wadau kunradhi. hivi senene kwa kiinglishi anaitwaje?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 28 mpaka sasa

  1. grasshopper

    ReplyDelete
  2. Ni GRASSHOPPERS tu! , wana jamii ya wala majani. Ni jamii ileile ya panzi. Lakini naona senene kwako ina maana ya zaidi ya wale wadudu...hiyo ya kwako mhhh...

    ReplyDelete
  3. Hiyo mbona simpo..
    kwa kizungu ni se-fat.

    ReplyDelete
  4. SENENEZZZZZ

    ReplyDelete
  5. green fish

    ReplyDelete
  6. nadhani it is very likely senene kuwa na jina la kilatini, au scientific name. Sidhani kuna common English name of such species.
    Dr. Rugakingira,
    ETH Zurich

    ReplyDelete
  7. Nadhani ni EKISENENE(umoja) kwa Wingi ni EVIPANZI.
    GRASSHOPPER-HAWA sio senene tunaowaongelea hapa.Hao ni wale ambao HAWALIWI kama vile GUGWE na uwezo wao wa kupaa ni mdogo sana.

    ReplyDelete
  8. senene kwa english wanaitwa zinge

    ReplyDelete
  9. KUMBIKUMBI,KWA WALA VUMBI MPOOOOOOOOOOO

    ReplyDelete
  10. wajameni hata mkisemwa hamkomi..mwenzetu anauliza watu wanajibu pumba!Usitaarabu jameni.

    Senene kwa kimombo ni "green grasshopper"
    Soma ripoti ya FAO:
    http://www.fao.org/DOCREP/003/X6700E/X6700E01.htm

    Ukitaka kujua zaidi kongoli my voda vasta @ 0768484854

    ReplyDelete
  11. Balalezzz........ha aha ah ah aha.!

    ReplyDelete
  12. Wanaitwa "kumbikumbi"!

    OOPS!

    "green grasshoppers"!

    My name is Masyenene!

    ReplyDelete
  13. THIS IS WHAT I'M TALKING ABOUT INGIA KWA MICHUZI UKUTE WATU WANACHEKESHANA, SIO WANAPASHANA UTAFIKIRI TUKO KWENYE RUSHA ROHO.

    ReplyDelete
  14. Senene ni familia ya Grasshoppers....na hao unaowazungumzia labda ni locust

    Kwa vile majuu hawapo kwa hiyo jina lao wazungu hawakupoteza muda kuclassfied

    ReplyDelete
  15. Senene kwa kiinglishi anaitwa Kikwete yaani rukaruka!!!

    ReplyDelete
  16. NI PANZI TU

    ReplyDelete
  17. senene kwa kiingilish wanaitwa mugabe

    ReplyDelete
  18. kaaaaazi kwel kwel, yaani mdau mmoja tu kapatia, lakini siyo lugha yetu hivyo kama wewe sio mtu wa kilimo au mali asili au tour guide ni ngumu kufahamu.
    Kuna wanyama wengi wanafahamika kwa ki-english lakini hatuwajui kwa kiswahili mbaya zaidi wanapatikana bong tu

    ReplyDelete
  19. Ni kweli kabisa voda fasta kule kwenye link wameandika hivyo.Kwa vile ni jamii ya panzi na pia ni kijani itakuwa ni hivyo naamini.

    "There are many varieties of insects that are eaten or that are used to produce food items in Tanzania. The common known ones include bees, flying higher termite species (Macro termes) (Kumbikumbi swah. Nywa, fihwa) and green grasshoppers (senene). The termites and green grasshoppers are of great importance in Miombo woodlands. They are traded in local markets after being fried and salted only.)"

    ReplyDelete
  20. Sina cha kuadd bali kucheka hadi basi LOL kuna watu shule za msingi walipaa vitenesi lol

    ReplyDelete
  21. NADHANI LEO MUMENIKUMBUSHA KITU HAPA. NASIKIA SENENE, KUMBI KUMBI, NA MENDE NI JAMII MOJA.
    NAWASHANGAA KINASHOMIRE KWANINI MUNAMBAGUA MENDE-MLAMBENI TU.
    UKITAKA PROVE JUST MKAMUE MENDE, SENENE, OR KUMBI, WOTE WATAKUPA SAME MATERIAL..

    NDIO MAANA NAMIMI NAKULA SAMAKI MCHANGA MWENYE THUMPU.

    G7

    ReplyDelete
  22. JAMANI, Ndg zangu mmenichekesha sana, kwa kweli jamani, Thank you guys so much for making laugh like crazy.Thanks YO.

    ReplyDelete
  23. Wewe unayeleta link sijui ya voda fasta ....hivi hujui nao ni watu kama wewe? Internet hii ya leo sio vitabu vya zamani ndugu yangu ambavyo watu wana edit na kuedit kabla hawajapublish...Kuna makosa mengi tu sana katika net ....

    Sio kila unachokisoma kwenye internet ni kweli. Naona watu wengi humu wanaweka references kutoka wikipedia kila siku pia nashangaa na macho yangu.

    ReplyDelete
  24. Michu Boy Thank you, tumecheka tumefurahi na tumeongeza umri kwa kwenda mbele! Lete nyingine tafadhali. Naona wewe na rafiki yako mwanamahesabu mmeamua kulivalia njuga suala la kusafisha hali ya hewa humu ndani.
    "BIG THUMB UP!"
    Please usituletee tena wauza sura!.

    ReplyDelete
  25. kuna TUKI ya kiswahili-kkingereza vitu vidogo vidogo kama hivi huwa inasou fasta.

    TUKI (Taasisi ya UkuzajiKiswahili)
    Ila nazungumzia kamusi yao yauzwa buku nane unusu tu!
    Nenda pale TUMAINI ya YUDII Duka la vitabu

    ReplyDelete
  26. KUTOKANA NA KAMUSI YA MTANDANONI:

    http://africanlanguages.com/swahili/index.php?l=en

    "SENENE" kwa KIINGEREZA
    1) KAMA MDUDU anaitwa "GRASS HOPPER" (GREEN)
    2) Kuelezea hali ya ugonjwa: (LONG TIME ILLNESS)


    KWAHERI!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...