hapa ni marangu, kilema, alipozaliwa rais wa tff leodegar chilla tenga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 31 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 29, 2008

    Wewee mtu mbona mbeya hivyo!!
    Si ulete picha ya nyumbani kwako!!
    Au kwa vile umepanga unaogopa mwenye nyumba atakutimua

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 29, 2008

    hongera mzee kwa kudumisha mila ile wengine shasahau.jadi ya wachaga kaburi haliwi mbali na nyumba(kwa asili) na Mti unaouona karibu na kaburi unaitwa ISALE.hata kama umekosewa kwa namna gani mtu aliyekukosea akija kukuomba kwa isale watakiwa kumsamehe.tehe tehe uchagani! but siku hizi jino kwa jino hata uje na mama yake isale

    by Mangi

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 29, 2008

    NINA KA SWALI.HIVI KUNA MAHALI PAZURI KAMA MARANGU DUNIANI?MICHU HEBU PICHA ZAIDI ZA HUKO MAHALI

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 29, 2008

    ha kumbe tenga mchanaga?

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 29, 2008

    woow its beautiful,wazee wa kichaga huwa wanajitahidi jamani kwenye maswala ya kujenga nyumba nzuri.bravo wajomba zangu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 29, 2008

    asitake kutudanganya hiyo nyumba wamejenga wazazi wake!!anawahi mapema msije sema mahela ya EPA hayo..jamani watu wajanja!!hiyo nyumba kajenga mwenyewe..kuna anon hapo juu kasema kuna sehemu nzuri kama marangu?nani kakuambia marangu pazuri?machame je?mahala pazuri Kilimanjaro nzima ni MACHAME

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 29, 2008

    Na hilo kaburi ni la nani? Kwa wachagga baba na mama wanazikwa karibu karibu?

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 29, 2008

    Hapo ndipo kwenye asili yao, lakini hakuzaliwa Kilema, Moshi. Leodgar Chilla Tenga, na ndg zake (mmoja anaitwa Albin kama sikosei) wawili wako Oslo (Norway) wamezaliwa na kukulia Morogoro.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 29, 2008

    mdau wa Machame, please tupatie picha ya kwenu tulinganishe, then tutajua wapi zaidi

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 29, 2008

    Marangu na Machame kote ni kuzuri ila kama ni kuchagua basi mimi nitachagua Machame...wandugu kama hamkuwahi kuona peponi hapa duniani basi fikeni Machame.!! Ukiamka asubuhi unasikia sauti za ndege na maji yakiririka kutoka milimani...nimetembea sana Kilimanjaro na Arusha lakini Machame palisuuza moyo wangu.

    Kwa ujumla nchi yetu ni nzuri sana..ila Umaskini na Ujinga ndio vinatuangusha...wadau hebu fikirieni nchi gani duniani yenye Bahari upande mmoja wote, na ziwa kubwa kila Kaskazini, Magharini na Kusini...achilia mbali Mlima Kilimanjaro...savana ya Serengeti..visiwa tulivu vya Zenji na hali ya hewa ya kiulaya mikoa Songea na Mbeya; ukiwa juu ya milima ya Uluguru kuangalia chini unaweza kusema umeiona Yerusalemu ile ya kwenye Biblia...ahha naanza kusikia uchungu. Ahsante Mungu kwa Nchi Nzuri Tanzania.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 29, 2008

    Tanzania kwa ujumla nchi nzuri sana. Watu wema, mengine eti ufisadi.. what what... etc msijali rudini, pamoja tutafika tu.

    Mungu ibariki Tz, viongozi na watu wake
    Love u all
    Waridi

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 29, 2008

    Kweli nyie Marangu na Machame mnacheza kabisa. Umefika kwenyewe kule Kibosho? Umefika Umbwe wewe? Hebu katembelee basi kidogo. Michuzi aika sana mbeee! Naomba na picha za Kibosho tafadhali. Nimemiss kwetu.

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 29, 2008

    Kama mnataka kushindana hebu tusogee LUSHOTO-TANGA!! OMG, Kama hamuamini muulizeni MKAPA atawaambia its BIUTIFULI. Mie sio kwetu ila NIMEKUBALI.

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 29, 2008

    uuuuwwiii! Jamani nimecheka mpaka!

