Home
Unlabelled
chebo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michu sio kweli bwana hao wanyama nao wanastaili zao za kuonyeshana namna gani wanapendana....mapenzi yapo kwa kila kiumbe..
ReplyDeletemdau URUSI
Kula CHABO, sio CHEBO,,, vp kaka sio kimakonde hicho, ni kiswahili cha mitaani
ReplyDeleteWE ISSA NINI HAO PUNDA MILIA WAKO KWENYE MASUALA YA "..CHENJI POZISHENI.."
ReplyDeleteJamani mbona mnamawazo ya namna hiyo!!
ReplyDeleteKitu kidogo tu mapenzi! Hamwuoni hawa punda bado ni wadogo kabisa hata hawajui vitu hivyo.
Tembeleeni mbuga za wanyama jamani muwaone!
Sio uchukue mawazo ya mbwa uyapeleke kwa the zebra
yap hao jamaa wanaonyesha manzi na pia wanakula chabo.
ReplyDeleteMichu mtandao umitulia big up
hao watakuwa couple,Mungu na aendelee kuitwa Mungu.
ReplyDeleteNi kweli michuzi,na mimi niliwahi kuwaona kati ya Naabi na Seronera.Mishale ya jua kali kwenye saa 6-9 mchana.Wanapendeza sana wanakuwa wawili wawili(Duniani wawili wawili).Bahati mbaya nilikuwa na YASHIKA ya mwaka 47 unapiga na kusogeza film,nikashindwa ku-'download' picha.Hard copy ninazo,nikutumie michuzi.Jibu sitanii.
ReplyDeleteSio chebo ni CHABO bwana Michuzi.
ReplyDeleteMdau mtaani
yes yes leta mambo halafu nifahamisheni kupitia: dandiinal@googlemail.com
ReplyDeleteasanteni my love!
anon 11:30 unaongea nini??my love ndio nani sas?
ReplyDelete