Hello
mzaliwa wa bwawa la maini(Michuzi)
Naomba kusema kitu kimoja ,Kuna mdau alinikera sana jana alitoa maoni kwamba manchester united,liverpool na chelsea hawachezi mpira, na timu hizi haziwezi kufunga timu toka Spain na Italy na Pele akiulizwa timu gani inacheza mpira atakuambia Arsenal.
Kwanza anajua kuna system tofauti za mpira Mfano
Liverpool & Chelsea - Defending ,Long ball,set pieces and counter attack(Not attractive but winners)
Manchester united- Possesion, Counter attack,opening defences ,Crosses +Skillful players&match winners(ronaldo,Rooney,tevez & Nani)
Arsenal-Possesion but dont create chances
1. jibu analo maana jana ferguson kamuacha Ronaldo,Rooney,Scholes,Nevill,Oshea kwenye bench naomba uniambie kuna timu gani ambayo ina uwezo wa kufanya hivyo zaidi ya manchester united,Schalke ni time mbaya kuliko Roma kwanini Barcelona hawakuwaacha ETO,HENRY,BOJAN,XAVI,INIESTA nje kama inajiamini na walikuwa nou camp.
2. Arsenal hawan match winners kama Henry,Pires,Lumberg,Viera,Bergkamp sijui,siku hizi ni Adebayor au Fabregas labda Walcot kwisha.Arsenal ni timu nzuri sana ila wanahitaji wachezaji wa 3 au 4.kamchukuweni Benzima.
3. Tumeweka record jana Mechi 11 old trafford tumeshinda zote haya manasemaje hapo,Juventus walikuwa 10.
Bwana michuzi hongerini kwa kuwachapa Arsenal japo ,Watu wazima mlikuwa muibike,tunashukuru Kicha Puyol hachezi mechi ya kwanza barcelona , haya kaka naomba urushe hii tafadhali
William Uk
Manchester United for Life
mzaliwa wa bwawa la maini(Michuzi)
Naomba kusema kitu kimoja ,Kuna mdau alinikera sana jana alitoa maoni kwamba manchester united,liverpool na chelsea hawachezi mpira, na timu hizi haziwezi kufunga timu toka Spain na Italy na Pele akiulizwa timu gani inacheza mpira atakuambia Arsenal.
Kwanza anajua kuna system tofauti za mpira Mfano
Liverpool & Chelsea - Defending ,Long ball,set pieces and counter attack(Not attractive but winners)
Manchester united- Possesion, Counter attack,opening defences ,Crosses +Skillful players&match winners(ronaldo,Rooney,tevez & Nani)
Arsenal-Possesion but dont create chances
1. jibu analo maana jana ferguson kamuacha Ronaldo,Rooney,Scholes,Nevill,Oshea kwenye bench naomba uniambie kuna timu gani ambayo ina uwezo wa kufanya hivyo zaidi ya manchester united,Schalke ni time mbaya kuliko Roma kwanini Barcelona hawakuwaacha ETO,HENRY,BOJAN,XAVI,INIESTA nje kama inajiamini na walikuwa nou camp.
2. Arsenal hawan match winners kama Henry,Pires,Lumberg,Viera,Bergkamp sijui,siku hizi ni Adebayor au Fabregas labda Walcot kwisha.Arsenal ni timu nzuri sana ila wanahitaji wachezaji wa 3 au 4.kamchukuweni Benzima.