    Haya NARUMU, rombo NA URU KISHUMUNDU JE. mko wapi njooni mjiteteee wachaga kwa sifa siwawezi.

    mkereketwa

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 29, 2008

    huyo tenga ni mlosa mchaga kwa taarifa mzaliwa wa ulaya wilaya ya kilosa babake alikua mwalimu na mkulima wa mkonge na sio mtu EPAaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 29, 2008

    Wewe unayesifia kibosho hapo juu kuna sehemu chafu kama kibosho,halafu tangu lini wakibosho wakasema eka mbee halafu umeikosea vilivile.Mimi si mchaga lakini nimekaa machame,kibosho,marangu, rombo.Nasema ukweli wachaga wa machame wanaona mbali wanajenga kwao vizuri sana na hii ni tangu zamani hizo hawajaanza leo na wanapenda kwao hamna mfano.Sehemu nyingi ni kijani kimetulia wana lami mpaka kwao juu unapita machame hospital unaenda mpaka mwisho.Wakati unapandisha kule juu unaenjoy view moja safi sana,majumba mazuri kijani kimetulia.Ndiyo maana hawa jamaa kwa hela they can do anything.

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 30, 2008

    Hii habari ya kukulia morogoro inamke more sense. ... maana sioni uwezekano ukulie Marangu , halafu ujue mpira kama alivyokuwa Tenga .

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 30, 2008

    nini marangu? nini machame? mambo yote Kiboshow bwana kunakakuwa kwa kasi ya kufa mtu! marangu na macheme kumekuwa dormat siku hizi hakukui wala kujengwa tena sehemu ingine kunakokuwa kwa kasi ni Rombo asiwadanganye mtu.Kadadeki!

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 30, 2008

    habari senu wanablugu mimi ni mchaga naomba kuwambia jambo unaposema sehemu imejengwa majumba makubwa ukapasifia ni pazuri basi na hisi rombo wanegongoza na marangu kwa mkoa wa kilimanjaro hakuna sehemu iliyojengwa majumba makubwwa kama rombo na marangu pale unaposema uzuri wa sehemu husika kama kijani na mandhari nzuri hutaacha kusema marangu na machame ila kwa ujumla mkoa wa kilimanjaro nikimaanisha kwetu sisi wachanaga tumejitaidi kiasi kikubwa sana ebwana hakuna sehemu kilimanjaro utakayokosa bia hata iwe uchocho kiasi gani sio bia tu huwezi kosa mahitaji yoyote sehemu yoyote utakayofika ukakosa huduma yoyote ile umeme maji na mashule sio kitu cha kuuliza hongereni sana wachanaga mkiiba besa huko za EPA na mambo kama hayo mlete kwenu moshi mkajenge kule nakupongeza sana MRAMBA besa za EPA umeimarisha kwenu na kuwsaidia wachaga kujaa darisalama umewajaza sana TRA na wapi huko nakupongeza sana bwana SHIRIMA wa PW wachaga wengi sasa ni marubani yaaani na umewapatia ajira na sasa ivi wakirtudi kwao wanajenga majumba

    WACHAGA OYEEEEEEEE

    ukipata bwana peleka kwenu nashangaa kwa wenzetu pale usangi na same imekuwaje wao wanaongoza kwa MAHAKAMA

    next time michuzi nitaleta picha la HEKALU ya mzee wangu lipo ROMBO na kwa pembeni kuna la kwangu pale alafu hatukai sasa wenyewe tupo huku tunaangalia za EPA zemekaaje SISI NDIO WACHAGA na najivunia sana KUZALIWA MCHANAGA

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 30, 2008

    Ni kweli kuwa Tenga na ndugu zake wamekulia wilaya ya Kilosa huko Morogoro. Ndipo huko alipojifunza soka. Baba yake alikuwa mwalimu maarufu sana kule Kilosa.

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 30, 2008

    Hivi ile picha iliyowekwa hapa kwenye blog wakati ule kuhusu tank station za barabarani/mkononi, ni sehemu gani ya Uchagani ile, maana ile sehemu imechoka kama simba mzee

