mkufunzi katika shirikisho la soka nchini mwl. salum madadi (shoto) akibadilishana mawazo na bosi wa masoko wa tanzania breweries limited mh. david minja (kati) na meneja wa brandi ya safari lager anko fimbo butallah baada ya kuzindua udhamini wa tbl kwa michuano ya kombe la taifa linaloanza mei 5 mwaka huu
ratiba ya safari lager taifa cup

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kwanza naomba tusiharibu lugha safi ya Kiswahili. Droo maana yake nini? Kisha kuna jamaa mmoja hapa anafikiri mheshiwa lazima awe mbunge. Eti anauliza kwani Minja mbunge wa wapi? Kuna mtu anajua njia ya kuelekea feri nimuelekeze? Lakini kitu kimoja kanikumbusha yule mbunge mmoja miaka ya tisini ambaye alikuwa hajui tofauti baina ya World Cup na World Bank.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...