Hongera kaka Michuzi kwa juhudi zako nzuri za kuwaunganisha watanzania kupitia globu yako hii...


Pia napenda kuwasalimia Watanzania wenzangu popote pale walipo...bila kuwasahau dada manka na dada jovinata kwa uvumilivu wao katika baadhi ya critisicms walizozipata kwenye post zao walizotuma ikiwa ni miongoni mwa uhuru wao wa kujielezea kile wanachohisi wanapenda katika maisha yao....


Katika hali hiyo hiyo maoni mengi ya wachangiaji yametolewa kwa mujibu wa uhuru wa maoni na kujielezea ingawa baadhi yamekuwa harsh...


napenda kumalizia kwa kuwatakia watanzania wote upendo na kuvumiliana katika maamuzi ya kila mmoja,kwani hatuwezi sote kuwa na mawazo sawa sawa...


cha msingi ni kuheshimiana na hopefully tutafika kule ambako tunakutaka kwa kufahamishana na kusikilizana...


Waridi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 46 mpaka sasa

  1. Biashara matangazo, i preatty much sure unajiangaza hapa wewe. Huna jipya wewe

    ReplyDelete
  2. Wewe kweli ni waridi..... Duuuuh, kitu kimetoka asikwambie mtu....

    ReplyDelete
  3. u mzuri, mnyenyekevu.ils siyo full picture, kwa hiyo siwezi kusema zaidi.

    ReplyDelete
  4. Mzee Michuzi,

    Mimi namuunga mkono Waridi kwa salamu zake hizo nzuri na kuwatakia wadau kuvumiliana katika maamuzi ya kila mmoja. Mimi ninavyofahamu ni kwamba 'akili ni nywele, kila mtu ana zake' na tofauti hii ya akili na ufahamu ndiyo inatufanya kila mtu mwenye akili timamu awe na umuhimu yake katika jamii. Ni utofauti huu wa mawazao na mitazamo unaofanya watu waibuke na, mfano, aina tofauti za blog. Mara fotobraza, mara strictgospel n.k. Kinachotakiwa hapa ni kuchanganya tofauti hii ya mawazo kwa kubadilishana, kuelimishana na kufundishana kwa utulivu ili tuweze kuweka taste ( sijuwi ni radha au ladha?? kiswahili bwana...)nzuri katika maisha yetu.
    Kama vile tu wengine ze ganaz, wengine ze jogoo, ili mradi tukikutana pamoja maisha yanakuwa burudani!

    Sijuwi kama Waridi aliisoma issue moja ambayo mimi nilitowa wazo fulani.We! Wacha niandamwe...! Nilifahamu ni kwa sababu watu tuna mawazo tofauti. Cha kuzingatia ni kwamba mawazo yako unayoyatowa inabidi uyapime kwanza kuona kama yanafaa kwa jamii.

    Nakutakia kila la heri Waridi.

    Idumu blog hii!

    ReplyDelete
  5. Na wewe nawe umo haya tusubiri waosha vinywa wata kavyokusafisha.hongera lakini unaonyesha unaweza

    ReplyDelete
  6. Waridi, nilipoona picha yako kwa mara ya kwanza hapa mtandaoni kwa Michuzi nilistuka sana... Maana hata sikuona kuwa ulikuwa unatuma salamu tu! Nilijua na wewe unatafuta mwenza... kama Manka na Jovinata, acha udenda unitoke... maana ungekuwa unatafuta mwenza, bila kujali vigezo vyako ningerusha ndoana... In short umekaa vizuri! By MtafutaMwenza

    ReplyDelete
  7. Waridi habari za siku nyingi, mawazo yako mazuri na ni ushauli mzuri kwa watu kuvumiliana na hata kusameheana kwani hakuna aliye mkamilifu.
    Ni muda mrefu umepita hatujaonana hebu nitafute kupitia baneynick@yahoo.com tuweze kukumbushana.

    Ubalikiwe.

    ReplyDelete
  8. !!!Yeah... up Waridi huko makini ki-muonekano,You look so nice,beautify and good Mom.Hata na maelezo yako yana mvuto wa kiaiana.Sema tu hukutoa CV yako ili sisi watafutaji tujue lipi la kufanya...!!!.
    Mdau,
    USA.

    ReplyDelete
  9. fake smile

    ReplyDelete
  10. Waridi wewe utapata walahi tena! this is a perfect technique. si kama Manka na mwenzie majivuno kibao.

    Mbona wewe umeeleweka vizuri na wastaarabu watajitokeza sana.

    Ila umesahau kuweka contacts tafadhali.

