
Kwa niaba ya kanisa lenu la Umoja, tunapenda kumkaribisha kila moja wenu katika mkutano wa kesho ambao mtumishi wa Mungu mama Ngereja atahudumia.
Mbali na mkutano huu, tunapenda pia kutangaza msiba wa BIBI BUPE MWAIJANDE ambae ni bibi mzaa mama wa mwanajumuia, na mshirika wa kanisa la Umoja dada BAHATI na WINNIE.
Msiba huu umetokea jana huko nyumbani Mbeya, Tanzania. Tunaomba wanajumuia watakaoweza kufika kanisani kwa ajili ya ibada na kuwafariji wafanye hivyo kesho siku ya jumamosi saa moja jioni.
Kwa watakaoweza kuwapigia simu na kuwafaraji wanaweza kufanya hivyo kwa namba hizi;
214 779 4469,
214 576 8903,
214 989 8778,
214 554 7381.
Kwa direction ya kanisa angali juu ya tangazo letu.
Umoja
samahani wadau wa Ukerewe hasa London, nilisikia kuna kanisa linasalisha ibada ya kilutheri kwa kiswahili, kama kuna mdau ana taarifa rasmi tafadhari naomba address,
ReplyDeletethanx.
Kwa kweli inasikitisha na inashangaza.Imani Imani Imani.
ReplyDeleteJust to ask, huyu Mhubiri ni mama Kunegunda Gereja?
ReplyDeleteHivi "paster" ndio "pastor" inavyoandikwa kimarekani au?
ReplyDelete