Home
Unlabelled
wazee wakijipendelea
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mzee huyo ana hate nini mbona anaangalia kwa hivyo... Nafikiri anataka yeye awe Julius Imports..
ReplyDeleteWatanzania lazima wawe supportive.
KONYAGI ni only Tanzanian product in usa market!!! Did you know!!
Duh,kweli nimeamini ule usemi wa kizungu usemao "Like Father,Like Son".
ReplyDeleteInaelekea hawa kina Temu ni watumiaji wazuri sana wa konyagi ambayo ni zao la kampuni ya nyumbani.
Nawapongeza sana kwa juhudi zenu za kuitangaza Konyaji kimataifa.Kungekuwa na watu 100,000 kama hawa basi Kenya isingeona ndani na hata wasingethubutu kutumia vivutio vyetu kujiinulia jina la nchi yao.
Tuungane ili tuliinue jina la Tanzania kimataifa.
Big Up kwa sana Temus' family
MTAJIANDIKA SANA MWAKA HUU. MALECELA KATOA HOJA BUNGENI KUTAKA GONGO IHALALISHWE NA IPIKWE KITAALAMU KAMA KONYAGI. BIASHARA ITAKUFA KAMA BIASHARA YA UBUYU
ReplyDeleteNaona wabongo amawivu sana.. tatizo nafikiri wengi wanaangalia vitu vinaendela na wanachanganyikiwa. Kila kitu tunasubiri tufanyiwe.. jamani lini tutasaidiana ???? Ndio maana wahindi, waharabu wenye maduka na wabongo wanafanya kazi. Sasa nafikiri tuwe proud na julius imports. Konyagi wameipeleka marekani . Tanzania implipe sana. KONYAGI INAWEZA KUWA MAIN EXPORT TO USA FOR TANZANIA.. SASA KONYAGI IS THE ONLY PRODUCT kutoka hapa tz kwende huko juu
ReplyDeletemichuzi nilikumind sana kwenye hii harusi, nilikuambia meza fuluni ni wadau wako uturushe kwenye blogu yako ila ukabana. halafu unapromote kiunguza maini na kuharibu afya za watu, nimekustahi tu.
ReplyDelete