waziri mkuu mh. mizengo pinda akisalimiana na waziri wa nishati na madini mh. william geleja huku mbunge wa igunga mh. rostam aziz akiangalia leo huko bungeni dodoma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Brother Michuzi,
    Hapo ktk picha sio kwamba Rostam Aziz alikuwa akiangalia ndiye aliyemtambulisha mshikaji wake waziri wa madini Gereja...

    Ngoma ya madini bado bila bila... Zitto uko wapi?

    ReplyDelete
  2. Jamaa wa Richmond anajikomba kwa mzee Pinda asichukuliwe hatua, haya baba Pinda yetu macho!!

    ReplyDelete
  3. tunasubir mambo bungeni,rostam aziz ndo huyo karudi,mchakato wa richmond,epa n.k tuna hamu nao kweli

    ReplyDelete
  4. Naona watu wanablog mnashanga hiyo picha.

    Naomba kuuliza kwani Kuuliza si ujinga.

    Kwani Huyu waziri wa Madini aliteuliwa na kutangazwa na nani kuwa waziri wa madini? Mtu aliyemteua ndiye huyo huyo aliyemtangaza?

    Hivi inawezekana labda Tanzania mtu akateuliwa na mwingine halafu mtu mwingine akatumwa kutangaza jina la aliyeteuliwa na mteuaji?

    ReplyDelete
  5. Kinyesi kimetapakaa nyumba nzima hata pa kuweka mguu wangu sipaoni!Bora ukalale bafuni kuliko chumbani.......haya utaniambiaje?..

    ReplyDelete
  6. Muuliza swali fafanua swali lako hapo juu.

    Je ulikuwa una maana Kuwa labda Mizengo Pinda au Rostam Azizi anaweza mteua mtu kuwa Waziri wa madini halafu akampelekea Raisi Kikwete amtangaze kuwa waziri wa madini au unachosema ni kuwa Raisi Kikwete anamteua mtu Kuwa waziri wa Madini halafu anamwambia Rostam Aziz au Mizengo Pinda amtangaze kuwa waziri wa madini?

    Fafanua ili ujibiwe vizuri uelewe uache kuuliza maswali yanayozua maswali.

    ReplyDelete
  7. Mizengo Pinda ninavyomjua hapo hao wawili hakuna asiyemjua. Anamjua vizuri Rostam na anamjua vizuri Ngereja na anawajua wote wawili kwa pamoja kama seti moja.

    Lakini hata kama hawajui hao wawili yaani Rostam na Ngereja akitaka kuwajua anaweza kuwajua labda awe hataki kuwajua au awe anajifanya hawajui.

    Lakini lazima anawajua si unaona anasalimiana nao kwa makini sana akiwatazama vizuri kwa makini sana usoni hasa Ngereja.Umakini huo unaweza kuwa kuna kitu kakigundua usoni kwa Ngereja.

    ReplyDelete
  8. Anon wa 9:28 una maanisha Pinda amegundua usoni kwa Ngeleja kwamba ni mkata kilauri sana au? Sijakuelewa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...