Home
Unlabelled
pinda atoa pole kwa familia ya nchimbi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwa familia ya nchimbi.
ReplyDeletePoleni sana kwa msiba mzito wa baba yetu Basilium R. Nchimbi. Nimepokea kwa mstuko mkubwa sana habari za kifo cha Mzee.
Naungana nanyi katika wakati huu mgumu na Mwenyezi Mungu awape moyo wa subra na ustahamilivu.
Pole sana mama nchimbi, pole sana dada Nimwi, pole sana kaka Ruhuma, Zawadi, Nico na Jobiso.
Muingu ailaze roho ya baba yetu B.R. Nchimbi mahali pema peponi.
Wasalaam.
Yasini Mfunda - UK
Kwa familia ya Mzee Basilius R. Nchimbi.
ReplyDeletePoleni sana kwa msiba mzito wa baba yetu na namuomba Mwenyezi Mungu awape moyo wa subra na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.
Nimestushwa sana na kifa cha baba yetu, lakini duniani ni mapito tu. Tunamuomba Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema pemoni.
Pole sana Mama Nchimbi, pole sana dada Nimwindie, pole sana kaka Ruhuma, Zawadi, Nico na Jobiso.
Wasalaam.
Yasini Mfunda - UK
Nimepokea habari hizi kwa mshtuko na masikitiko makubwa kwamba mzee Nchimbi alilala kama kawaida na usiku wa kuakia Ijumaa bwana akamtwaa. Bado alikuwa akihitajika kuendelea na ujenzi wa taifa pia familia ilikuwa ikimuhitaji mno aendelee kutoa busara zake, upendo pamoja hekima alizokuwa nazo. Natoa pole nyingi kwa familia ya mzee Basilius Romanius Nchimbi kwa kuondokewa na kipenzi baba yenu, nampa pole mama Nchimbi, watoto wa marehemu akina Ricky, Ruhuma, Nimwindie, Japesa na Zawadi,pia wanandugu wote hapo nyumbani Jobiso de Jembis, Nico, Oresta, Bony, Berlinda, Joseph, Mina na wengine wote. Mungu awatie nguvu kukipita kipindi hiki kigumu, Mungu awatie matumaini na kuwapooza. bwana alitoa na bwana ametwaa jina laBwana libarikiwe.
ReplyDeleteJirani yenu wa zamani