Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na mbunge wa Busega, Dr. Raphael Chegeni, nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. MY BEST FRIEND CHEGENI HAVENT SEEN YOU FOR A WHILE,NISALIMIE VENANCE MWAMOTO NA MUDHILI.SHALL SEE YOU SOON WANDUGU

    Halima

    ReplyDelete
  2. good to see you chegeni- masunga, very smart man!
    jacob, usa

    ReplyDelete
  3. Hivi wee Michu kwanini kila siku iendayo kwa Mungu lazima umuonyeshe Mhe. Waziri Mkuu? I have nothing against him ila najiuliza tu, au kwasababu naye ni Handsome halafu mmefanana sijui ndugu yako?

    Mdau - Boston, US

    ReplyDelete
  4. Nahisi Mh.Chegeni ana asila sana na zengwe la maghorofa pacha ya BOT.Tumeambiwa ana mpango wa kutoa hoja binafsi juu ya sakata hilo.Sasa hapa anapata ushauri kutoka kwa PM juu ya jambo hilo.Watanzania tuna shauku ya kujua ukweli wa jambo juu ya kiwingu kilichotawala katika mchakato mzima wa ujenzi wake.Kila la kheri Dr.Chegeni.

    ReplyDelete
  5. Mzee Masunga hapo unampa sera gani Mr.PM?

    ReplyDelete
  6. Huyu waziri mkuuu vipi...naona jamaa kama kilaza fulani hivi!! Eti juzi anasema kukiuka bajeti wakati fulani sio mbaya? This coming from a Prime Minister is real shocking...jana tena nasikia kasema watu wenye pesa sio wa kuingilia hivi hivi!! Hivi kweli kama hata serikali katika level ya PM imefikia hatua hiyo ya kuogopa watu, unategemea nini kwa mahakimu na polisi....i am put off. Kweli kiazi huzaa, kiazi. JK kila akipick, anapick kiazi zaidi yake

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...