ReplyDeletekwa jinsi wagambo walivyokosa nidhamu mimi nina-support wakung'utwe tu. thats the solution.
Du kaka misupu, sidhani kama huyo jamaa ni mgambo...mbona kuna FFU pale nyuma hawamsaidii???
ReplyDeleteNaona kawaumiza sana hao wamama...
beijing Oye..!!!
Yes! wakina mama wameamua wenyewe wampe nidhamu ya kazi mgambo, sawa kabisa.
ReplyDeleteSawa kabisa, kama alikua hakuelewa kwa maneno sasa anaelekezwa kwa vitendo, super kabisa WABEIJING.
Safi saaaaana,ngoja ashikishwe adabu huyu gambo.Wamezoea vya dezo hawa.Kina mama wa Tanzania hebu chukueni tuisheni hiyo.La sasa hapo sijui hiyo kabali namba ngapi sijui,maskini mgambo wa watu!Nasikia ukipigwa kabali namba moja ujue suruali watakinga NGAMA!tehe tehe aaagh kichomi mama nakufa hii balaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
ReplyDeleteHiyo kabali sijui namba ngapi!Nasikia namba moja utatoa ngama ndani ya suruali,balaaaaaaaaaaaaa.Ngoja ashikishwe adabu huyo Gambo, wamezoea vya dezo hao.Safi sana,kina mama bongo tuisheni hiyo!Aiiiiiih mama nakufa kichomi uuuuh hii kali,gentleman mzima katulia ndani ya Loba!Kina Mama Hoyeeeee!
ReplyDeleteMichuzi, mbona hujaandika 'source' ya hii picha?
ReplyDeleteLakini hawa akinamama ni 'Mabaunsa'.
Sio Bombay yakhe,Mumbai siku hizi!!!hao wakinamama kidogo tofauti wa mama wadosi wa kwetu...yaani wetu wamezoea kusema...juma au ali kuja hapa bana,toto iko lia hebu pangusa matako na safisa majuri!!!
ReplyDeleteWACHA WEE! MI NILIDHANI WAHINDI MKWARA NI KWENYE SINEMA ZA CHOLI CHOLI TU,KUMBE HATA LIVE!!!
ReplyDeleteHUYU MAMA ATAFUTE WAKALA WA SINEMA AKACHEZE MKANDA,UTAMLIPA KULIKO UMACHINGA,AU SIO JAMANI?
Mambo si ndo haya! Akina Mama wamechoka kunyanyaswa na midume! Cheki paparazzi wanavyoshabikia! Lazima huyo jamaa kawaudhi kweli maana akina mama ni wavumilivu. Atashika nidhamu sasa!
ReplyDeleteAMKENI AKINA MAMA! AKINA MAMA OYEE!
Mama Karibu Africa utusaidie kuwaniga marais ROBERT MMMMMMMGGBB na MWAI KBKKKKKK.
ReplyDeleteHivi hawa waandishi wa habari wana matatizo gani? ebu ona walivyo shupaa na mikamera yao, yani wao wanafurahia mwenzao kukwidwa ili wapate picha nzuri, ovyoooo! kuweni na ubinadamu jamani, amulieni ugomvi huo. Ndio nyie mkifika kwenye ajali badala ya kusaidia waathirika nyie mnakimbilia kupiga mipicha yenu, Ivi mnafikiri hizo picha zitawasaidia nini hao waathirika..
ReplyDeleteHAIWEZEKANI HUYO POLISI MUONGO ALIKUWA ANASIKIA VYEMA KUGUSWA GUSWA NA KINAMAMA
ReplyDeleteMimi ni mwanaume mhindi.Picha kama hizi ndizo zilinitisha na kunifanya nikatae kuoa mwanamke wa kihindi.
ReplyDeleteKHAA KINAMAMA WA BONGO IGENI HIYO MKAWAFANYIE HADI WAUME ZENU ILI WAACHE KUWANYANYASA. UKIMKUNDA BABA NANILIU HIVI SIKUMOJA HESHIMA ITAONGEZEKA MARA DUFU.
ReplyDeleteDhuu!!!!!!!!! Hawa wanawake watatuuwa mwaka huu. Mmmmmmmmm na jinsi wakwangu alivyo bounza itabidi niende jim kila siku ili nikapate fitness halafu nipitie kwa mama niweke(mmm si ndio hao hao kweli) ili aniwekee ugali mlima kwa extra payment halafu nikifika nimwambie mtoto wangu mmm! no! mfanyakazi awe anatengenza ugali wa nguvu ili nipate fitness. Wanaume wenzangu bila hivi nyumbani hakukaliki. Duuu!
ReplyDeletehii kali sijawahi kuona kabisa duu ushorikiano huu unafaa jamani au mnasemaje NDIYO MZEEE
ReplyDeleteSWEET
Arusha
Michu hii imetulia mno, yaani nimecheka mpaka basi, huyo mama loba yake huwezi furukuta, nadhani baada ya kuachiwa huyo mgambo atakuwa alikimbizwa hospitali.
ReplyDeleteNjaps
kaka michuzi huku ndio india mysore wabongo wana mambo ya kitoto na theutamu yao basi wanapigwa sana,hakuna wabongo wajinga kama hapa watoto wa mwaka 87 wazazi wasiwalete huku wanakuwa wajinga baada ya kukabidhiwa fungua washauri hao wazazi.
ReplyDeleteYEEEEEEEEES HAYA NDIO MAMBO. MAMBO YA KUBABAISHWA WANAWAKE SIKU HIZI HAKUNA HOLAAAAAAAAA, KARNE HIZI HAKUNA MWANAMKE ANAYETAKA KUBABAISHWA NA MWANAUME AU KUNYANYASWA, TULISHANYANYASIKA SANA TU, WAMBAO BADO WANAUJINGA WA KUKAA KIMYA WAKATI WANAUME WANAWANYANYASA WANATAKIWA TUWAFUNDISHE KUWA TAFU NA WAHAMASISHWE KWA TOVUTI HII NA MICHUZI AKIENDELEA KUTUPA HABARI KAMA HIZI HAPA BULOGUNI, PIA INAWASAIDIA WANAPOPATA MIFANO LAIVU TOKA KWA WANAWAKE MASHUHURI AMBAO HAWABABAISHWI MJINI HAPA KAMA MIE MWENYEWE, ANNA KAHAMA, JOAQUINE DE-MELLO, MIRIAM NA RITA (FORMER GIRLFRIEND WA MKURUGENZI WA IPP/
ReplyDeleteSHUKRAN MZEE MICHUZI.
Jamani wewe mama kuwa na huruma na mume wa mwenzio. Mume wako akiiona picha hii hakika anaweza kukulima talaka. Na wewe mgambo kimbele mbele cha nini kwenda kuwatimua kina mama wanajitafutia riziki?. Ona sasa unapigwa roba kali mchana kweupe pee. Sijui jioni ukirudi kwa mkeo utaenda kujieleza vipi. Pole mzeee.
ReplyDelete