Kwa niaba ya kanisa lenu la Umoja, tunapenda kumkaribisha kila moja wenu katika mkutano wa kesho ambao mtumishi wa Mungu mama Ngereja atahudumia.

Mbali na mkutano huu, tunapenda pia kutangaza msiba wa BIBI BUPE MWAIJANDE ambae ni bibi mzaa mama wa mwanajumuia, na mshirika wa kanisa la Umoja dada BAHATI na WINNIE.
Msiba huu umetokea jana huko nyumbani Mbeya, Tanzania. Tunaomba wanajumuia watakaoweza kufika kanisani kwa ajili ya ibada na kuwafariji wafanye hivyo kesho siku ya jumamosi saa moja jioni.




Kwa watakaoweza kuwapigia simu na kuwafaraji wanaweza kufanya hivyo kwa namba hizi;
214 779 4469,
214 576 8903,
214 989 8778,
214 554 7381.


Kwa direction ya kanisa angali juu ya tangazo letu.
Umoja

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. samahani wadau wa Ukerewe hasa London, nilisikia kuna kanisa linasalisha ibada ya kilutheri kwa kiswahili, kama kuna mdau ana taarifa rasmi tafadhari naomba address,

    thanx.

    ReplyDelete
  2. Kwa kweli inasikitisha na inashangaza.Imani Imani Imani.

    ReplyDelete
  3. Just to ask, huyu Mhubiri ni mama Kunegunda Gereja?

    ReplyDelete
  4. Hivi "paster" ndio "pastor" inavyoandikwa kimarekani au?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...