
Mperu huyo anakuwa binti wa kwanza kutoka bara la Amerika kutwaa taji hilo kubwa duniani.
Mshindi wa pili alikuwa ni Miss China, Tong He na Miss Canada, Sahar Biniaz, alikuwa mshindi wa tatu; Miss Montenegro, Dasa Zivkovic, alikuwa wa nne; na watano alikuwa, Miss Japan, Akemi Fukumura. Kwa habari zaidi nenda lukwangule.blogspot.com
Kazi ipo kwa TZ,No futbol, no urembo, nothing!
ReplyDeleteamekuwa wa ngapi sasa? mbona kaka michuzi unatubania wachaga, hayo mabo ya kubifya hapa hatuyawezi wengine tuwekee issue hadharani hapa tumeshinda namba ngapi ili watu wajue wachaga tupo fit kwenye mambo yote uzuri n.k. usibane michuzi wachaga tunatesa hahahahahahha!
ReplyDeleteHivi china nako kuna warembo eeeehh!!!!
ReplyDeleteWell done Jamila Munisi.Huo ni mwanzo.
ReplyDeletenilijua tu, tangu lini wachaga wakawa warembo kama si kupendelewa tu hapa nchini, hawana lolote,bali shepu za kabati na meno yaliyooza.Afadhali hata wanyakyusa.
ReplyDeleteMwai...
ARS