Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Akili ku mkichwa mpaka trips ziishe hela yetu imerudi ya magari si ndio jamani?

    ReplyDelete
  2. kwa ratiba hii lazima kieleweke Tigo kweli jamaa wapo kibiashara yaani wamewapa washkaji Hiace halafu wao wanaenda kuchuma mamilioni ya pesa kweli kusoma raha.

    katochi)

    ReplyDelete
  3. Mkali Profesa J! hao wote hamna kitu wakaungane na Alichoki T-REspect. Wawaachie watalaamu game!

    ReplyDelete
  4. heheh lazima tigo warudihe Hiace zile..

    ReplyDelete
  5. HALAFU HAPO KWENYE RATIBA NI TENTIVELY NI TENTATIVELY WAAMBIE WAREKEBISHE INAWASHUSHA KIDOGO HIYO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...