hatimaye 50 cents ametua dar na wanamuziki wake wa kundi la Gunit na kupokewa na umati wa mashabiki uwanja wa ndege wa julius nyerere terminal I akiwa ndani ya ndege ya kukodi akitokea sauzi, tayari kwa makamuzi ukumbi wa diamond jubilee hall

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 04, 2008

    SASA LAZIMA MUMPELEKE AKAONE BIBI YAKE NA BABU YAKE WALIKOTOKEA SHINYANGA

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 04, 2008

    jamani nisaidieni mie sielewi, hivi lazima bodyguard avae nguo nyeusi na miwani?au sio yeye hapo juu? na kama ndio kazi yake nini kujikinga na jua au kuwaona watakaomdhuru bossi......................
    kweli wabongo tunahela na ufisadi wote huu watu watajaa diamind leo we ngoja utaona.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 04, 2008

    hey 50 cent karibu sana bongo nakufagilia kwa sana jinsi unavyoflow mimi huwa hoi mtoto wa kike

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 04, 2008

    Inabidi bongo musician mjifunze kutoka kwa hawa wanamuziki wa U.S. Akina 50 cent wakija hapo anakuwa makini na wanatoa show 100%. Yaani wakiwa kwenye makamuzi ni kwamba wako kazini.

    50 Cent ali invest kwenye Vitamin Water na Coca-cola waliponunua yeye mgao wake ulikuwa ni $ 250 million. Lakini bado anaendeleza makamuzi bila matatizo.

    Sasa wanamuziki wetu wa Bongo akina Mr. Nice na Ray C wakienda kwenye makamuzi wanaringa utafikiri sio wanamuziki.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 04, 2008

    Hivi huyo ni ndugu yake na........wa Shinyanga mwenye magazeti ya udaku mbona wamefanana?

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 04, 2008

    Mabodigani wabongo washamba tu, jamaa nasikia walikuwa wanasukuma watu hata senti 50 asisalimie watu. Ninoma kuna watu walikuwa wanataka wasainiwe vitabu vyao wakashindwa. Huo sio ulinzi washkaji Bush mwenye alitembea alone.
    badilikeni acheni ushamba.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 04, 2008

    Hongera Kusaga and Tigo!! Bongo taratibu we are getting on the map!!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 04, 2008

    Uzuri wa 50 cent ukimshusha manzese pale hamna tofauti yoyote na anaweza kuuza mitumba bila wasi wasi.
    Mdau wa juu unayelalamika miwani meusi kuvaliwa na huyo bodyguard inasadia kwenye kufanya eye contact sio rahisi kujua anamuangalia nani ambayo inasaidia kwenye ulinzi.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 04, 2008

    Hao unaweza kuwaita ni mabouncer wa kibongo tu wala hawana mafunzo yoyote ya kuwa maboard guard wanachoringia wao ni miili mikubwa kunyanyua vyuma kwa sana ujanja wa kupigana hawana .mdau Paka la jikoni- UK

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 05, 2008

    Kumradhi wadau i mean sorry nilichemsha hapo juu ni mabody guard na sio maboard guard unajua siku moja moja imo kuchapia . mdau paka la jikoni

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 05, 2008

    Fifty bonge la mtoto wa kihuni, lakini naona picha nyingi katokea kapoa sana, naona anaheshimu "Motherland". Actually hata facial expression yake iko very decent. Ah, 50 nakuzimia ile mbaya wangu, njoo basi na Washington DC ufanye shoo ya watanzania tu bwana. Jamaniee, hapa DC hakuna mapromota mbuzi wa kibongo kushughulikia hili suala??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...