Home
Unlabelled
50 cents atua dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
SASA LAZIMA MUMPELEKE AKAONE BIBI YAKE NA BABU YAKE WALIKOTOKEA SHINYANGA
ReplyDeletejamani nisaidieni mie sielewi, hivi lazima bodyguard avae nguo nyeusi na miwani?au sio yeye hapo juu? na kama ndio kazi yake nini kujikinga na jua au kuwaona watakaomdhuru bossi......................
ReplyDeletekweli wabongo tunahela na ufisadi wote huu watu watajaa diamind leo we ngoja utaona.
hey 50 cent karibu sana bongo nakufagilia kwa sana jinsi unavyoflow mimi huwa hoi mtoto wa kike
ReplyDeleteInabidi bongo musician mjifunze kutoka kwa hawa wanamuziki wa U.S. Akina 50 cent wakija hapo anakuwa makini na wanatoa show 100%. Yaani wakiwa kwenye makamuzi ni kwamba wako kazini.
ReplyDelete50 Cent ali invest kwenye Vitamin Water na Coca-cola waliponunua yeye mgao wake ulikuwa ni $ 250 million. Lakini bado anaendeleza makamuzi bila matatizo.
Sasa wanamuziki wetu wa Bongo akina Mr. Nice na Ray C wakienda kwenye makamuzi wanaringa utafikiri sio wanamuziki.
Hivi huyo ni ndugu yake na........wa Shinyanga mwenye magazeti ya udaku mbona wamefanana?
ReplyDeleteMabodigani wabongo washamba tu, jamaa nasikia walikuwa wanasukuma watu hata senti 50 asisalimie watu. Ninoma kuna watu walikuwa wanataka wasainiwe vitabu vyao wakashindwa. Huo sio ulinzi washkaji Bush mwenye alitembea alone.
ReplyDeletebadilikeni acheni ushamba.
Hongera Kusaga and Tigo!! Bongo taratibu we are getting on the map!!!
ReplyDeleteUzuri wa 50 cent ukimshusha manzese pale hamna tofauti yoyote na anaweza kuuza mitumba bila wasi wasi.
ReplyDeleteMdau wa juu unayelalamika miwani meusi kuvaliwa na huyo bodyguard inasadia kwenye kufanya eye contact sio rahisi kujua anamuangalia nani ambayo inasaidia kwenye ulinzi.
Hao unaweza kuwaita ni mabouncer wa kibongo tu wala hawana mafunzo yoyote ya kuwa maboard guard wanachoringia wao ni miili mikubwa kunyanyua vyuma kwa sana ujanja wa kupigana hawana .mdau Paka la jikoni- UK
ReplyDeleteKumradhi wadau i mean sorry nilichemsha hapo juu ni mabody guard na sio maboard guard unajua siku moja moja imo kuchapia . mdau paka la jikoni
ReplyDeleteFifty bonge la mtoto wa kihuni, lakini naona picha nyingi katokea kapoa sana, naona anaheshimu "Motherland". Actually hata facial expression yake iko very decent. Ah, 50 nakuzimia ile mbaya wangu, njoo basi na Washington DC ufanye shoo ya watanzania tu bwana. Jamaniee, hapa DC hakuna mapromota mbuzi wa kibongo kushughulikia hili suala??
ReplyDelete