Home
Unlabelled
limo jipya latua dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kumradhi, Limo jeusi ni kwa ajili ya misiba navyojua mimi!
ReplyDeleteAnnon hapo juu acha ushamba nani alikuambia ni kwa misiba tuu!!!wabongo bwana kwa roho ya kwa nini hamjambo.Mbona tunayaona huku mengi tu yana rangi nyeusi na si kwa ajili ya misiba.
ReplyDeleteMimi nampongeza sana huyo mwenzetu aliyepeleka hilo limo bongo nasi tuweze kujivunia na tusiwe tunapanda mark 11 kwenye harusi ztu, pili huyu jamaa hapo juu aliyetoa comment, mimi napenda kumuuliza tangu lini alisikia rasi wa nchi yoyote amepanda gari nyeupe? kwa taarifa yako rangi nyeupe ndio ya msiba ndugu yangu, angalia bush alivyokuja hapo limo lake lilikuwa na rangi gani? mcheki msure wetu JK ana limo na benzi nazo ni rangi gani?Nduigu yangu kwa taarifa yako rangi nyeusi ndiyo yenyewe, sasa nawapa tip rangi nyingine mbali ya nyeusi kwenye limo ni pink, lakini siyo nyeupe.
ReplyDeleteHongera sana Bwana Janguo kwa kudondosha limo jingine.
ReplyDeleteMdau
Mtoni kijichi
haaaaaaa mtajuju mtabakia jeupe jeusi bongo wanakula raha kama hujalipanda huko uliko wewe beba box ukirubi home pesa yako tuuh urada wa limo wakusubiri tesa watu mbeba box kufa kwaja maraha bongo.
ReplyDeleteMwenye limo hongera, ni hatua ya maendeleo. Anon hapo juu uliye-comment limo nyeusi ni ya msiba....pole sana kwa kuwa na umaskini wa akili...nadhani ukijaliwa utajiri wa mali utashusha limo ya rangi unayoitaka. Ila siyo pink....labda kama itatumiwa San Francisco!!
ReplyDeletePink is for gays. Si wote kina Elton John.
ReplyDeleteHuyu mdau aliyepeleka limo jeusi kweli ameua, hiyo ndiyo rangi ya wa-sure,kweli tumpongeze kwani kwa hapa UK kupata gari kama hilo si chini£20,000, bado kutuma na gharama ya kutoa.Kweli mwenzetu amejitahidi na biashara ambayo inalipa na ipo kwenye chati.Jamani na kawaida ya kuwapongeza wenzetu na siyo kuwashutumu na kuwakatisha tamaa,Kama una uwezo tupa lingine.Ongereza sana
ReplyDeleteIngawa huyo mdau wa kwanza kaitoa vibaya hiyo kauli yake, mara nyingi kwa walio na chaguzi hutumia Limo jeusi kwa shughuli nyingine zote na kuacha jeupe kwa ajili ya vitu kama harusi.
ReplyDeleteHilo ni sahihi lakini kama huna chaguzi hata la kijani utapanda ila tukubali kwa walio navyo hata rangi zina maana yake.
hukatazwi kuvaa njano au nyekundu siku ya simba na yanga lakini kwa sisi watanzania lazima kutakuwa na tafsiri kwa siku kama hiyo.
Hii limo itakua inapita barabara gani jamani?Nikiwa na harusi uswazi itakaje kona kitu ndefu hivyo,hongera lakini mwenye nayo ni hatua kubwa ila miundo mbinu ndo so hapo kwetu.Tupe habari za Chenge ero Muchuthi.
ReplyDeleteJamani, sio kila limo, ni ya Janguo eeeeeeh wandugu poleni sana. Sasa hili jeusi ni la kijana mpiganaji wa kibongo ambae haendi kukaa miaka dahar nje kubeba boxi, ni kalamu yake tu ndio impayo maisha.... hongera kaka
ReplyDeleteMHESHIMIWA MICHUZI, JEE HILI LIMOZINI PIA LIMELETWA NA IDDI JANGUO? BADO ANAENDELEA NA MCHEZO WAKE? KAMA ALIVYOLETA LILE JEUPE, AMBALO TUNAJUA ALILIPATA VIPI, NA KUANDIKWA MAGAZETINI MAREKANI?
ReplyDeleteAU THIS TIME ATAKUWA AMEFANYA UJANYA TOKA NCHI NYINGINE NA KUINGIZA LIMOZINI JEUSI. DUH! BASI HUYU KIBOKO.