3. Tumeweka record jana Mechi 11 old trafford tumeshinda zote haya manasemaje hapo,Juventus walikuwa 10.
Bwana michuzi hongerini kwa kuwachapa Arsenal japo ,Watu wazima mlikuwa muibike,tunashukuru Kicha Puyol hachezi mechi ya kwanza barcelona , haya kaka naomba urushe hii tafadhali
William Uk
Manchester United for Life
William! Mshukuru sana Mungu umezaliwa, ukapata akili, ukapenda mpira, ukajikuta unapenda Manchester United. Hiyo ni bahati. Hawa walioangukia sijui Arsenal, Sijui Liverpool wanaishi maisha magumu sana. Huwezi kuamini Arsenal na visago inavyopata (Jumapili tunawachinjia baharini) bado ni wabishi, wanapiga kelele balaa. Hata uwaeleweshe vipi, hawaelewi. Wewe unawaelewesha kwenye blog, sisi tunakutana nao uso kwa uso na hawawezekani, utawaweza wewe? WENZAKO, NDUGU ZAKO MASHETANI WEKUNDU TUMEKUPATA! Ahsante kaka! OC- Sinza
ReplyDeletembona mnaleta ushabiki sana na timu za nje...hapa kwetu vipi au ndo ukoloni mamboleo....ndgu zetu wamepitiwa na mafuriko huko kyela na kwingineko....tupe hizo..kwani mmepta tsh..ngapi? mimi pia ni mpenzi wa mpira bt nimeshasahau..yote arsenal kapigwa basi...yaishe....
ReplyDeleteThe better team always wins lakini ni tofauti kwa hiyo timu ya bwawa la maini. Unlike Man U, Arsenal na Chelsea ambao wanagombea makombe yote na wanashinda mara nyingi hawa jamaa wa Lpool wao ni tofauti. Wanaweka mkakati wa kifisadi wa kombe moja tu la Champions League. Wanacheza jihadi kuziharibia timu nzuri. Ole wao, mwaka huu wataula wa chuya na wasipoangalia Everton watachukua nafasi. Mwakani si ajabu mikakati yenu ya kombe moja tu ikaota mbawa.
ReplyDeleteAnony 4:32pm ,
ReplyDeletemimi binafsi sipendi kuangalia Karate(mpira wa bongo) bali napenda kuangalia mpira(real football kama man utd,real madrid e.t.ct) Tatizo la mpira wa tanzania wachezaji wenyewe wabishi kama wewe,timu gani haina hata GYM,wachezaji wanafuata diet wakiwa kambini wakitoka wanakula chips mayai(zege), Mpira unaanzia kichwani(Akili,kujituma na malengo) then ndio unakwenda mguuni bila hivyo haiwzekaniki na kingine,Mimi sio mwanasiasa bali mwanasoka kama kuna tatizo kyela mafuteni mbunge wa huko awaeleze kila mtu ana fani yake.kwa kumalizia kama unasema tunaleta ushabiki wa timu za nje ni vibaya, kwanini huvai ngozi maana ndio asili ya tanzania au africa unavaa nguo ambazo ni za nje. au kwanini unatumia computer kuweka comment sio barua kwa kutumia posta ,nadhani jibu unalo kwamba you go for the best
sina nia mbaya bali kufafanua tu
William Uk
Manchester United for Life
Marahabaa William! ngoja niongeze na hii kuonyesha aibu walioipata hao ARSENAL, Carling cup wamepigwa 5-1 na totnham wakaenda nje!! FA cup 4-0 na Man U,nje!! sasa Champ league 4-0 kwa LIVP!! Hii ni aibu kubwa kwa vipigo kama hivyo kwa mechi zote hizo muhimu,bado oo arsenal wanacheza mpira mzuri,waamke! hahaaa
ReplyDeletekwa taarifa yenu man utd, mtakiona cha moto mtakapocheza na barca.
ReplyDeletehii!! we vipi kwani pele ndo kiwango cha ubora wa soka. naye kazeeka hana lolote!
ReplyDeleteKuna maoni yanafurahisha sana. "Bwana michuzi hongerini kwa kuwachapa Arsenal japo ,Watu wazima mlikuwa muaibike". Ni sawa na kusema mshukuru Steven Gerrard na Ryan Babel wanachezea timu yenu na kocha wenu ni Rafa Benitez. Ndio sababu wapo pale hawa watu.
