mr paul akifanya vituzzz huko sydney na chini wapenzi wakiserebuka
Mzee habari za siku? Pole na mazunguko, naona mjini Ukerewe kulikuwa shwari. Siye huku mambo mswanu tu baridi ndo inaingia ingia.

Nakutumia picha za mambo mambo toka Sydney.

Baada ya kimya kingi na kutosikika kwa muda, kijana shupavu na mkongwe wa Bongo Flava, Mr. Paul awachengua wapenzi wake kwa kuibuka jijini Sydney na kufanya mavituz yake.


Mr. Paul alikonga nyoyo za kila aliyekwenda kujivinjali siku aliyopafomu kwa mara ya kwanza nchini Australia, kwa habari zilizopatikana kupitia wadau waliokaribu sana na Mr. Paul, inasemekana Mr. Paul anatarajia kuteremsha vibao kadhaa na kuvirekodi katika mitambo ya kisasa jijini Sydney.


Habari za imidietli zikipatikana, wadau watataarifiwa ezi suun ez posibo!

Mdau Sydney

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. huyo nasikia alikuwa anasoma hapo USA RIVER A TOWN chuo cha wadanish...ndo mana alikuwa hasikiki...anyway kila la heri kma umerudi tena kwenye fani...aminia babake...

    ReplyDelete
  2. No haiwezekani akawa aliishi US kwani kuna baadhi ya vitu angekuwa anavijua.
    1. Dress code as an artist.
    2. Persona/ self image as an
    intertainer.
    3. What it takes to be a celebrity.
    Hakuna chochote kinachojioonyesha kutoka kwa huyu jamaa.
    Kwa mtazamo wangu anaganga njaa ughaibuni.

    ReplyDelete
  3. Hello Bro Michuzi hali yako!
    Najuwa upo salama munaomboleza msiba wa Ustadh Dito na kujiuzuru kwa chenge!

    Just nataka kuelewa pale uliposema kuanzia sasa kutuma picha marufuku, hasa unamaanisha nini? kwasababu naona hii message inafanana na yale uliyokataza.

    well hata hivyo nadhani hao kina Manka wanatupunguzia ukali wa upweke waruhusu bwanaaaaaa.

    All the best,

    G7
    UK

    ReplyDelete
  4. comment za anny wa pili zipo out of context kabisaaaa. Ana mtindio wa ubongo.

    ReplyDelete
  5. jamaa umri umeenda, amezeeka.

    ReplyDelete
  6. Umefanana nae michuzi weka picha yako ukiwa miwani karibu na yake utaona ukweli wa mambo.

    ReplyDelete
  7. Huyo anon wa pili vp? Huyo anon wa kwanza amesema Mr. Paul alikuwa anasoma USA-RIVER A-TOWN(Arusha). Au hujui kama Arusha kuna sehemu inaitwa USA RIVER? Sasa wewe umeona USA tu, hukumalizia sentensi! Ukajua ni United States! Duh! Kazi bado tunayo!

    ReplyDelete
  8. Jamani huyu jamaa mbona yuko tu Iringa muda wote anafanya kazi kwenye radio moja ambayo jina lake limenitoka kidogo. na huwa anaishi na demu wa kizungu ambaye inawezekana labda ndio huko ulaya alikoenda amekwenda ukweni. nahiusi kalamba dume kwa huyo demu wa kitasha. kila la heri Mr. Paul

    ReplyDelete
  9. hivi huyu mtu wa pili kichwa chake ni kizuri kweli kwanini hasomi vitu vizuri na kuelewa ndioa ajaribu kutoa maoni hawa ndio walivyukuwa shule au chuo walikuwa wanafeli

    ReplyDelete
  10. Hivi wewe anny wa pili, mavazi ya kimarekani (mabuti makubwa, suruali oversize na t-shirt zilizo changanywa rangi zote za ulimewnguni) zinaendana vipi na wasanii wanaoimba zouk au iziki ya kiafrika? at least jamaa ameamua kuvaa kama mtu mwenye akili timamu. besides watu wanataka sauti yake na sio fashion show.

    ReplyDelete
  11. These are just my comments for our brothers and sisters who want to breakthrough the entertaiment business. Just think of these little things:
    1. Do you have vocals, skills in
    using music instruments, etc
    2. Do you have the looks, ego,
    personality, stage presence'
    enthusiasm, ect
    3. Can your music be a business
    4. Can you be a role model to your
    society in either a positive
    or negative way.
    5. Music is a business. Can you
    manage it.
    6. Can your audience relate to the
    massage in your music. For
    instance love, pain, hustle, etc
    7. Can can your music transcent
    when you out of the picture.
    8. As an artist yourself are you
    brand name which can be
    marketable by itself. Can your
    music sell other brands. Is your
    music commercial in anyway.
    Like I said these are just my opinion to Bro Paul and my other brothers and sisters back home and anywhere trying to make it.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...