    ReplyDelete
  11. Du! ama kweli waosha vinywa huwa hawakosi la KUSUKUTULIA,masikini dada wa watu kaingia kwa heshima na adabu lakini watu waisha anza kumpaka, hivi mtu kutoa salamu inawakera nini hasa? mbona sisi wabongo tunatia aibu namna hii, huwa najaribu kuingia blog za nchi nyingine mambo ni tofauti kabisa, watu wanasikilizana, wanashauriana na kupeana good compliments.
    Mimi binafsi nakushukuru dada Waridi kutujulia hali na Mungu awe nawe.

    ReplyDelete
  12. ha haha haha haha...haya dada,lakini kwani vipi na wewe unatafuta nini? tuambiane tuu

    ReplyDelete
  13. we nawe walewale wa kutafuta mchumba, ila we kichwa! umekuja na staili mpya! tumestuka!

    ReplyDelete
  14. Haina mbaya imetulia kwei ila hauja tupa sii ile email fipi sasa unausa au

    ReplyDelete
  15. Your picture and explanations tell everything....I'm out of words
    GIRL!!!you leave me breathless...

    ReplyDelete
  16. sasa we Bob hizo Blog za nchi nyingine ndo watu wanatafuta wachuma au? usiwe limbukeni na wewe, jina zuri lakini mawazo ya huna! tulia kama unampenda we omba email acha longolongo! eti nchi nyingine? unataka akuone kuwa upo updated ya! tulia watu wachonge nyie kama mna yenu mfanye kwa siri, hapa free grazing! ukichemka tunakurekebisha kwa mitusi, busara, kila kitu hapa..... sasa sijui wewe bob zuzu au bob ....

    ReplyDelete
  17. Waridi naomba tuwasiliane kupitia tumainijema000@yahoo.com

    ReplyDelete
  18. yaani dada waridi msg yako ipo bomba tuwe tunajuliana hali ki hivyo ila jiepushe na wanaume wakware wewe ujatangaza kutaka mwenza wako. Ila siku ukiwa tayari kwa kutafuta mwenza adhia kwangu kwa mail: rikonda@yahoo.com

    Katochi)

    ReplyDelete
  19. 'If you don't have a smile don't open the shop' and 'business without adverts is like winking a ... in the darkness.' Yote umezingatia dada Waridi. Sasa toa CV na vigezo vyako.
    Sev

    ReplyDelete
  20. waridi waridi kweli wewe kichwa unastahili kupata mchumba haraka maana umeanzia mbaaaali ila watu wazima tumeelewa staili yako sasa weka basi email yako dada

    toyota

    ReplyDelete
  21. danm.... u waridi uko bomba sina hakika kama ni salaam au unauza sura...

    ReplyDelete
  22. your good girl,kama mtu atakutukana haya jua tu ana stress za kubeba mabox huko aliko na ndio wakali kama nini,anyway fuata yaliyo mazuri ukiona mabaya achana nayo kwani kila mtoa mawazo humu ana akili yake wengine wachawi wengine vichaa kabisa so you choose the good comments.i like you keep it up,doct

    ReplyDelete
  23. Heheheheee aaha aa ! Wacha nicheke ninenepe na kuzidi kuongeza umri wangu mie mwana wa watu. Mdogo wangu Waridi midamu mwenyewe umeshawajua watu humu ndani ya hii nyumba wala usikonde wala nini, hapa hata kama UNGEKUJA UMEVAA JILBABI AU HIJABU AU BAIBUI AU UMEJIFUNIKA GUBI GUBI, wallahi hawa waswahili wangekupaka tu. Nakwambia mie ntajaribu siku moja nione! He hee heee heee, lol!

    ReplyDelete
  24. Mchaga mwingine huyo, tatizo lenu mnavifua vikubwa na vipana, miguu miyembambaaaa.

    ReplyDelete
  25. Mtoto tuliaaaa weweee,
    mimi nimekuchagua eee,
    ukitaka nitakuoa aa, usipotaka nitakuoa ee.

    Sawa nitakuoa ee, ila inapaswa uelewe ee,
    bila contacts zako,
    mimi siwezi kukupata ee,

    ReplyDelete
  26. Wewe Waridi ni mchokozi sana ! Sawa nimekuona. Sina zaidi.

    ReplyDelete
  27. WARIDI U MZIMA ???NINA MIHELA KIBAOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO,NICHEKI BASI KUPITIA
    lilllywily@hotmail.com

    ReplyDelete
  28. Waridi nakujua wewe mzuri sana ila ni mzee na shule hujasoma.