ReplyDeleteWadau wanaolia na Liverpool kuwa wababe wa kombe moja tu naomba niwakumbushe, hili kombe moja wanaliita Champion's League. Maana yake ni kuwa ukiwachanganya mabingwa wooote wa soka wa Ulaya, bingwa wao ni atakayelishinda. Ni bingwa wa mabingwa. Nani hataki kuwa bingwa wa mabingwa?
mdau william uk naomba tuwasiliane kupitia rrogerjunior@hotmail.com ni mimi mdau mwenzio wa manchester united for life,naishi manchester naipenda sana hii timu na kadi yangu ya uanachama membership number 2551493.
ReplyDeletemob:07778560066
Please michuzi nipostie niwasiliane na mdau mwenzangu
EUFA CHAMPIONS LEAGUE FINAL @ MOSCOW,RUSSIA ON MAY 21 WILL BE MAN UTD. VS. LIVERPOOL.
ReplyDeleteCHELSEA FAN FROM NY,NY.
Mi ni mshabiki wa washika bunduki ila wenger asipo angalia wachezaji wake wote muhimu wataondoka.the last time we ever won a trophy waz the fa cup agaisnt manchester mpaka na leo.wachezaji wa ulaya wanachotaka ni kushinda makombe period hawataki kitu kingine.Na kama hawakipate hicho watenda sehemu ambayo watashinda makombe kwa mfano ballack alikuwa anataka champions league akaenda sehemu ambayo anajua atalipta the same goes to henry and patrick viera.fabregas anasema watu wansema kikosi chetu ni cha baadea ila mimi nataka kushinda mataji sasa hivi.sifa zote tunazo zipata kutoka kwa kina kaka,pele hata fifa wenyewe wanasema kwamba timu inayoongoza kwa kutoa burudani ni arsenal. hizo hazileti makombe.mashabiki tunataka makombe siyo burudani tu.kwahiyo it's time for wenger to get back to his senses and start siginin playerz
ReplyDeleteHello
ReplyDeleteMdau wa man utd ,Rrogerjunior@hotmail.com,nimekutumia email na contact zangu kwahiyo bila shaka tutaanza kwenda old trafford wote ,hii ndio faida ya michuzi shukrani kaka hahah
William uk
man ud for life
Naomba waambie kwamba maana wengine mpira hawajui ila wamekalia kuponda tu,Man U na Liver ndio watakao weza kuingia fainal sio zaidi ya hao na wengine wanasema ohhh sijui man u hamna kitu nashangaa sana ok lakini kila mtu na mtazamo wake.
ReplyDeleteArsenal fans talk alot of RUBBISH, its time 2 shut up and watch how Man. UTD doin their thing.
ReplyDeleteMdau T-dot
Barca wana mpira gani wa kuifunga manchester united acheni mchezo nyinyi man u sasa hivi ni timu nyingine sio ile ya siku zote kwa hiyo na hivi tutaanza kwao basi kazi tumemaliza tumeshajua tunaingian fainal na liverool chelsea najua atatolewa tu hata iwe nini haya sasa kazi kwenu nyinyi wenzangu mliofungwa na liverpool sasa inabidi kilichobaki tugawane wengine waje liverside na wengine waje man u tuache ubishani maaana mtu yoyote ukimuona anapinga basi huyo ujue ni wenger tu sasa mmeshatolewa hamna kitu tena.
ReplyDeleteHao Bwawa la maini wanabebwa,Siku walivyocheza Emirate Arsenal hawakupewa penati Wenyewe wamepewe kwao kama siyo kubebwa na kama kuwafunga Arsenal ilikuwa halali yao tutaona ngoma na Chelsea.Chelsea oyeeeeeeeeee
ReplyDeleteSafi sana mdau william kwanza nipe tano,mie nawashangaa sana watu ambao hawataki kuukubali ya kua Man Utd iko juu,soka safi,ushindi kwa kwenda mbele hadi raha nashukuru kwa uamuzi wangu wa kuipenda Man Utd,hamna stress za kijingajinga ni full kufurahi Man Oyeeeeeeeeee.Big up kwa wadau wote wa Man Utd,Habari ndio hiyo.Man Utd For Life
ReplyDeleteLiva inatisha lakini mpira unadunda. Wewe mdau unayejinasibu kwamba CHELSEA haiwezi kuwatoa BWAWA LA MAINI hiyo ramli umeipata wapi? Au ndio walewale kina SIMBA wanaoota kuipiga enyimba 6-o? Kwa mpira gani? Labda kama mpira mpira unachezwa mdomoni kwa kuwa mwenye maneno mengi ndiye atakayeshinda. Na kama mpira ungekuwa ni maneno basi waTanzania tungekuwa wa kwanza kwenye chati ya FIFA.
