Home
Unlabelled
sh'kamoo mzee
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Brother Michuzi,
ReplyDeleteHapo ktk picha sio kwamba Rostam Aziz alikuwa akiangalia ndiye aliyemtambulisha mshikaji wake waziri wa madini Gereja...
Ngoma ya madini bado bila bila... Zitto uko wapi?
Jamaa wa Richmond anajikomba kwa mzee Pinda asichukuliwe hatua, haya baba Pinda yetu macho!!
ReplyDeletetunasubir mambo bungeni,rostam aziz ndo huyo karudi,mchakato wa richmond,epa n.k tuna hamu nao kweli
ReplyDeleteNaona watu wanablog mnashanga hiyo picha.
ReplyDeleteNaomba kuuliza kwani Kuuliza si ujinga.
Kwani Huyu waziri wa Madini aliteuliwa na kutangazwa na nani kuwa waziri wa madini? Mtu aliyemteua ndiye huyo huyo aliyemtangaza?
Hivi inawezekana labda Tanzania mtu akateuliwa na mwingine halafu mtu mwingine akatumwa kutangaza jina la aliyeteuliwa na mteuaji?
Kinyesi kimetapakaa nyumba nzima hata pa kuweka mguu wangu sipaoni!Bora ukalale bafuni kuliko chumbani.......haya utaniambiaje?..
ReplyDeleteMuuliza swali fafanua swali lako hapo juu.
ReplyDeleteJe ulikuwa una maana Kuwa labda Mizengo Pinda au Rostam Azizi anaweza mteua mtu kuwa Waziri wa madini halafu akampelekea Raisi Kikwete amtangaze kuwa waziri wa madini au unachosema ni kuwa Raisi Kikwete anamteua mtu Kuwa waziri wa Madini halafu anamwambia Rostam Aziz au Mizengo Pinda amtangaze kuwa waziri wa madini?
Fafanua ili ujibiwe vizuri uelewe uache kuuliza maswali yanayozua maswali.
Mizengo Pinda ninavyomjua hapo hao wawili hakuna asiyemjua. Anamjua vizuri Rostam na anamjua vizuri Ngereja na anawajua wote wawili kwa pamoja kama seti moja.
ReplyDeleteLakini hata kama hawajui hao wawili yaani Rostam na Ngereja akitaka kuwajua anaweza kuwajua labda awe hataki kuwajua au awe anajifanya hawajui.
Lakini lazima anawajua si unaona anasalimiana nao kwa makini sana akiwatazama vizuri kwa makini sana usoni hasa Ngereja.Umakini huo unaweza kuwa kuna kitu kakigundua usoni kwa Ngereja.
Anon wa 9:28 una maanisha Pinda amegundua usoni kwa Ngeleja kwamba ni mkata kilauri sana au? Sijakuelewa!
ReplyDelete