Taji la Miss Tourism Queen International 2008 limeenda kwa mrembo wa Peru, Silvia Cornejo.(pichani) Binti yetu Jamilla Juma Munisi (picha ya chini, mbele kati) ambaye alikuwa anatuwakilisha hakufanikiwa.

Mperu huyo anakuwa binti wa kwanza kutoka bara la Amerika kutwaa taji hilo kubwa duniani.

Mshindi wa pili alikuwa ni Miss China, Tong He na Miss Canada, Sahar Biniaz, alikuwa mshindi wa tatu; Miss Montenegro, Dasa Zivkovic, alikuwa wa nne; na watano alikuwa, Miss Japan, Akemi Fukumura. Kwa habari zaidi nenda
lukwangule.blogspot.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Kazi ipo kwa TZ,No futbol, no urembo, nothing!

    ReplyDelete
  2. amekuwa wa ngapi sasa? mbona kaka michuzi unatubania wachaga, hayo mabo ya kubifya hapa hatuyawezi wengine tuwekee issue hadharani hapa tumeshinda namba ngapi ili watu wajue wachaga tupo fit kwenye mambo yote uzuri n.k. usibane michuzi wachaga tunatesa hahahahahahha!

    ReplyDelete
  3. Hivi china nako kuna warembo eeeehh!!!!

    ReplyDelete
  4. Well done Jamila Munisi.Huo ni mwanzo.

    ReplyDelete
  5. nilijua tu, tangu lini wachaga wakawa warembo kama si kupendelewa tu hapa nchini, hawana lolote,bali shepu za kabati na meno yaliyooza.Afadhali hata wanyakyusa.
    Mwai...
    ARS

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...