Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
jamani, hivi bongo tumeishiwa hadi madansa twaagiza toka china!! Hii kali!!, itafika wakati hat michu itabidi ubadilike uitwe hu ching tao ili ukabalike bongo!!
ReplyDeleteHata nami nashangazwa mno na haya mambo jamani!!Haya mchina gani huyo anayejua kudansi miziki ya kigeni kwanza??!
ReplyDeleteBadala ya kulipa wabongo wenzetu kwenye shughuli kama hizi ili tusaidiana kiuchumi, twalipa wachina!!Ingekuwa wachina ndio wainaimba wala wasingemwita mBongo yeyote adansi,uzuri wao wenzetu wanapeana wenyewe kwa wenyewe lakini sisi aaahh,mgeni aje kutuchagulia warembo wetu kwa hela zetu,aje kudansi mauzauza kwa hela zetu!Inasikitisha!!
JAMA HUYU MCHINA ANACHEZA MAYENU AU KUCHI KUCHI HOTAHEEEHEHEHEEEE?
ReplyDeleteTV mnunue China, baiskeli mnunue China, hadi madansa? huu sasa ni ulimbukeni!
ReplyDelete