    ReplyDelete
  22. AnonymousMay 30, 2008

    Wadau naomba niwasilishe.... Mimi ni mchaga wa marangu Kotela, kwabahati primary nimesoma Lushoto - Tanga kifungilo (kwakweli bila upendeleo its a beutiful place - i've never seen hali yahewa nzuri ni baridi, greenish, matunda yote utayapata ardhi ina rutuba) ni pazuri hali yahewa namazingira ya greenish swala la ujenzi kidogo japo si sana nipakawaida unless sehemu za kutembea km mashado, amboni) uzunguni raskazoni kidogo kuna maestate nasi zakutisha. Na uzuri secondary o-lever nimesoma kibosho - ni pakawaida barabara labada km wajenge leo, huwezi kucompare na machame au marangu,A-lever nimesoma Weruweru machame pazuri greenish, baridi na kujenga wameanza zamani kuna nyumba zakutisha watu zingewekwa mjini cjui ingekuwaje, kuzuri kwakweli, vilevile kwetu marangu nikufa mtu pazuri hali yahewa, barabara mpaka jikoni, nyumba zakueleweka, na kwabahati nimeolewa rombo nao wanakuja juu vibaya sana siku hizi ndio wanaporomosha vitu lakini hali yahewa si sana km machame au marangu! km tunazungumzia hali ya hewa nanamazingira LUSHOTO NAMBA ONE, MARANGU NA MACHAME WANACHUANA, KIBOSHO HAWAPO KWENYE COMPETITION KABISAAAAAA

    ReplyDelete
  23. AnonymousMay 30, 2008

    Wewe anonymous hapo juu hujui unasema nini. Wachagga hasa hasa ni warombo na wakibosho na hii haina mjadala. Mfano tosha nenda tuu hapo Kariakoo. Maduka asilimia 90 ni ya wanaume wa wakibosho. Baa za Sinza na Mwenge kwa asilimia 80 ni za wanaume wa Kibosho na Warombo. Wakibosho huko Uingereza ndo usiseme kwani ni wengi kabisa. Ulizia ukoo wa akina Kullaya Oxford.

    Wamarangu na wamachame ni mabishoo tuu bwana. Wakiwa na laki 5 benki anaona ana dunia nzima. Wakibosho siku hizi wanaingia kwenye ten-digits, yaani bilioni moja na zaidi. Wanafungua maduka makubwa China, DRC, na Malawi. Usicheze nao bwana japo kidogo na majambazi wapo kidogo.

    Hivi kwa nini wana ndoa wa Machame na Marangu ndo wanaoongoza kwa divorce?????????????.

    East or West, Kibosho is the best.

    ReplyDelete
  24. AnonymousMay 30, 2008

    jamani michu umenikumbusha mbali sana hiyo nyumba nilikuwa napitaga nikiwa naenda kanisa la katoliki kilema!!!karibia na kilema primary!!!mzee nimekukubai..big up

    ReplyDelete
  25. AnonymousMay 30, 2008

    WEwe hapo juu Naomba nijibu hili sijui wamepata wapi hela but Niambie Mengi Mbowe Alex masawe nk ni wachaga wa wapi bado wasiona majina sijakutajia

    ReplyDelete
  26. AnonymousJune 02, 2008

    Haooo..!!
    Wote nyie wezi tupu, hakuna lolote. Ukiona chaga jua iko mwisi...
    Lakini Wakibosho na Kishimundu Oyoo..!Wenzenu wakiiba wanajenga, nyie mmebakia ubahili na uchawi...

    ReplyDelete
  27. AnonymousJune 02, 2008

    AFADHALI UMEWAELEZA UKWELI.
    WEZI TU HAWA WANAJIFANYA KUSIFIA KWAO. EPA TUPU ....

    ReplyDelete
  28. AnonymousJune 02, 2008

    zaidi ya kuwa na maisha mazuri namkumbuka mheshimiwa Tenga kama mmoja wa mabeki maalum ambao bongo tulibarikiwa, leodgar tenga, mohamed tall na jella mtagwa were beautiful defenders to watch katika miaka ya sabini,thamanini,miaka hio was golden age of soccer in Tanzania. jamaa kabla ya yanga aliwakilisha mkoa wa pwani katika taifa cup 1975.mwaka 1976 mkoa wa pwani ulitoa mchezaji mzuri mwingine aitwae Ezekiel greyson "jujuman" wachezaji wangepewa mishahara bongo sasa hivi tungekuwa mbali kimpira.

