KLHN imepata nafasi ya kuzungumza na aliyekuwa Waziri wa Miundo Mbinu na Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM) Mhe. Andrew Chenge kufuatia uvumi kuwa amekunywa sumu na kukimbizwa hospitali ya Jeshi Lugalo.
Bw. Chenge kwa muda mfupi huo aliziweka tetesi hizo zote kwenye kusahaulika.
M. M.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...