    ReplyDelete
  29. kaaaaazi kwelikweli,nakosa la kueleza ila umependeza.nahisi unatafuta mwenza kama kina manka walivofanya na ndo maana umeanza kuwapa big up kwanza wao.
    kama ni salam tu haya inshallah tumezipata watz wenzako,ila mi huwa naogopa kutoa picha humu kuna wakwale na wapondaji ila umejitutumua binti mwenzangu.
    ritha

    ReplyDelete
  30. Pole John, hilo neno hapo ni "ladha". Pia nakubaliana nawe, kuwa akili ni nywele kila mtu ana zake, naongezea kuwa, ustaarabu ni kitu cha bure, huwa pia tunajifunza kupitia kwa wengine bali utayari ndio unakuwa haupo kukubali kujifunza na kubadilika.(naongelea kwa wale wenye maneno magumu).

    Mbali na wewe anon wa Apr 9, 6:13 huu ni mfano mzuri wa kichekesho,au utundu ambao haukeri umenifanya nicheke sana, hasa pale uliposema "udenda umekutoka", nikakumbuka tamaa ya fisi siku aliporukia mfupa wa pilipili.

    Wardi, umenibariki sana.

    ReplyDelete
  31. Dada umependeza sana, nimefall in love ghafla
    niandi email katika chael20082000@yahoo.com, tuanze maisha ya kimapenzi
    niko majuu!!

    ReplyDelete
  32. kama huna mchumba, mume au boyfriend tuwasiliane kelvinken81@yahoo.com

    ReplyDelete
  33. you look cute and gourgeous.....

    ReplyDelete
  34. wewe mpenzi jini au binti kiziwi????nipe jibu hapapa kwa bro misupu ya bwawa la maini ya emirates

    ReplyDelete
  35. duuhhh dada uko poa ila waosha vinywa hawaha dogo pole kwa yote utakayo yapata ila uko safi,
    jamani jaribuni kucheki kitu hichi cha kibongo kinautamu wake

    http://fotobaraza.ning.com/

    ReplyDelete
  36. dada hongera ila mi sijaona kigeni ulichoongea ni mambo ya kila siku yanaongelewa so ulikuwa unapigia mstari au unajipya unashindwa kuongea? ngoja niwaambie kuwa watanzania ni watu wakarimu sana na niwawazi san sasa inafikia pale mtu analisema lililo moyoni mwake we unaona anaongea matusi jamani tusipende kutafakari na kukuza mambo.

    sweet
    Arusha

    ReplyDelete
  37. AACHANI BWANA!!!!!!!!!!!!!!! Mtoto kwasha moto. Mtoto mzuri bwana!!!!! mmmmmmmmmmmm we acha tu! Kama huna mchumba basi tuwasliane kwa simu hiii ...................

    ReplyDelete
  38. mmmmh!........... yaani waridi mwenzio umenifanya napumua fasta fasta .................

    born2bkul@yahoo.com

    ReplyDelete
  39. nashukuru kwa salaam dada etu waridi mungu akubariki kwa kutukumbuka sie wadau wenzio ila sasa mbona umeanza kwa kuwatetea kina jovi wewe atakutetea nani?
    umependeza sana watoto wa mjini kama sisi tuna uko bomba.
    haya fanya fanya basi angalau unisalimie binafsi kupitia hapa
    waukae27@yahoo.com

    ReplyDelete
  40. Mi hapa pressure.. uko bomba sanaaaaa! naomba tuwasiliana kama marafiki namba yangu ni 123 456789

    Mdau united states of Africa

    ReplyDelete
  41. hahah umependeza lakini ongeza CRIME kwangu bado

    ReplyDelete
  42. ujumbe mzuri kwa wapenda majungu, kusakama watoto wa watu, wivu kwa watoto wa watu, kama mtu amepata wewe kinakuuma nini, watanzania acheni chuki, wivu, kusemana, na majungu, ndio maana hamuendelei watu hawaishi kuchambuana chambuana na majungu. ni amani na upendo.

    ReplyDelete
  43. michuzi mbona hujaweka picha full, kuonyesha na jinsi aliyovaa, hongera michuzi.

    ReplyDelete
  44. Jamani si bora kuandika tu tuwe tunaangalia na tunachokiandika.

    Wewe anon wa 11 April 1.12AM unamwambia CRIME bado una mtaka huyu dada awe Jambazi ama akabebe unga?

    Kifimbocheza

    ReplyDelete
  45. Wabongo acheni ujinga nyinyi mbona mnakuwa hivyo mmeona dili siku kutoa toa email kwanza yeye kawaambia anataka mchumba au?acheni mambo ya kishamba nyinyi alafu ukiangalia hapo hao watu wanafungua email kwa ajili hiyo acheni mambo yenu nyinyi siku hizi toka huu mwezi uanze naona watu mmeanza kutoa toa email njoeni huku tubebe mabox sio mnakalia kutafuta wachumba online kuna mazeru zeru kibao au wazungu kibao huku sio mnakaa kama hamna la kufanya.

    ReplyDelete
  46. Huyu ni wa kufungia ndani kabisaa, hata dukani sitomruhusu aende peke yake. Wapi contact Waridi.........

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...