    ReplyDelete
  29. AnonymousJune 03, 2008

    wewe anon. wa 11.35am yaelekea unasemea ya 47! umefika kiboshow miaka ya karibuni? hakuna sehemu kunakojengwa kwa kasi kama kibosho.labda Rombo! lakini marangu na machame hakukui tena. vijana wa kibosho wamekuwa moto! ni vijana wanaoinukia kwa kasi ya kutisha.nenda K'koo ndo wao na warombo. tembea uone.Unashindwa kuona wizi wa akina Mkapa na chenge waona wa Wakibosho? Tulimuibia Mkweo mwenye mbuzi wawili? Chupi ya Mkweo!

    Mangi

    ReplyDelete
  30. AnonymousJune 03, 2008

    There is no Chagga tribe but just different groups of people living on the southern slopes of Mount of Kilimanjaro with the following characteristics:

    WAMACHAME (Business entrepreneurs)
    Huwezi kujua nani mwanamke na ni nani mwanaume. Kila kitu ni pesa. Yaani hata kama ni mkeo wa ndoa inakuwa hivi 'kama hutoi pesa ya mbege ndoa yangu sikupi babangu'

    Basi kule Machame chakula cha ndoa au nimesemaje? Kufanya mapenzi ni kwa kipimo. Ukiwa katikati mama anakwambia STOOOOOOP!
    Hapo shilingi Elfu 20 zako ndio zimekwisha; Ukitaka ongeza
    ndio uendelee.

    Yahye, unasikia nasema MKE WA NDOA! Wamachame hao! Uchumba tu, lazima upeleke Kapati la mbeho!

    WAKIBOSHO (Specialized bandits)
    Mama akiwa anapiga soga na mwenziwe utawasikia hivi
    'Yaani Dadangu, we acha tu yule Alex wangu siku hisi amepefuka kweli; Ana akili we acha tu! Haibi tena mfukoni siku hisi, ameunda kundi lake la ujambasi, Krisimasi hii lasima nitaletewa fitenge file fya Kongo.

    Binti naye, AKIOLEWA NA KYASAKA (someone who is not mchagga), baba na mama wanamwambia ' Hivi wewe huyu mwanaume kwani ni ndugu yako ? Leta hizo pesa sake tujengee huku kwetu Manka!!


    WAURU (The Elites)
    Very boring people, wakikaa ni kuongea kuhusu shule tuuuuuuuuu, masomo, digrii. Yaani "yukanoti bilivu!"
    Babu wa miaka 70 bado madaftari yake ya primary ameweka sandukuni!! Atawaonyesha wajukuu zake wote: 'Ona hand writing yangu ilivyokuwa nzuri wakati nafundishwa na Father Wilson Payatt. Wanakumbuka majina ya waalimu wao hasa wazungu tangu chekechea.

    Uzuri wao, wanamwogopa sana Mungu. Kengele ya KANISANI ikilia saa sita mchana utaona wazee wote kilabuni wanaamka na kusali sala ya mchana ndio wanaendelea kunywa mbege.

    Wanapenda maparachichi hao! We acha tu!!

    WA OLD MOSHI (The Mechanics)!
    Actually Mama Mkapa ni beauty Queen kule kwao. Yaani mimi sisemi we nenda kachague mwenyewe.
    Taabu, Wanaume ni wabishi! Kama mkia wa mbuzi!
    Wanakunywa kisusio hata cha Nguruwe!! Na Gongo
    nyingiiiiiiiiiiiiiiiiii (Wenyewe waita Crysta-pen!)

    WAMARANGU (The handsome liars)!
    Wanaume wote ni waongo. Actually kuna somo
    la 'jinsi ya kudanganya' shule zote za primary kule Marangu.
    Both wanaume na Wanawake maisha ni raha tupu.
    Kwa Mmarangu halisi, kwanza ananunua gari, anachapa
    maisha, nae kulala kwenye gari wakati kodi ya nyumba
    inamshinda ni jambo la kawaida.

    WAROMBO: (The salesmen)!
    Kazi mtindo mmoja! Hawana tofauti ni kuruti wa Jeshi!
    Wanawake tunawaita 'KUBOTA' aina ya matrekta waliyosambazwa Kilimanjaro na Wajapani miaka ya 1970.
    Watafutaji wa pesa!!!! We acha tu. Wahindi hawaoni ndani!
    Lakini ukimchezea anakuua na kukimbilia Kenya kupitia Tarakea.


    Ushauri wa bure!
    Rafiki yangu uamue mwenyewe lakini kwa ushauri
    mwepesi mwepesi nenda Uru (wasomi) au Rombo (wachapa
    kazi). Chaguo ni lako.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...