50 cent akifanya vitu vyake diamond jubilee usiku huu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 05, 2008

    Michuzi nakuaminia kwa habari tu mmmh sikuwezi. Asanti sana

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 05, 2008

    KWELI WABONGO WANA PESA NDO MAANA VISENTI ALIVYOKOMBA ANDY CHENGE [MTOTO WA MJINI] HAWAVISHIKII BANGO WANATAKA NINI TENA WAKATI NAO WANA VIJISENT KAMA VYAKE VYA KWENDA KUMUONA CENT HAMSINI NA KULA SHANGWE NA KUKU KWA MRIJA KAMA MAMTONI,POA WAZEE SHANGWE NJEMA KARIBU LONDON 50 TUNAKUSUBIRI KWA HAMU ,ILA HIYO NCHI ULIIYOENDA HUJAAMBIWA TU NDIO INAONGOZA KWA MAFISADI,MACHANGUDOA NA WANASIASA FEKI KATIKA DUNIA HII,BORA UJE NASI 2PUNGUZE STRESS ZA MABOX NA KUVUTA VITI KWENYE HOTELI ZA MZUNGU.WADAU SIKU NJEMA

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 05, 2008

    Kwa mnao kiri kwamba mnabeba box na kuvuta viti kwenye hotel za wazungu. Poleni.
    Siku zote ukishaondoka bongo kwa muda mrefu inakuwa vigumu sana kurudi, kwani ukirudi utaona aibu jinsi vijana wa rika lako walivyokupiga bao!!. Na mbaya zaidi inakuwa vigumu sana kuamini kwamba AFTER ALL HAS BEEN SAID AND DONE bado wengi wanafurahia maisha kama hivo onavyoona.
    Vijana wanaotafuta maisha yao mtoni na kuwekeza bongo na wale ambao ni wasomi na wana kazi zao nzuri tu wengi wao ndio wanaoenjoy. Ila ukibeba box halafu ukamalizia vihela vyako kwenye pombe na klabu basi utaendelea tu kuona machangudoa na hao unaowaita wanasiasa feki.
    Nakuheshimu sana mdau unayedai upo London wa 2:25AM, ILA naomba nikwambie KOMA! Tanzania haiongozi kwa MACHANGUDOA KTK DUNIA HII.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 05, 2008

    WABONGO AMINIA YAANI KWA KULA SHANGWE NI FULL KUJIACHIA NA MATATIZO YETU HUWA TUNAYASAHAU IKIFIKIA MUDA KAMAHUU WA KUJIACHIA ,SAWA KABISA KAZI NA DAWAHAPO HAKUNA MAFISADI WALA WE DC WA NANIHII NGOMA DROOOOO TU

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 05, 2008

    wabongo wana hela bwana,ona mashoo yalivyofuliliza lakini nyomi kama kawa kwenye shoo,bongo tambarare asikudanganye mtu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 05, 2008

    wale wabeba wabox wa ulaya na marekani rudini bongo msione aibu,mlifikiri mmepiga bao,kumbe mmepigwa bao, kila kitu kipo bongo, bongo full shangwe.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 05, 2008

    Nafurahi kuona anon wa May 05, 2008 2:25 AM anakiri ubebaji wake wa ma box....ila namshangaa anavyojitangaza ujinga kuwa bongo inaongoza kwa machangudoa, au umeshakuwa mzungu siku hizi nywele zinapepea na upepo? aubu ya Tanzania ni aibu yako pia, rasilimali za Tanzania ni zako pia na ndio maana umeondokea kwa passport ya Tanzania na si vinginevyo, sasa kisa cha wewe kuropoka hayo ya machangudoa yametoka wapi? umefanya wapi hiyo research yako mpaka useme Tanzania inaongoza kwa hayo uliyoyataja? Lol, unajivua nguo mwenyewe! tel u what? i have been there, dd my studies then i come back to my beloved country..i dont regret maana maisha matamu yapo hapa bongo with dignit. show ngap kama hizi zinakuja bongo ukilinganisha na zinazokuja london! wacha watu wa enjoy bwana, wezi wapo hata huko,machangudoa pia.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 05, 2008

    nawashukuru sana wale wote waliyomweleza ukweli huyo anon wa may 05, 2008 2:25 ALIYECHANGANYIKIWA TAYARI KWA AJILI YA BOX COME BACK RELAX AND ENJOY GOOD LIFE HERE maana naona haya maneno unayotoa kwenye mdomo wako you're about to be crazy really COME BACK utambikiwe na wazazi wako

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 05, 2008

    Braza Mithupu senki yu fo wati yua duing'i tu wabongo......kipu iti apu!! Bati aiamu sapraizid withi zisi bifu bitwini ze wabongo origino endi wabongo wamamtoni.......lol whai alu zisi? Kweli wabongo ndio maana tunadharaurika sana kutokana na tabia zetu za chuki na ufitina usiokuwa na mpango.....wewe kama uko bongo ama mamtoni hayo ni maisha yako na isiwe kigezo cha kuwadharau wenzio......huu ni mtazamo wangu na mwawazo yangu.
    Centi Hamsini senki yu kutupa burudani watanzania.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 06, 2008

    you know what sasa hivi watu ni raha raha tu na wengi wanakubali kuja bongo. Inatakiwa sasa wajenge ukumbi mkubwa wa kimataifa nje ya mji kidogo. Hiyo itaengeza ajira na pia around kuwe na restaurants, ice cream parlors, etc etc etc. Kuwe kuna shuttles za kwenda huko, nice car parkings..hiyo itakua poa kweli...kukiwa na maonyesho kama hayo watu wanaenda huko na kuspend more money kwa kula, shopping etc...ndio biashara hiyo...
    Hapo jubelee mtu sanasana ataspend tu ticket ya kuingilia..hamna cha kupata mlo wala nini sehemu yeyote...Labda wanaofaidi ni wauza maji na soda tu.....not much

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 06, 2008

    mnaitaji kweli roho mtakatifu awtakase,,bongo na ugaibuni yote moja raha ni kuuona ufalme wa mungu,,acheni majungu

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 06, 2008

    ukumbi wa concert hatuna . tunang'ang,ania hiyo klabu ya wahindi ..mimi nilishawahi kwenda humo hatu muziki siusikii jinsi ukumbi unavyovuma

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 11, 2008

    hahahahaha yaani watu wengine bado washamba!yaani huyo cent hamsini ndo mnaona maendeleo hayo?hafu ukumbi gani huo?hebu jengeni ukumbi mzuri..huo ukumbi hata upeke perfume vipi,ukitoka ni kikwapa guarantee!!haya wenye madomo machafu karibuni mje kupiga miswaki hapa.!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...