hapa ni picha ya bismini ama katikati ya jiji la dar. ni giza totoro kwani hakuna taa za barabarani. wadau kunradhi, hivi hili ni giza ama kiza?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. mi nafikiri sio giza wa kiza labda itakuwa VIZA ..maana limizidi

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 08, 2008

    yote sawa kutegemea na lahaja ya ki-sahel (kiswahili) unachotumia. kuna kiswahili cha mvita na cha bara

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 08, 2008

    inasikitisha!kila mtu anajali tumbo lake watanzania tumekuwa wabinafsi sana hatujali nchi yetu!Nenda kwa fisadi ukaone anapoishi utafikiri paradise cha ajabu anaibia nchi yake na kuiacha gizani!kweli inasikitisha

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 08, 2008

    OOOOOOOOhhhhhhh my God? That look so scary. Hiyo picha ni pale samora au Tosamaganga? Jamani kweli daa sio NY bali ni CH (chalinze).

    Wakati EPA ingeweza kuwawekea taa mpaka kwenye pavements za barabara kuonyesha alama ya puma kwenye tenesi shoes.

    Wacha ni extend time ya kuishi zangu kwenye mwanga. Kwa mswada huu mkataa kwao sio mtumwa, bali ni mfalme.
    Mdau wa US

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 08, 2008

    Kwako kaka Michuzi....
    Hilo tunaloona, ni GIZA. Ila wewe ulikuwa nje usiku wa KIZA. Kazi kwako kutofautisha hapo.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 08, 2008

    Kuwepo na giza maeneo ya posta kunawanufaisha sana machangudoa kwani wanaweza kutumia vichochocho kufanya ngono. mpango wowote wa kuweka taa unaweza kufanya watu hawa kuandamana. kazi kwenu wadau

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 08, 2008

    Bongo tambarareeee, inastaajabisha kuona giza hivyo wakati umeme upo (tanesco, richmond na Iptl) je umeme ungekuwa umekatika hali ingekuaje? Michuzi embu tupatie picha umeme ukikatika site senta hali inakuaje wakati wa usiku... im sure itakuwa kama kwenye mashimo ya mererani huko Arusha.

    No wonder mbu hawaami pamoja na vita zote za kuwaangamiza!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 08, 2008

    anon 11.39 umeniacha hoi,sometimes ukisoma comments za wadau unajikuta unacheka na hii inasaidia kuifanya siku ihishe vizuri. asante kwa kutufanya tufurahi na kuisafisha hali ya hewa humu kijijini.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 08, 2008

    Usiku saa ya kulala mnataka taa za nini? Eeh watu tushindwe kuwanga bure, hamjui kuwa kunako umeme hawakai wachawi? Si mmeona baada ya Dar kuwa giza totoro wachawi wameibuka kwa kasi? Zamani hapo kote taa zilikuwa zinawaka mpaka tulikuwa tunatembea kutoka disco maggot kurudi Ilala kwa miguu kulikuwa hakuna shida yoyote. Sasa hii imesababishwa na 'wachawi' ndio maana taa haziwaki! hehhehheee! Bongo ilikuwa tambarare miaka 20 iliyopita si sasa.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 08, 2008

    Hapa iko namna,kuna jamaa haikosi kachomoa Fyuzi kaondoka zake ili dili zikubali kisawasawa!Dar hiyo Mze!

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 08, 2008

    Mwee halafu eti nirudi bongo???Hata mje na foko lifti sirudi ng'oooooo wacha niendelee kula box zangu tu haina noma wala nini!!!!
    Mdau-Philadelphia

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 10, 2008

    Anon wa 11:03pm, 11:39pm, 4:17pm and 10:29pm u guyz make my day, maana i was so down n can't wait for the day to be over but after reading ur comments nilikuwa nashika mbavu zangu in ma office. Thanks alot guyz
    Mdau T-Dot

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 10, 2008

    jamani jamaa kasema dar usiku hakusema ni maeneo gani,kuna maeneo kama mbagala,tabata,kuna maeneo dar ni giza hakusema ni dar jijini..labda kinyerezi au segerea

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...