ReplyDeleteNani alikuwa anajua kwamba Fenabahnce wangefika hapo walipoishia? Msitake kutuletea ubishi wa kiswahili usiojenga. Hapa uswahilini timu ikicheza vibaya ikafungwa kocha anasema timu yake imeonewa au inakamiwa! Upuuzi kabisa! Kama wanakamia kwanini nyie msikamie pia? Kwani hiyo miguu yenu inakuwa wameifunga kamba?
Kule kwa wazungu timu ikicheza vibaya na kushindwa kutengeneza nafasi za kufunga refa anasema ukweli kwamba timu yake imecheza hovyo na kuisifia timu pinzani. Huku uswahilini hilo jambo hakuna. Kwamba refa wa yanga afungwe na simba kwa sababu ya timu yake kucheza hovyo halafu akubali ukweli na kuwasifia simba! Labda kama amechoka kazi!
Katika maswala ya mpira professional jaribuni kuwa wakweli lakini kama ni mpira wa mchangani endelezeni ubishi lakini hautasaidia kubadilisha ukweli wa mambo. Kwa hivyo wadau tunapokuwa tunajadili mambo ya mpira tujaribu kuwa ratioanal na sio kuleta ubishi usioweza kuutetea kiufundi.
Habari zenu kwa mpigo Wana Man Utd! Kwakweli nimepata raha sana kusoma maoni yenu na jinsi mnavyoipenda timu yetu. Mimi huwa nakuja mara moja moja hapo Old Trafford kuangalia mechi za ligi. Naishi Czech republic, sasa hivi naanza kutafuta viza ya Moscow (fainali). Madu Willia na huyo mwingine nitawatafuta nikija Manchester kuangalia mechi. Timu yetu iko kwenye form, tunacheza very entertaining football, nahisi hata wale jamaa wasiotupenda huwa wanakaa wanaziangalia mechi zetu kinyamela (kwa kujificha).. Okay Wadau, have agreat weekend! Glory Glory Man utd!
ReplyDeleteMdau toka czech umenifurahisha sana inaonesha ni jinsi gani mpira unaweza kutanisha watu, hamna neno we ukija nitafute willtz20@gmail.com tunakusubiri sana hahahah karibu old trafford
ReplyDeleteKama kweli ni watafiti basi Jueni kwamba Wenger ni mpwa wa Mr. Bean.
ReplyDeletekabla hamja comment just chukua picha ya wenger na Bean , then fungua http://huuniutani.com
utathibitisha
Manchester for real
G7
UK
Haya haya...Arsenal...!PANAITWA THEATRE OF DREAM(OLDTRAFORD).
ReplyDeleteI can't wait to see Barca the same way,went down with agony.Lakini Manunited lazima ile beki yao irudishwe kama ilivyokuwa.
I am so happy to see Manunited gor for second title.
Dave,Los Angeles
hahahah kaka michuzi red devils muziki munene ,vijana wamelicheza kweli kweli ila kumbuka niliwaambia wadau match winners ni muhimu kwenye timu ,nadhani sina cha kusema ,tunatakiwa kushinda match mbili zijazo tu tuwe mabingwa japo VIDIC inabidi arudi maana itakuwa tabu kweli kweli haya
ReplyDeleteWILLIAM UK (UNITED FOR LIFE0