Home
Unlabelled
dar usiku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mi nafikiri sio giza wa kiza labda itakuwa VIZA ..maana limizidi
ReplyDeleteyote sawa kutegemea na lahaja ya ki-sahel (kiswahili) unachotumia. kuna kiswahili cha mvita na cha bara
ReplyDeleteGiza
ReplyDeleteinasikitisha!kila mtu anajali tumbo lake watanzania tumekuwa wabinafsi sana hatujali nchi yetu!Nenda kwa fisadi ukaone anapoishi utafikiri paradise cha ajabu anaibia nchi yake na kuiacha gizani!kweli inasikitisha
ReplyDeleteOOOOOOOOhhhhhhh my God? That look so scary. Hiyo picha ni pale samora au Tosamaganga? Jamani kweli daa sio NY bali ni CH (chalinze).
ReplyDeleteWakati EPA ingeweza kuwawekea taa mpaka kwenye pavements za barabara kuonyesha alama ya puma kwenye tenesi shoes.
Wacha ni extend time ya kuishi zangu kwenye mwanga. Kwa mswada huu mkataa kwao sio mtumwa, bali ni mfalme.
Mdau wa US
Kwako kaka Michuzi....
ReplyDeleteHilo tunaloona, ni GIZA. Ila wewe ulikuwa nje usiku wa KIZA. Kazi kwako kutofautisha hapo.
Kuwepo na giza maeneo ya posta kunawanufaisha sana machangudoa kwani wanaweza kutumia vichochocho kufanya ngono. mpango wowote wa kuweka taa unaweza kufanya watu hawa kuandamana. kazi kwenu wadau
ReplyDeleteBongo tambarareeee, inastaajabisha kuona giza hivyo wakati umeme upo (tanesco, richmond na Iptl) je umeme ungekuwa umekatika hali ingekuaje? Michuzi embu tupatie picha umeme ukikatika site senta hali inakuaje wakati wa usiku... im sure itakuwa kama kwenye mashimo ya mererani huko Arusha.
ReplyDeleteNo wonder mbu hawaami pamoja na vita zote za kuwaangamiza!!
anon 11.39 umeniacha hoi,sometimes ukisoma comments za wadau unajikuta unacheka na hii inasaidia kuifanya siku ihishe vizuri. asante kwa kutufanya tufurahi na kuisafisha hali ya hewa humu kijijini.
ReplyDeleteUsiku saa ya kulala mnataka taa za nini? Eeh watu tushindwe kuwanga bure, hamjui kuwa kunako umeme hawakai wachawi? Si mmeona baada ya Dar kuwa giza totoro wachawi wameibuka kwa kasi? Zamani hapo kote taa zilikuwa zinawaka mpaka tulikuwa tunatembea kutoka disco maggot kurudi Ilala kwa miguu kulikuwa hakuna shida yoyote. Sasa hii imesababishwa na 'wachawi' ndio maana taa haziwaki! hehhehheee! Bongo ilikuwa tambarare miaka 20 iliyopita si sasa.
ReplyDeleteHapa iko namna,kuna jamaa haikosi kachomoa Fyuzi kaondoka zake ili dili zikubali kisawasawa!Dar hiyo Mze!
ReplyDeleteMwee halafu eti nirudi bongo???Hata mje na foko lifti sirudi ng'oooooo wacha niendelee kula box zangu tu haina noma wala nini!!!!
ReplyDeleteMdau-Philadelphia
Anon wa 11:03pm, 11:39pm, 4:17pm and 10:29pm u guyz make my day, maana i was so down n can't wait for the day to be over but after reading ur comments nilikuwa nashika mbavu zangu in ma office. Thanks alot guyz
ReplyDeleteMdau T-Dot
jamani jamaa kasema dar usiku hakusema ni maeneo gani,kuna maeneo kama mbagala,tabata,kuna maeneo dar ni giza hakusema ni dar jijini..labda kinyerezi au segerea
ReplyDelete