Home
Unlabelled
balozi anapotembelea ofisini kwako
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MH."DC"WA TEGETA NAULIZA HIYO NI FULANAZZ MPYA? AMBAYO NDIO ITACHUKUA LIBENEKE YA ILE INGINE TULIYO IZOEA.
ReplyDeleteHa ha ha Michu! Naona konozzz zipo busy kama kawaida yako. Sasa hapo mlikuwa mnawasiliana kwa lugha gani na wewe english iz not richabo? Kazi nzuri. Keep it up!
ReplyDeleteusinitie kapuni please!
kale kafulana ka awali si mchezo, hatimae kamezaa kengine... kwi kwi kwi....
ReplyDeleteBro Je inawezekana blogu ya jamii ikaanzisha YouTube ambayo itakuwa inatupa clips toka TV ya Taifa. Angalia hii toka kwa watani wetu http://www.youtube.com/user/NTVKenya kweli inapendeza kwani angalau watu waliopo nje ya inzi wanapata news summary toka TBC!
ReplyDeleteAcha woga dogo! ofisi yako eti umepata bahati ya kutembelewa na huyo balozi, au yeye ndo kapata bahati ya kukutembelea? Siku nyingine wageni wagomvi na wakabila kama huyo piga chini.
ReplyDeleteMichu..mimi ni mbongo niko USA. Naona wewe sasa ni celebrity naomba tuweke ka t shirt kako ebay to raise money for a good cause..I will do it so myself. are you down with it..if so post then I will email you for more details..
ReplyDeleteHii!!!FULANAZIII!!!!!Mpya ya mkuu wa Tageta!!!mkuu wa tagetea na fulanazii!!!mpya siku chache baada ya kuhapishwa kuwa mkuu wa Tageta!
ReplyDeletePichani!balozi wa kenya pia aliudhuria katika sherehe za kuhapishwa kwa mkuu huyo wa Tageta