Home
Unlabelled
UCC yaatoa zawadi kwa sekondari iringa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sekondari ya Iringa ipi specific?Maana zipo nyingi Iringa!All the same wish to congratulate wholeheartedly WHOEVER IS THE WINNER for restoring fame and dignity to Iringa for the outstanding achievement.Iringa ilikuwa moto katika academics mze,sijui siku hizi vipi,ulanzi umezidi nini mashuleni?
ReplyDeleteEbwanaeee! Furaha siku hizi ni afisa??? sio mchezo, babu hilo ni bonge la make-over, kweli people change. I remember those dayz at SRSS. Congratulations!
ReplyDeleteKweli Dunia Hadaa ulimwengu shujaa
ReplyDeleteMh. Tamila, duh big up man, naona mambo si mabaya kwani ki-frigde hakiongopi, it has been long time really.
ReplyDeleteGervas.
Doh Daniel kumbe ni meneja! Hiyo baada ya kumaliza MBA au? Hongera chapa kazi.
ReplyDeleteMdau,
USA.
zawadi ni computer moja tu? shule ina wanafunzi wangapi?
ReplyDeletekama ni moja tu bora ingetolewa zawadi ambayo ingeinufaisha shule nzima vitabu etc
Tamila hongera, tafadhali tuwasiliane kaka. Ila hako ka fridge jitahidi kukadhibiti maana kakizidi ni tatizo kaka. All in all Hongera sana. www.kipimautu.wetpaint.com
ReplyDeleteYes Tamira,
ReplyDeleteI salute u, bro! Keep it real... lakini huto tuzawadi tuko unga hakika tunahitaji improvement, kama kweli tumeamua kuboresha elimu kwa kiwango kinachotakiwa. We should be serious, aisey. Ingekuwa ni mtu binafsi, poa. Lakini si mwakilishi wa kampuni anakuja na ka-computer kamoja, tena tunaonyeshwa ka-screen tu, huenda CPU yenyewe ina mgogoro.
Wakati ambapo serikali imeazimia kukuza uingizaji wa wanafunzi sekondari kwa kujenga sekondari nyingi. Wadau wengine inabidi ku-complement kwa kutoa vitu vya maana na kwa idadi/uwiano unaokubalika. Hiyo ndo maana halisi ya PPP!
Mwanasheria wa kampuni ni mtu mkubwa na nyeti sana (No wonder, kakitambi kanakunyemelea). Hizi mbwembwe za kukunyanyua kuja kupokea ka-computer na tumipira tutatu (tena tumipira twenyewe ni tule twa bei nafuu, na yawezekana ikawa ahadi hewa, maanake hata kwenye picha hatujaonyeshwa). Kengele ya tahadhari inaendelea kugonga!
Tukaze buti jamani...
Mlinzikimenyi, Korea Kusini!