jana nilibahatika kutembelewa ofisini kwangu na balozi wa kenya nchini mh. boaz mbaya, wakati alipofanya ziara ya kutembelea kampuni ya tanzania standard newspapers ltd, wachapishaji wa daily news, sunday news na habarileo. hapo namueleza jinsi mtandao www.dailynews-tsn.com unavyokula mzigo pamoja na libeneke zima ta teknohama la kampuni hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 17, 2008

    MH."DC"WA TEGETA NAULIZA HIYO NI FULANAZZ MPYA? AMBAYO NDIO ITACHUKUA LIBENEKE YA ILE INGINE TULIYO IZOEA.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 17, 2008

    Ha ha ha Michu! Naona konozzz zipo busy kama kawaida yako. Sasa hapo mlikuwa mnawasiliana kwa lugha gani na wewe english iz not richabo? Kazi nzuri. Keep it up!

    usinitie kapuni please!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 17, 2008

    kale kafulana ka awali si mchezo, hatimae kamezaa kengine... kwi kwi kwi....

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 17, 2008

    Bro Je inawezekana blogu ya jamii ikaanzisha YouTube ambayo itakuwa inatupa clips toka TV ya Taifa. Angalia hii toka kwa watani wetu http://www.youtube.com/user/NTVKenya kweli inapendeza kwani angalau watu waliopo nje ya inzi wanapata news summary toka TBC!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 18, 2008

    Acha woga dogo! ofisi yako eti umepata bahati ya kutembelewa na huyo balozi, au yeye ndo kapata bahati ya kukutembelea? Siku nyingine wageni wagomvi na wakabila kama huyo piga chini.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 19, 2008

    Michu..mimi ni mbongo niko USA. Naona wewe sasa ni celebrity naomba tuweke ka t shirt kako ebay to raise money for a good cause..I will do it so myself. are you down with it..if so post then I will email you for more details..

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 19, 2008

    Hii!!!FULANAZIII!!!!!Mpya ya mkuu wa Tageta!!!mkuu wa tagetea na fulanazii!!!mpya siku chache baada ya kuhapishwa kuwa mkuu wa Tageta!
    Pichani!balozi wa kenya pia aliudhuria katika sherehe za kuhapishwa kwa mkuu huyo wa Tageta

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...